Best Naso Ft Nay wa Mitego - Akutake Nani (Official Audio lyrics)
HTML-код
- Опубликовано: 5 окт 2024
- #BestNaso #SlideDigital
(C) Slide Digital
Best Naso Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.bio/qwm8md
Written & Performed by Best Naso
Follow Best Naso on:
www.facebook.c...
/ bestnasotz
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - Видеоклипы
Wa 4 kutoka Congo Kama una mkubali nasso na Nay dondosha like hapa 🇨🇩🇨🇩☝️
Kama uko wa mu Congo 🇨🇩 gonga like apa ju za best naso 🔥🔥👍
Hatimae nimekuwa wa Kwanza naombeni like zangu
Akutake nani
😂😂😂
Kama na Wew unamkubali Mwamba Best Naso tia Like hapaa tujuane🙌🔥🔥🔥
Atal
@@HAMISICHACHAHakika
Naso mwenye nyimbo za ujumbe saiv hayupo Tena daah kweli muziki umeenda kusiko eleweka.
Nakubali Sana kaka
Fire🔥 ( fogo)🔥🔥
Wakwanza mimi
Nice song 🎉🎉
Ngoma kali sana sema nay kaua zaidi
Best naso msanii bora wa siku zote nashauri uirudishe ngoma ya BORA NIRUDI KIJIJINI piga na marioo au harmonize au mavoko au chino utarud kwenye trending zao me napendekeza marioo au mavoko
Ngoma tamu sana mon meilleur artiste musicien best nanso x Ney wamitego
Msanii kipenzi Cha watu mim nimeanza kukushabikia Toka Nina 9 babu yang alikuwa na kada ya nyimbo zako tuh
😂😂😂
Nyimbo nzuri kaka
❤❤❤ vraiment pesa mbele .hela
Pamoja sana
All the way from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hijaiva hii ngoma nawee😢
Nakukubari sana Kaka Angu Mungu azidi kukupigania na kazi izidi kuinuka
Hot song hii ispo fka tranding kutakuwa na fgisu hapa
Big up brothe 🔥🔥🔥🇨🇩🔥🥰🥰🇨🇩💪💪🇨🇩
Wazee wa chaka tu chaka saluti sana👍👍
Well done tunasubiri video Sasa🥂💐
🎉🎉🎉
Mr chocolate flavour ckia hii 🎉🎉🎉
Saluti bro congo 🇨🇩 🇹🇿 🇹🇿 🇨🇩
Moto💥n'a moto 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mmetisha saan 🎉🎉
Ney anamharibu huyu mtoto wetu mzuri
Kazi nzuri sana ma King 👑
Imekaa PW Sana ❤️
Courage kaka best
👏👏
Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 😂😂😂😂
Kituuuu funga mwaka
Mbona unachukuw Bet la Naenjoy la Juxu huogop kufungiwa😮
Sasa bro naso audio kali hii imeenda kilichobaki to create video kali zaidi ya 'enjoy' ya jux tumalize mchezo tugonge viewers 40mil. twende mjini✌️
Mr chocolate Flavor karudi mjini kumbe
Ney huyo twende ukakinukishe kwet mbalizi mlima reli..
Uko vzur kaka🎉
Kaliii saaan
Hite banger naso ILike your vibe nakutatuliyanga kutoka I love you from Kenya 🇰🇪
Nakubal ninja mjini lazma tusikike tu everyday🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
💪🏿💪🏿wamusoma wote like hapa sapota kwa mwanetu nasso
Nzuri sana ila ongezeni bidii
Tumempa mauayake 🥀🇧🇮Ametisha sana
Ngoma tamu kabiza
Mzeee wa chaka kwa chaka
Kari sana
Akutake nani sasa 💪💪
Nasoooooooo🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Nakubal Sana
🎉🎉
Wejini bro❤
Chuma imakutana na chuma🔥🔥🔥
Chuma Cha Moto
nafurahia hii kazi
Kalisana ❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉 mungu bariki ufike hapa ku Congo🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩😭😭
Nyimbo gan hizi mbon utopolo
Hapa mmefiri sana japo nawakubar nyimbo mbovu sana
Tafuta pesa umasikini usikupe hasira
Safi sana Nasso kwa kumshirikisha Rais wetu naytrueboy 🎉🎉🎉🎉
Inaonesha best naso umeipenda saana nyimbo bola nienjoi ya jux naona tuu 🤔
Saf brother
💪☝️hakika
Unyama sana
Kwel akutake nani
Very good 🎉🎉🎉
akutake nani
🔥 🔥 🔥
ni mwendo wa ela two
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
NYC tune
Beat la bora ni enjoy
❣️🔥🔥🔥
Hii ni ya moto sana baba yaga rais wa kitaa madon member best nasso kama upo hapa unachek hili ngoma gonga like twend sawa ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Atal
Wee akutake nani bila hela😂
Nakubal sana naso
🎉🎉🎉🎉❤
🎉
Wame sampo beat ya Spyro ''who is your guy''
Ulikua wapi mzee wangu best Naso,, Mr chocolate ameibia kwa My guy na (Enjoy ya Jux na wao walicopy)kwa mbaaali na vingine kabadilisha tu sample ila kapiga the same🔥🙌
Moja ya wimbo wa hovyo ndo huu.
Ingawa nawakubali sana ila hapa hakuna.
Niko hapa, Toka mamu wa Dar mpaka sahi,Best Naso is doing amazing work
Kazi imekaa kwenye mstari uncle dua2 ili tuingie kwenye trending 🙏🙏
Hii ina enda!😅
Apo kimeumana brother
🔥
pamoja sana japonimechelewa ila nainjoi kaka naso kazi nzur
Best naso ni msanii mkal xana tatzo hatak kujchaganya na Wasanii wakubwa %100 best
Hatar sana
ipo sku watakuelewa2 kaka sisi tunaekufwatilia tunajua ukubwa wako
Nasso kajua kupita na upepo wa Rayvany hongera mzee hauchezei nafasi
It's againiii Nasso ft Baba Yagaaa
Nakukubali sana beste nasso, kutokea Congo 🇨🇩🇨🇩
Naona mkuu umeswich yes huo ndo mziki sasaa❤❤ mana mamb yamebadilika
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
💪💪💪💪💪
Kama umeipanda hii nyimbo gusa like
Kaka mmeuwa sana🎉 naomba kolabo
Naitwa chilly bway🇹🇿🇹🇿🇹🇿