AMEGEUZA NIA BY CHRISTINA MATAI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 54

  • @JoshuaBasil-yo5hl
    @JoshuaBasil-yo5hl Месяц назад +2

    Watabaki kunashanga huku mimi ninasonga mbele, dada ubarikiwe mno wimbo unaujumbe mzito sana🎉🎉🎉🎉🎉

    • @christinamatai2408
      @christinamatai2408  Месяц назад

      @@JoshuaBasil-yo5hl Amen amen mtumishi Mungu wetu atukuzwe sana 🙏🙏

  • @bbinsurancebrokersltdinsur1193
    @bbinsurancebrokersltdinsur1193 Месяц назад +1

    Wimbo umenibariki mnooooo rfk yanguuu ... utukufu kwa Bwana Yesu ❤

    • @christinamatai2408
      @christinamatai2408  Месяц назад

      Ameeen nkamu gwangu haujawahi kuniacha mama J wangu 🎉🎉❤❤🙏🙏🙏

  • @gracegeorge6228
    @gracegeorge6228 Месяц назад +1

    Wimbo wa kufungia mwaka❤️❤️❤️❤️❤️

  • @GloryMyles
    @GloryMyles Месяц назад +1

    amen umefanya vizuri mno sifa zimrudie Mungu uinuliwe zaidi na zaidi

    • @christinamatai2408
      @christinamatai2408  Месяц назад

      Amen amen mtumishi wa Mungu.... Hata atukuzwe Yesu. Asante sana👏

  • @EdsonMwasabwite
    @EdsonMwasabwite Месяц назад +1

    Hongera sana dadaangu kazi imebariki moyo wangu Mungu azidi kukutumia

    • @christinamatai2408
      @christinamatai2408  Месяц назад

      Mmmwee asante sana mtumishi wangu Mungu. Mma niipilike kanunu fiijooo 👏👏🙏🙏

  • @zoekiwia8323
    @zoekiwia8323 Месяц назад +1

    My mom ❤🔥🔥🔥🔥

  • @trustsolution341
    @trustsolution341 Месяц назад +1

    mama you are fireeeeeeeeee! congraduration.Rebeca nakupenda bure

    • @christinamatai2408
      @christinamatai2408  Месяц назад

      Rebecca mwanangu 🎉🎉🎉🎉 asante sanaaa Yesu wetu atukuzwe sana

  • @makanisani
    @makanisani Месяц назад +1

    Hongera sana Mtumishi ubarikiwe kwa wimbo moto

  • @mcmsemakweli5256
    @mcmsemakweli5256 Месяц назад +1

    Kubwa sana hii ase 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @JoyneaJoyna
    @JoyneaJoyna Месяц назад +1

    Ameeeen hakika Wacha washangae💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @noelmigongo
    @noelmigongo Месяц назад +1

    🔥🔥 barikiwa mtumishi

  • @ChrisineBlessing
    @ChrisineBlessing Месяц назад +1

    Mungu ni mkuu sana hongera mtumishi

    • @christinamatai2408
      @christinamatai2408  Месяц назад

      @@ChrisineBlessing Asante sanaaaa Tina hujawahi kuniacha🙏

  • @MwanduChandarua
    @MwanduChandarua Месяц назад

    Hongera sana mtumishi wa Mungu unafanya vizuri katika uimbaji . Songa mbele.

    • @christinamatai2408
      @christinamatai2408  Месяц назад

      @@MwanduChandarua Amen amen mtumishi 🙏 Asante sana MC

  • @jamesmodest7421
    @jamesmodest7421 Месяц назад +1

    Amen nyimbo nzur

  • @dansonmutala5935
    @dansonmutala5935 9 дней назад +1

    Wow imenibariki sana waache washangae

  • @joycemalima8475
    @joycemalima8475 Месяц назад +1

    Big up my MC

  • @ElizabethMasolwa-fz6yt
    @ElizabethMasolwa-fz6yt Месяц назад +1

    Mungu akubariki sana za siku mm elizabeth masolwa ni zamani kidogo TAG Forest mbeya

    • @christinamatai2408
      @christinamatai2408  Месяц назад

      @@ElizabethMasolwa-fz6yt Oooh jamaniii nimefurahi saanaa mtumishi wa Mungu. Mmweee.... Kweli kuna kukutana 👏🏼👏🏼

  • @salomeobeid2507
    @salomeobeid2507 Месяц назад

    Barikiwa sana mrembo wang wimbo mtamuu umenibariki sanaa

    • @christinamatai2408
      @christinamatai2408  Месяц назад

      @@salomeobeid2507 Mmmweee asante sana mtumishi 👏👏👏👏👏🥰

  • @mhs-thehydraulicsolutionsf7243
    @mhs-thehydraulicsolutionsf7243 18 дней назад +1

    Wow wow wow wow

  • @nevershymagava6940
    @nevershymagava6940 Месяц назад +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @lilianmsingiOfficialgospel
    @lilianmsingiOfficialgospel Месяц назад

    Hongera sana dada christina Mungu azidi kukupandisha

    • @christinamatai2408
      @christinamatai2408  Месяц назад

      @@lilianmsingiOfficialgospel Napokea kwa jina la Yesu Kristo mtumishi 🙏 🙏 🙏

  • @entujaelmsangi
    @entujaelmsangi Месяц назад +1

    Umebarikiwa sana

    • @christinamatai2408
      @christinamatai2408  Месяц назад

      @@entujaelmsangi Amina mtumishi. Asante sanasana kakaangu mdogo wangu

  • @davidchaula4761
    @davidchaula4761 Месяц назад +1

    Hakika anageuza mabaya kuwa mema

  • @MichaelKambao-rs3ck
    @MichaelKambao-rs3ck Месяц назад +1

    Haujawai kukosea mama