Isaac sakala Ameniamini (Live official video )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 275

  • @isaacsakalaaa
    @isaacsakalaaa  11 дней назад +15

    MUNGU AKUBARIKI SANA KWA KU SUBSCRIBE ❤

    • @augustinosimon8511
      @augustinosimon8511 8 дней назад +1

      Nimebarkiwa Sana na huu wimbo, MUNGU akuweke viwango vya juu

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  8 дней назад

      @augustinosimon8511 Ameen Barikiwa sana

    • @subiramatoli2178
      @subiramatoli2178 6 дней назад

      Mungu akubariki sana nyimbo nzr sana

  • @rehemanyundo
    @rehemanyundo 26 дней назад +49

    Amen
    wale tumetoka tiktok tukutane uku
    hakika ameniamini

  • @Zawadi-j1k
    @Zawadi-j1k День назад +3

    Nimetoka TikTok nimekuja kutafuta hii nyimbo, barikiwa mtumishi

  • @petrokapinga2201
    @petrokapinga2201 2 дня назад +2

    Yes ameniamini toka January mpaka leo December; Asante Baba
    Tuliotoka Tiktok kwa yule dada tujuane!❤

  • @rehemangala1399
    @rehemangala1399 День назад +2

    I just saw this song in tiktok and i was touched and what i go through God has trust in me i will win in the Mighty name of God

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  День назад

      @@rehemangala1399 Be blessed Mtumishi wa Mungu

  • @SabinaMgao
    @SabinaMgao 24 дня назад +10

    Huu wimbo unamguso usio wa kawaida nasikia utulivu rohoni🙏 ubarikiwe sana SHUJAA WA KRISTO

  • @Bilali-w6m
    @Bilali-w6m 18 дней назад +7

    From TikTok 🏃🏃🏃 to RUclips wimbo unabariki sana moyo from 🇰🇪🇰🇪👏🙏

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  16 дней назад +1

      Ameen Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu

  • @LeahBenson-fj2gb
    @LeahBenson-fj2gb 2 дня назад +1

    Amen Amen nasikia kuinuliwa glory be to God Almighty 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @SarahMwachula-u1g
    @SarahMwachula-u1g 2 дня назад +1

    Amina mtumishi umefungua ufahamu wangu umeamsha roho yangu iliyozimia

  • @lukasmaro4280
    @lukasmaro4280 3 дня назад +1

    Nataka niamin kilichopendezesha huu wimbo nmpangilio mzuri mashair na sauti yachin yenye unyenyekevu ivumayo🎉🎉🎉💝

  • @HalimaJustine
    @HalimaJustine День назад +1

    Mwenyezi Mungu akubarikiiii sana Mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana huu wimbo'❤❤❤

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  День назад

      @@HalimaJustine Ameen Mtumishi wa Mungu

  • @angelpascal3579
    @angelpascal3579 14 часов назад +1

    Very powerful song be blessed man of GOD

  • @valentineprosperity6447
    @valentineprosperity6447 9 минут назад

    Mungu kamchukua babangu,Mungu kaniamini nitamtunza mama,eeh,Mungu jaribu hili ni kubwa kuzidi umri wangu,naomba niwezeshe baas😭💔💔💔Sina chochote

  • @RoseMlay-j2s
    @RoseMlay-j2s 3 дня назад +1

    Amina.piwa mungu akutunze wimbo unanibariki sana

  • @annetokwero
    @annetokwero 4 дня назад +1

    Amen ahsante sana Yesu kwa kuniamini, barikiwa sana ndugu kwa wimbo wenye baraka tele 🎉🎉🎉❤❤❤🙌🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  4 дня назад

      @@annetokwero Ameen Mungu akuinue sana

  • @Brave789
    @Brave789 9 дней назад +2

    Ubalikiw kwa kazi nzul mtumishi

  • @LeahMaloi
    @LeahMaloi 3 дня назад +1

    Am blessed for sure🙌🙌🙏🙏🙏ameniamini kweli

  • @PendoKaniki
    @PendoKaniki 13 часов назад +1

    Wimbo mzuri sana Hongera Mungu azidi kukupigania

  • @RobertsonNandime-eo9fp
    @RobertsonNandime-eo9fp 5 дней назад +2

    Weeeeeeeeeh huuuu wimboo dahhhh Sijui ❤❤❤❤ nifanyej jamani ❤❤❤❤❤ ngoja Nimtukuze Mungu Aliekupa ufaam Na kutunga wimbo huuu

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  5 дней назад

      @@RobertsonNandime-eo9fp Yesu Akuinue Barikiwa Pia

  • @AngelaPeter-g2u
    @AngelaPeter-g2u 2 дня назад +2

    Kakika MUNGU, ameniamini sana.

