Kiukweli uliyoyaongea yote anayo rafiki yangu nifiwa na baba yangu hakusubutu kuja kushiliki mazishi na mengine mengi mabaya keshanifanyia ila kwa sasa nilishamweka kando yangu
Pole sana ndugu yangu, uzuri umesha mjua ni vema kukaa nae makini na Kwa maneno mengine huyo siyo mtu wa kuambatana nae katika safari Yako ya huko unako elekea katika kutimiza ndoto na maono Yako. Watu wa namna hiyo wamewafanya watu wengi sana washindwe kutimiza ndoto na maono Yao.
@@Fidelisrugarabamu asante kaka, ata mwaka 2024mwezi wa 01/ nilipata ajali ya bodaboda nilizimia siku 2 lakini yeye alikuja hosiptali na kuanza kunichukua video na picha ila madoctar walipomwambia asaini ili mi nipewe uduma ya matibabu alinikana na kudai kuwa anaofia nikifa hajui pa kunipeleka ndipo walipojitolea watu kutia sahihi ili niudumiwe maana nilikuwa sitambui kinacho endelea duniani kwa wakati huo
Pamoja Sana 🙏
Niwengi sana wenye tabia ulizo zitaja
🎉🎉🎉
Hakika 🙏
Kiukweli sifa,zote ulizozitaja zinamashiko Cha msingi kuendelea kuwasoma maadui waliojibeba kwenye ulafiki