UJUMBE KWA WANAWAKE BY CHRISTINA MATAI (NAINGIA UWANJANI)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии •

  • @marymasesemusic3802
    @marymasesemusic3802 Год назад +2

    Emen ujumbe musuri sana

  • @MOSEGEOFFREY-sm3ck
    @MOSEGEOFFREY-sm3ck Год назад +1

    WIMBO WA KIMATAIFA. WIMBO BORA GPG AFRICA TV GROUPS HAPA NAONA GOOD GOOD .. SONG

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 Год назад +2

    Nyie wamama na wadada hy jmn njooni huku kuna ujumbe wetu Rasmi kutoka kwa mtumishi❤ mungu akubariki sana mamy christina matai kwa ukumbusho mzr🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤🥳🥳🥳💖💖💖💖❤️❤️❤️❤️🎄

  • @gracehenga1980
    @gracehenga1980 11 месяцев назад +1

    Wimbo una upako.

  • @blessinggal9310
    @blessinggal9310 Год назад +1

    Huu wimbo haujawahi kuchuja ❤❤❤ nianze kuusukia BCIC KAMA SIO WAKATI IBADA NI SABASABA PTA BASI PALE MBEZI BEACH ....PIA MTUMISHI nakufurahi mno mno na huduma yako

    • @christinamatai2408
      @christinamatai2408  Год назад

      Oooh haleluyaaa.... namtukuza Mungu sana jamani. Nimefurahi sana

    • @AngelPeter-e7y
      @AngelPeter-e7y 6 месяцев назад

      Yaaani kipindi kile nilikua nikisia tu beat nafurahi hata ukialikwa sehemu nilikua nawahi nije nikuone ❤

  • @yohanaandrew2397
    @yohanaandrew2397 Год назад +1

    Saf sana mama, wimbo una mafunzo sana barikiwa mno

  • @makanisani
    @makanisani Год назад +1

    Ubarikiwe mama hongera kwa kazi njema.

  • @TuntilegeZacharia
    @TuntilegeZacharia 3 месяца назад

    Huuureeeeeee💃💃💃💃

  • @FibeWangogo-mw3vc
    @FibeWangogo-mw3vc Год назад +1

    Jamani mamaangu ubalikiwe sana Kwa kutukumbusha Wana wake maana tunajisahau sana

  • @HenryMhande
    @HenryMhande Год назад +1

    Umebarikiwa sana Mama yangu

  • @entujaelmsangi
    @entujaelmsangi Год назад +1

    Barikiwa sana

  • @salamsabdullah-st9pt
    @salamsabdullah-st9pt Год назад +1

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @angelinamayombo5511
    @angelinamayombo5511 Год назад

    Ameeen