DMDP kujenga zaidi ya km 72 za barabara Ukonga

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • Cheza sasa kupitia shorturl.at/jqzU6 na ushinde
    Mradi wa DMDP awamu ya pili utajenga barabara za rami zaidi ya km 72 jimbo nzima la Ukonga ili kuboresha shughuli za maendeleo. Mpaka sasa ni Sh231 bilioni zimetengwa kwa ajili ya mabasi ya “mwendokasi” awamu ya tatu ambapo Kata ya Gongolamboto zitajengwa barabara zenye njia sita ambazo njia nne ni za magari ya kawaida na njia mbili ni za mabasi ya "mwendokasi".
    Hayo yamezunguzwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry William Silaa wakati akizungumza na wananchi wa wilaya hiyo jijini Dar es Salaam Februari 24, 2024.

Комментарии • 3

  • @Mwananchidigital
    @Mwananchidigital  11 месяцев назад

    Cheza sasa kupiti shorturl.at/jqzU6 na ushinde

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 10 месяцев назад

    Yeah uko vizuri

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 11 месяцев назад

    Tunamuomba Mbunge wetu aje VIWANJA VYA MRADI BUYUNI. TUMETELEKEZWA JAMANI. TUNAKUPENDA JEREY SILAA UJE UONE CHANGAMOTO NI NYINGI..❤❤❤❤