Bony Mwaitege -Wamefunga Ndoa (Official Music Video) SMS TO SKIZA 9840976 TO 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
    Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
    Bony Mwaitege -Wamefunga Ndoa (Official Music Video)
    Video Production: Director William Ndilla
    Number: +255 673 734 630
    Email: ndillawilliam@gmail.com
    MUNGU AKUBARIKI SANA.

Комментарии • 282

  • @BonyMwaitegeOfficial
    @BonyMwaitegeOfficial  2 года назад +16

    ASANTE SANA NDUGU ZANGU, MUNGU AWABARIKI MNAPOENDELEA KUTAZAMA WIMBO HUU
    PIA NAOMBA MNISAIDIE KUSAMBAZA
    UJUMBE HUU.....
    ILI VIJANA AMBAO HAWAJAOA NA KUOLEWA WAHAMASIKE
    KUFUNGA NDOA.

  • @timothysila2917
    @timothysila2917 Год назад +1

    Yeey! My wedding song is here! 😊🎉❤

  • @jacksonsanga4604
    @jacksonsanga4604 2 года назад +3

    Kyala akosaje Mwaitege

  • @mazikumange9130
    @mazikumange9130 2 года назад +4

    Nmepata wimbo wa kwenye ndoa ya ngu bado ndoa tu

  • @belindahakoth8876
    @belindahakoth8876 Год назад +4

    Ni wimbo wa ushindi especially kama umepigwa vita usiowe au usiolewe. Wimbo huu una upako sana. Naipenda sana. Uzidi kuenda juu. Nyimbo zako zinaupako wa Roho Mtakatifu

  • @gadsonkinuthia7662
    @gadsonkinuthia7662 2 года назад +3

    Natamani kolabo yako

  • @BenadethaSamila-gv7pj
    @BenadethaSamila-gv7pj Год назад +1

    Ubarikiwe sana sana mtumishi wa mungu, napenda sana nyimbo zako, zimetulia na zinampa mungu utukufu, kama wimbo wako wa mwamini mungu ipo siku utafanikuwa linekuwa tumaini la watu wengi, imani zinaingezeka sana, dah roho wa mungu azidi kukufunulia 🙏🙏🙏

  • @editarichard3590
    @editarichard3590 2 года назад +2

    Barikiwa

  • @Thanksallvvvv
    @Thanksallvvvv 2 года назад +3

    Na umeanza kutumia bits Gani siku ixi,SI uendelee na Ile ya samani

  • @joshuamonchere2132
    @joshuamonchere2132 2 года назад +2

    Wale wakenya tunaompenda mwaitege nione malikes........

  • @benhazard10
    @benhazard10 2 года назад +1

    Watanzania mnajua kuimba hak mbarikiwe sana kwa kuhubiri injili kupitia kwa nyimbo

  • @balakajohn3784
    @balakajohn3784 2 года назад +3

    Wakwanza

  • @mariamabulitsa6853
    @mariamabulitsa6853 2 года назад +3

    Nitachezq hii kwa wedding

  • @africanuru2151
    @africanuru2151 2 года назад +2

    Kaza mwendo ndugu

  • @vincentomutubula9170
    @vincentomutubula9170 2 года назад +2

    ombea yangu sasa. I am the next

  • @AfricanBeauty-z9k
    @AfricanBeauty-z9k 2 месяца назад

    Hatimae nimepata wimbo wa kuongilia wenye neema ya mungu❤❤❤❤🎉🎉

  • @stuwartsosthenes1977
    @stuwartsosthenes1977 2 года назад +1

    Ndoa eee takatifu ona leo, ona leo takatifu!

  • @papatmaurice2628
    @papatmaurice2628 2 года назад +17

    Upendo kutoka Uganda.Huyu ndiye Mtumishi naomba Mola aniunganishe naye kufanya Kolabo.

  • @vivianmakaka210
    @vivianmakaka210 2 года назад +15

    This is will be My weeding song in the name of jesus 🙏🙏🙏2023

  • @Psychology-all
    @Psychology-all 2 года назад +2

    Kwenye hiyo ndoa nilikuwepo ila sijioni mbona jamani,,,, hongera sana Boni mwaitege nyimbo nzuri sana yaani ubarikiwe sana

  • @masterkey536
    @masterkey536 2 года назад +1

    Boni mwaitege ni moto

  • @james008BOND7
    @james008BOND7 2 года назад +33

    First to comment,,wap likes za mtumishi wa mungu@bony mwaitege🙏🙏

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 2 года назад

    Nyimbo nzuri sana kutoka kwa brother bony Asante San bro.wacha mungu atangulie kwenye huduma yako Anda be blessed,all the way watching and listening you from uwarabuni but 🇰🇪 Kenyan citizen all Kenyans we love you bony

  • @belindahakoth8876
    @belindahakoth8876 Год назад +4

    Wimbo huu ni ushuhuda kwangu. Mungu tu anaelewa. Ubarikiwe sana.