  • @RachelEmmanuel-v6g
    @RachelEmmanuel-v6g 5 дней назад +1

    Hallelujah Mungu akubariki mtumishi Kwa wimbo mzuri 🔥🔥

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  5 дней назад

      @@RachelEmmanuel-v6g Ameen Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu

  • @VeronicaFrank-lp1uv
    @VeronicaFrank-lp1uv 7 дней назад +1

    Jamani barikiwe sana huu wimbo umenibariki NIMEJIKUTA siku nzima naimba Amenimini Yesu amenipa Afya hallelujah 🙌👏

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  6 дней назад

      @@VeronicaFrank-lp1uv Yesu aendelee kukutunza Mtumishi Wa Mungu

  • @FlorianMakau
    @FlorianMakau 2 дня назад +1

    Asante Mungu kwa kuniamini Tena, Asante kwa kunifariji

  • @DeborahMwakalinga
    @DeborahMwakalinga День назад +1

    Ubalikiwe sana mtumishi wa Bwana

  • @BatoromayoMuzima-j4w
    @BatoromayoMuzima-j4w 5 дней назад +4

    Ooooooooh baba huyu yesu jamani who else from TikTok until hire I love Jesus ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @lenyhaule2519
    @lenyhaule2519 Месяц назад +3

    Kazi nzur sana mtumish mungu akupe nzur zaid ya hii mtumish,, ili ukaihubiri injili kupitia nyimbo ulimwengun kote

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  21 день назад

      @@lenyhaule2519 Ameen Barikiwa sana Mtumishi

  • @VAILETHYOTHAM
    @VAILETHYOTHAM 21 час назад

    Ameen ameen barikiwa mnoo🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @NewBoy-o9r
    @NewBoy-o9r 5 дней назад +1

    I love this song be blessed bro❤❤❤

  • @maxmillahsongole2024
    @maxmillahsongole2024 3 дня назад +1

    I love this song❤is touching..I love God..

  • @kamba_thedon
    @kamba_thedon Месяц назад +2

    HUU WIMBO NI MKUBWA SANA GOD BLESS YOU

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  Месяц назад

      Ameen Baba Barikiwa sana Baba hakika

  • @MurugiShii
    @MurugiShii 19 дней назад +2

    Inlove with the song already ❤️ 🥰 😢🙏 thank you lord 🙏 😢ur daughter she's greatful 🙏 😢

  • @HellenJatoshta
    @HellenJatoshta 18 дней назад +1

    Nimebarikiwa sana mungu akubariki shujaa

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 14 дней назад +2

    Hadi raha sipati picha huko mbinguni itakuaje kwa sauti nzuri kama hizi. Ameniamini Yesu

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  9 дней назад

      Ameen Hakika Ninzaidi 🎉Barikiwa sana

  • @MbuviPurity
    @MbuviPurity 17 дней назад +2

    I really love this.may God bless you brother

  • @princenandonde6532
    @princenandonde6532 Месяц назад +1

    Nabarikiwa. Ikiwa natembea, naulenda mwendo wNgu😊

  • @LinahWasai
    @LinahWasai 4 дня назад +3

    Wimbo wa baraka

  • @EvaJohn-f6c
    @EvaJohn-f6c 11 дней назад +2

    Hakika Yesu ameniamini huu wimbo una nguvu ya Mungu ndani yake.

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  9 дней назад

      Ameeen Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu

  • @mikejmusic254
    @mikejmusic254 25 дней назад +1

    Mbona weo 🎉🎉🎉 congratulations 👏 this touching song Mungu akubariki Sana 🙏🙏

  • @VictorIssangya-b5y
    @VictorIssangya-b5y Месяц назад +2

    Hongera kazi njema kijana kazi njemaaa🎉

  • @aloycezumba9268
    @aloycezumba9268 8 дней назад +1

    Hakika Yesu umeniamini hata na Mimi Asante Yesu

  • @IreneRaphael-jb1xs
    @IreneRaphael-jb1xs 8 дней назад +1

    Hakika akinipenda MUNGU inatosha ubarikiwe sana

  • @alleboytz8507
    @alleboytz8507 Месяц назад +1

    🎉🎉 kaz kubwa kabisa na yenye kutubarik
    👐👐mungu azd kuwapa nguvu watumish amina amina