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 2 года назад +2

    Bonny huzeeki

  • @polynenkirote6007
    @polynenkirote6007 2 года назад +4

    Wow nyimbo zenye mafunzo mengi

  • @elizabethkibona9289
    @elizabethkibona9289 2 года назад +5

    Naomba huu wimbo uendeleee kuishi miaka mingiiii

  • @DanielGongeOfficial
    @DanielGongeOfficial 2 года назад +7

    Wamefunga Ndoa
    Wimbo Mzuri Sana Huu Mungu Ametupatia Tena Wimbo Mzuri Wa Ndoa Kupitia Baba yetu Bony Mwaitege Sasa Nimwendo Wakufunga Ndoa Tu

  • @CatharineNasipwondi-lk2hl
    @CatharineNasipwondi-lk2hl 4 месяца назад

    very good songs amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ you are wonderful God 💓💓💓 amen 🙏🙏🙏 amen 🍀🍀🍀💐💐💐💐💐 hallelujah 👏🏽👏🏽👏🏽 nice one song amen 🙏🙏🙏 amen 💟💟💟💝💝💝💥💥💥 ooooh well done Bonny hahaha kweli

  • @CatharineNasipwondi-lk2hl
    @CatharineNasipwondi-lk2hl 5 месяцев назад

    nice one song amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ you are only my father in heaven 🙏🙏🙏 amen

  • @benbarasakenya
    @benbarasakenya 2 года назад

    Nimepata wimbo ya harusi yetu 🙏🙏🙏🙏

  • @emiliaslugongo4660
    @emiliaslugongo4660 2 года назад +3

    Wakwaz kuview

  • @jhonichisomo4797
    @jhonichisomo4797 2 года назад +1

    Asante saana mtumishi from 🇧🇮💚💛🧡

  • @NeemaWhite
    @NeemaWhite 5 месяцев назад

    Wimbooo wa harusi yangu nime pataaa sasaaaa

  • @mercyndoli5296
    @mercyndoli5296 2 года назад +1

    Nakupenda hy bony congrats you song

  • @maswaggjuma1925
    @maswaggjuma1925 2 года назад +1

    Bonny i like the way you slide...🍷👈

  • @museepasclia7706
    @museepasclia7706 2 года назад +2

    Kazi nzuri bonny ubarikiwe sana naomba nami nikaweze kufunga ndoa ya ndoto yangu in Jesus name

  • @franckmulajnawej496
    @franckmulajnawej496 2 года назад +2

    Mungu asifiwe

  • @abiudwamalwa9155
    @abiudwamalwa9155 2 года назад +1

    Mungu akusidishie neema mtumishi, nakufuatilia kutoka Kenya shàlom

  • @nestorassani5461
    @nestorassani5461 2 года назад +2

    ndoa, mungu nijaliye na mimi ni funge ndoa 🙏👉❤🌹🙏

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 2 года назад +2

    Bonny mwaitege ❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️. Mungu akutunze

  • @israelbhai1340
    @israelbhai1340 2 года назад +3

    Ubarikiwe Baba

  • @rabanphotostudionyakanazi_4115
    @rabanphotostudionyakanazi_4115 2 года назад +1

    Napaona kigogo freshi

  • @metrineterah3304
    @metrineterah3304 2 года назад +2

    Wimbo WA harusi nimepata WA kufanya naye harusi ndio bado sijapata.Barikiwa Bonnie much love from Kenya 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mariamsal9835
    @mariamsal9835 2 года назад +2

    Yes ❤

  • @elishatadeo9968
    @elishatadeo9968 2 года назад +3

    Waaaaaaaaaawooooooooooo wimbo maalum kwajili ya ndoa

  • @ericktito2623
    @ericktito2623 2 года назад +1

    Mungu akubariki sana natamani sana nami nifanye kazi nawewe

  • @davidichaly7483
    @davidichaly7483 2 года назад +1

    Hakika mungu azidi kukuweka

  • @HamisiMbatyani
    @HamisiMbatyani 10 месяцев назад

    Huna baya mtu wa Mungu hujawahi kuniangusha Baraka nyingi kwako ❤❤❤

  • @efrahimukyando369
    @efrahimukyando369 2 года назад +2

    Ume tisha kaka👏👏

  • @tomeseme
    @tomeseme 2 года назад +5

    God bless you man of God. Now i have a song that will be played in my wedding April 2023.

  • @EricNdayisenga-ie6xn
    @EricNdayisenga-ie6xn Год назад

    Asant sana ndugu zate mumewezi kuyimba❤❤❤❤

  • @eliudmwalugelo5191
    @eliudmwalugelo5191 2 года назад +2

    Baba ubarikiwe sana hii location nahisi kuleee niger

  • @basajames9018
    @basajames9018 2 года назад

    Hooo naipenda kolabo Toka Uganda rufuge

  • @kefaJmalimali
    @kefaJmalimali 2 года назад +1

    Baba kama Babaangu hongera sana kwakweli

    • @BonyMwaitegeOfficial
      @BonyMwaitegeOfficial  2 года назад +1

      ASANTE SANA MWANANGU KEFA

    • @kefaJmalimali
      @kefaJmalimali 2 года назад +1

      @@BonyMwaitegeOfficial ameen asanteee sana Babaangu Mungu akubariki zaidi na zaidi

  • @patrickmunene5749
    @patrickmunene5749 2 года назад

    Nice MUNGU Hakuongese masiku Mtumishi wa MUNGU 🙏

  • @Raphael99
    @Raphael99 2 года назад +4

    Mungu AKUTUNZE KIONGOZI MTUMISHI WA MUNGU UBALIKIWE SANAA

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 2 года назад +2

    Amen mtumishi wa Mungu Mungu hazidi kukupea nguvu sana🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @lisecheeverlyne
    @lisecheeverlyne 2 года назад +1

    Wimbo nzuri saanaaa

  • @papatomaso4874
    @papatomaso4874 2 года назад +2

    Kazi nzuri sana barikiwa sana mtumishi wa MUNGU

  • @petermwabulambo3919
    @petermwabulambo3919 2 года назад +2

    Umenibariki sana huu wimbo jaman wap makofi kwa mchungaji

  • @elibarikielikana1824
    @elibarikielikana1824 2 года назад +2

    Baba Ubarikiwe mno Mungu ulie nae Usimuache 🤗🙏

  • @dixminderjngao1056
    @dixminderjngao1056 2 года назад

    Safi nimefurahi kuskia saut ya martha baracka

  • @Melisacr1147
    @Melisacr1147 2 года назад +1

    jamni Nzuriiì

  • @ZoeLocalPoultryFarmHellenaDCEO
    @ZoeLocalPoultryFarmHellenaDCEO 2 года назад +5

    Video for me ohh 😆,I love the way the Bride smiles, it's a nice song for sure ❤️💕

  • @yakobomwamboya7312
    @yakobomwamboya7312 2 года назад +1

    Hongera mkuu

  • @directorwilly
    @directorwilly 2 года назад +5

    New project New hit song yes let's take this to the world 🌍😅

  • @josephatmwanjisiofficial9777
    @josephatmwanjisiofficial9777 2 года назад +2

    Iko vizur sana kaka Hongera sana

  • @isaacdicksonofficial
    @isaacdicksonofficial 2 года назад

    Ubarikiwe babayangu bony mwaitege nakupenda saana

  • @samsonjuma5618
    @samsonjuma5618 Год назад +1

    Pongezi...uimbaji uliotulia..MUNGU awatie nguvu

  • @ericmulera6822
    @ericmulera6822 2 года назад

    This minister Boni, aah!! Neema inakutosha

  • @ibrahimnyalusi436
    @ibrahimnyalusi436 2 года назад +1

    Barikiwa mtumishi

  • @chapelimohkin
    @chapelimohkin 2 года назад

    Hii wimbo nimeibada hadi mtoi akacheza

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 2 года назад +1

    Woww ❤️🥰🥰🥰🙏🙏🙏

  • @lisecheeverlyne
    @lisecheeverlyne 2 года назад +3

    Nice 👍 song brother God bless you 🙏🙏

  • @PAPAASAMMY1
    @PAPAASAMMY1 Год назад

    Safi sana kaka nakumbuka pale jacaranda kwa crusade ya apostle chris baraka tele.