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  Месяц назад

      Ameeen Baba Barikiwa sana Baba ameeen

  • @happyshayo7779
    @happyshayo7779 25 дней назад +3

    Naupenda mwendo wangu nitaumaliza salama Amina

  • @MarthaMwakinyamile
    @MarthaMwakinyamile 6 дней назад +1

    Hongera kwa kazi nzuri nilikua nasubiri sauti yako dada Estar

  • @obagamildred1746
    @obagamildred1746 11 дней назад +1

    I can't get enough of this song Mungu asante kwa upendo ❤❤❤

  • @queenter842
    @queenter842 22 дня назад +2

    Barikiwa sana wimbo huu umenibariki sana

  • @Loveness-t3m
    @Loveness-t3m 20 часов назад +1

    Nmebarikiwa mno

  • @upendongajilo
    @upendongajilo Месяц назад +2

    Hongera sana MUNGU akuinue zaidi

  • @elizabethdzitu4310
    @elizabethdzitu4310 Месяц назад +1

    Hongera, sana mungu akubariki zaidi na zaidi❤❤❤❤

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  9 дней назад

      Ameen Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu

  • @HeriethMsamba
    @HeriethMsamba Час назад +1

    MUNGU ameniamini barikiwa sana

  • @RoseLuoga
    @RoseLuoga Месяц назад +2

    Hongela sana kaka .mmetisha mzubaaa bit

  • @BettySewela
    @BettySewela 20 дней назад +1

    Nimebarikiwa San na huu wimb mungu akubark 🙏🙏

  • @DeborahLevocatus-o7u
    @DeborahLevocatus-o7u 8 дней назад +2

    Ubalikiwe San wimbo unaupako ambayo sio WA kawaida 🙏🙏🙏

  • @LeahMporogonyi
    @LeahMporogonyi 24 дня назад +1

    AMEN Mungu azid kukupa mafunuo hakika ameniamin

  • @elishathecomedy1221
    @elishathecomedy1221 Месяц назад +2

    Kazi ipo vizuri hongera sana

  • @_dwrok
    @_dwrok 22 дня назад +1

    GOD of second chance ohh GOD thank you and GOD bless you Isaac for encouraging us through this song....

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  21 день назад

      @_dwrok Ameeen May God Continue to Bless you

  • @maurinekiptui1188
    @maurinekiptui1188 23 дня назад +2

    Amenipenda Yesu inatosha jamani ❤

  • @samwelingao2017
    @samwelingao2017 Месяц назад +6

    Kazi kubwa uwezo mkubwa

  • @naomikengo64
    @naomikengo64 21 день назад +1

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu ❤❤🔥🔥

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  21 день назад +1

      @@naomikengo64 Ameeen Barikiwa sana

  • @alexmwakikambako4743
    @alexmwakikambako4743 Месяц назад +2

    Onger sana kaz nzri sana

  • @georgedavid8358
    @georgedavid8358 Месяц назад +2

    Babababa hiii imeendaaaaaa ❤❤❤

  • @judykawira1223
    @judykawira1223 6 дней назад +1

    Amenipenda Mungu inatosha

  • @phillnessjastin
    @phillnessjastin Месяц назад +1

    Hongera sanaa Ubarikiwe na Bwana yesu

  • @motiontz3722
    @motiontz3722 Месяц назад +2

    Kiboko ya zote 💖💖💖💖🚀🚀🚀✈✈✈

  • @antussatemba6676
    @antussatemba6676 26 дней назад +2

    Asante Yesu kwakunipenda ukaniamini❤❤ ukinipenda wew Yesu inatoshaa❤❤

  • @Sikazweson
    @Sikazweson 16 дней назад +1

    be blessed man of God🙌🙌🙌🙏🙏

  • @JediaBenison
    @JediaBenison 3 дня назад +1

    Barikiwa sana mtumishi

  • @Harunwhite-q7w
    @Harunwhite-q7w Месяц назад +1

    Amen papa 🎉 ❤ hakikaa ameniamin

  • @Lirampaul
    @Lirampaul 22 дня назад +1

    Simple and clear oooh GOD BELIEVED ME 🎉

  • @ezekielwilliamtz
    @ezekielwilliamtz 24 дня назад +1

    Ibariki mnoo mtumishi 😭

  • @deogratiaslusega5820
    @deogratiaslusega5820 20 дней назад +1

    Amen keep it up for the glory of the lord 🎉

  • @madamwakesho
    @madamwakesho 26 дней назад +2

    Asante Yesu kwa kuniamini kuifanya kazi yako.