  • @CharlesNgambia
    @CharlesNgambia 2 года назад +2

    Nimebarikiwa sana bro Bony,,,Mungu azidi kukupaka mafuta ufanye vizuri zaidi ndio kiu yangu,,,,,imenibariki sana

  • @nduwabikeapolinairenduwabi4379

    Nakubarisana pap natoka Burundi Big gafu sanaa

  • @PapaTheKingKenya
    @PapaTheKingKenya 2 года назад +5

    Great work 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 2 года назад +1

    Nyimbo zako Mtumishi Bony zimefungua njia zangu zilizo fungwa na Shetani 😭😭😭Mungu akupe miaka mingi Ndugu

    • @BonyMwaitegeOfficial
      @BonyMwaitegeOfficial  2 года назад +1

      ASANTE SANA NDUGU YANGU

    • @violetnafula4948
      @violetnafula4948 2 года назад

      @@BonyMwaitegeOfficial Kila siku usiku saa sita nikiimba wimbo wako mmoja nilale! Naamka na baraka nimepata kazi kumbwa Sana kupitia nyimbo zako! Nitaimba hizo nyimbo Hadi siku ya kifo changu! Wewe ni baraka kwa jamii yangu

  • @syletmoraa443
    @syletmoraa443 2 года назад +1

    Tamu sana

  • @patrickkessy5374
    @patrickkessy5374 2 года назад +1

    Hakika mungu anazidi kukutumia mtumishi wake mungu azidi kukubariki

  • @usalamaedward1189
    @usalamaedward1189 2 года назад

    Huu ni wimbo bora kwangu wa gospel kwa mwaka 2022 Hongera mtu wa Mungu kwa kutulisha wimbo mzuri sana

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 года назад

    Huu wimbo mzur saana lakini mbona umechelewa sana mtumishi? Yaani natamani ndoa yangu irudiwe kwa ajili ya wimbo huu😊😊

  • @Jossynfuniture.
    @Jossynfuniture. 2 года назад +8

    Am definitely going to play this repeatedly on My wedding day next year.....Big love❤️❤️ from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mtumishi 🙏🙏

  • @kumusitv
    @kumusitv 2 года назад

    lOVE FROM BURUNDI ❤❤

  • @sharonprecioustanui1854
    @sharonprecioustanui1854 2 года назад +1

    Congratulations my mentor

  • @rchrismbarikiwa
    @rchrismbarikiwa 2 года назад +3

    Official wedding song

  • @dalphineadisa6374
    @dalphineadisa6374 2 года назад +1

    From Kenya, napenda nyimbo zake zote,,baraka teletele

  • @linetflorah6871
    @linetflorah6871 2 года назад +4

    Proud of you sir 🙏 🙏

  • @priscahatsenga
    @priscahatsenga 2 года назад

    To me just praying to God and believing that I will wed one day thanks for a wonderful song man of God

  • @yoramtango2470
    @yoramtango2470 2 года назад +1

    Mungu akubark mtumishi, wimbo wako una ujumbe mzuri na pia unatukumbusha kuoa na kuolewa, Asante sana.

  • @naomyjcmusic4504
    @naomyjcmusic4504 2 года назад

    Wow 👏hongera sana Bonny napenda nyimbo zako keep going

  • @SleepyGiraffes-hc7mv
    @SleepyGiraffes-hc7mv 5 месяцев назад

    Kazi nzuri bro

  • @esthernjeri-xy4ve
    @esthernjeri-xy4ve Год назад

    Nakupenda baba unanibarik

  • @sevystaronedancer1785
    @sevystaronedancer1785 2 года назад +2

    God’s plan

  • @bishoppetermugendi5546
    @bishoppetermugendi5546 2 года назад +4

    Congratulations 👏 GOD BLESS YOU My BROTHER BONY MWAITEGE

  • @markomolloministry7722
    @markomolloministry7722 2 года назад +4

    Bonnie is a legend..nyimbo nzuri sana

  • @marionkassaila9474
    @marionkassaila9474 2 года назад +1

    Hongera pastor

  • @joemandelaofficiel3275
    @joemandelaofficiel3275 2 года назад +4

    Great love from Kenya,,, you have been my greatest fan for a very long time, and we love you and your good work. Keep on blessing us the servant of God, big up Bonny❤️❤️👍💪