  • @PendoAngore
    @PendoAngore 25 дней назад +1

    Akinipenda yesu inatosha. Ooh jesus thank you

  • @AnnahSilungwe-o3y
    @AnnahSilungwe-o3y 8 дней назад +1

    Ubarikiwe wimbo uko vzr

  • @noelmgina
    @noelmgina Месяц назад +1

    Wooow wooow baba heshima kwako 🫡🫡🫡

  • @kissamwasongela2263
    @kissamwasongela2263 24 дня назад +1

    Kwel Umeniamini Baba🙌🙏

  • @hebronmwamahonje1906
    @hebronmwamahonje1906 Месяц назад +1

    Naupenda mwendo wangu❤❤

  • @nicemnyala8666
    @nicemnyala8666 Месяц назад +1

    Ikawe kubwa katika JINA LA YESU KRISTO

  • @JohnShabani-td6kc
    @JohnShabani-td6kc Месяц назад +5

    Broo nyimbo zuli sana 🙏 ubalikiwe sana kwa kazi Zuri ya mungu

  • @GospelSupporters
    @GospelSupporters 27 дней назад +1

    Uinuliwe Sana Mtumishi Wa Mungu 💪💪

  • @monicahwafavour57
    @monicahwafavour57 23 дня назад +1

    From TikTok .wow this is powerful

  • @LydiaJemsi
    @LydiaJemsi 23 дня назад +1

    Kweli Yesu umeniamini ndo maana mpaka sasa niko hai

  • @maribaisack2097
    @maribaisack2097 13 дней назад +1

    Nyie kwa Yesu raha jmn❤

  • @KibongeWaYesu
    @KibongeWaYesu Месяц назад +2

    🙌🙌🔥🔥

  • @lydiajames7932
    @lydiajames7932 22 дня назад +1

    That's my God he has given me pure love

  • @janettheis3749
    @janettheis3749 26 дней назад +1

    Ukipenda yesu inatosha

  • @carolwakanyi1047
    @carolwakanyi1047 21 день назад +1

    Wapy likes za Isaac waooooh wimbo uko Na message 🙏🙏🙏🙏

  • @hyratnnno107
    @hyratnnno107 13 дней назад

    Hii nyimbo nasikiliza Lakin najikuta nalia mno😭asante yesu Kwa kuniamin 😢🙏

  • @BenKafunjaOfficial
    @BenKafunjaOfficial 22 дня назад +1

    You are a blessing bro❤❤❤more love from Kenya

  • @abigaelimali
    @abigaelimali 23 дня назад +1

    Nice song😊

  • @bishoprev.kennedysimumba5595
    @bishoprev.kennedysimumba5595 Месяц назад +2

    Barikiwa sana

  • @Ellymtweve7
    @Ellymtweve7 Месяц назад +1

    🎉🎉🎉 wow good song

  • @yonathankadovela1903
    @yonathankadovela1903 7 дней назад +1

    God bless japo audio hakuna😪

  • @ruthgeorges1001
    @ruthgeorges1001 26 дней назад +4

    Ameniamini 😢 eeh Mungu wangu

  • @EvEmmanuelSinyangweMlimaniTemp
    @EvEmmanuelSinyangweMlimaniTemp Месяц назад +2

    Kaz nzuri kaka

  • @LilianClement-g9z
    @LilianClement-g9z 21 день назад +1

    Hakika mungu ameniamini be blessed kaka

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  18 дней назад

      Ameeen Kaka hakika sote tumebarikiwa sana Baba

  • @IshaMafie-es8tg
    @IshaMafie-es8tg 20 дней назад +2

    Wimbo mzuri nautaka audio 🙏 🙏 🙏

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  18 дней назад

      Ijumaa wimboo utakuwa all digital platforms mtumishi

    • @IshaMafie-es8tg
      @IshaMafie-es8tg 13 дней назад

      @isaacsakalatz mtumishi wimboo siuoni

    • @IshaMafie-es8tg
      @IshaMafie-es8tg 13 дней назад

      @isaacsakalatz basi nitumie audio whatsapp

    • @isaacsakalaaa
      @isaacsakalaaa  13 дней назад

      @IshaMafie-es8tg ni text whatsap +255658981944

  • @christinamaimu9210
    @christinamaimu9210 4 дня назад +1

    Hakika akinipenda Yesu inatosha

  • @maryram7461
    @maryram7461 21 день назад +1

    Ubarikiwe mno

  • @Jackrnepaulo
    @Jackrnepaulo 23 дня назад +1

    Ubarikiwe saana broo