- Видео 57
- Просмотров 30 657
Fidelis Rugarabamu
Добавлен 28 дек 2021
Karibu sana kwenye RUclips channel ya FIDELIS RUGARABAMU Kwa ajili ya kujifunza mambo mbali mbali ya kuelimisha kuhusiana na maisha ili uweze kutimiza ndoto na maoni Yako uliyonayo. Subscribe Kwa ajili ya kupata maudhui mbali mbali pindi tunapo yaweka ili yaweze kukufikia Kwa haraka na kukusaidia kutimiza ndoto na maono uliyo nayo.
"Together we move, No one to be left behind".
"Together we move, No one to be left behind".
TABIA ZINAZO POTEZA PESA ZAKO - FIDELIS RUGARABAMU
TABIA ZINAZO POTEZA PESA ZAKO - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров: 19
Видео
SABABU ZA WATU WENGI KUSHINDWA KUTIMIZA MALENGO YAO - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 1021 день назад
SABABU ZA WATU WENGI KUSHINDWA KUTIMIZA MALENGO YAO - FIDELIS RUGARABAMU
HATUA ZA KUCHUKUA BAADA YA KUANGUKA KATIKA MAISHA YAKO - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 921 день назад
HATUA ZA KUCHUKUA BAADA YA KUANGUKA KATIKA MAISHA YAKO - FIDELIS RUGARABAMU
HOFU AMBAZO UNAPASWA KUZISHINDA KATIKA MAISHA YAKO - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 6021 день назад
HOFU AMBAZO UNAPASWA KUZISHINDA KATIKA MAISHA YAKO - FIDELIS RUGARABAMU
MASWALI HAYA WANAUME WENGI HAWAPENDI KUULIZWA - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 1521 день назад
MASWALI HAYA WANAUME WENGI HAWAPENDI KUULIZWA - FIDELIS RUGARABAMU
JINSI YA KUVUKA KATIKA MATESO - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 921 день назад
JINSI YA KUVUKA KATIKA MATESO - FIDELIS RUGARABAMU
SABABU ZA WATU KUJITOA UHAI WAO - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 121 день назад
SABABU ZA WATU KUJITOA UHAI WAO - FIDELIS RUGARABAMU
UJUZI UNAO HITAJI KATIKA MAISHA YAKO - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 321 день назад
UJUZI UNAO HITAJI KATIKA MAISHA YAKO - FIDELIS RUGARABAMU
USIPOTEZE WATU WA AINA HII KATIKA MAISHA YAKO - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 521 день назад
USIPOTEZE WATU WA AINA HII KATIKA MAISHA YAKO - FIDELIS RUGARABAMU
VITU VINAVYO WAKERA WANAWAKE - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 1321 день назад
VITU VINAVYO WAKERA WANAWAKE - FIDELIS RUGARABAMU
MAMBO YANAYO ZUIA KUSUDI LAKO KUTIMIA - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 7Месяц назад
MAMBO YANAYO ZUIA KUSUDI LAKO KUTIMIA - FIDELIS RUGARABAMU
MAMBO YA KUFANYA PALE UNAPO KUWA KATIKA CHANGAMOTO - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 9Месяц назад
MAMBO YA KUFANYA PALE UNAPO KUWA KATIKA CHANGAMOTO - FIDELIS RUGARABAMU
SIFA KUU 7 ZA MSOMI BORA - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 8Месяц назад
SIFA KUU 7 ZA MSOMI BORA - FIDELIS RUGARABAMU
EPUKA MAMBO HAYA PALE UNAPO KUTANA NA MTU KWA MARA YA KWAMZA - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 17Месяц назад
EPUKA MAMBO HAYA PALE UNAPO KUTANA NA MTU KWA MARA YA KWAMZA - FIDELIS RUGARABAMU
USIPUUZIE ISHARA HIZI KATIKA MAISHA YAKO - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 6Месяц назад
USIPUUZIE ISHARA HIZI KATIKA MAISHA YAKO - FIDELIS RUGARABAMU
MAMBO YA KUFANYA BAADA YA MAHUSIANO KUVUNJIKA - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 1Месяц назад
MAMBO YA KUFANYA BAADA YA MAHUSIANO KUVUNJIKA - FIDELIS RUGARABAMU
POTEZA KILA KITU LAKINI USIPOTEZE KITU HIKI - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 4Месяц назад
POTEZA KILA KITU LAKINI USIPOTEZE KITU HIKI - FIDELIS RUGARABAMU
MAMBO YANAYO UA MAHUSIANO YAKO - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 6Месяц назад
MAMBO YANAYO UA MAHUSIANO YAKO - FIDELIS RUGARABAMU
TOFAUTI YA MWANAMKE NA MWANAUME KATIKA NDOA - FIDELIS RUGARABAMU.
Просмотров 5Месяц назад
TOFAUTI YA MWANAMKE NA MWANAUME KATIKA NDOA - FIDELIS RUGARABAMU.
SABABU ZA WANAWAKE KUWA ULIZA WANAUME MASWALI HAYA - FIDELIS RUGARABAMU.
Просмотров 11Месяц назад
SABABU ZA WANAWAKE KUWA ULIZA WANAUME MASWALI HAYA - FIDELIS RUGARABAMU.
DALILI HATARI SANA KATIKA UPENDO - FIDELIS - RUGARABAMU
Просмотров 14Месяц назад
DALILI HATARI SANA KATIKA UPENDO - FIDELIS - RUGARABAMU
UKIONA DALILI HIZI UJUE BADO UNAMPENDA - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 2Месяц назад
UKIONA DALILI HIZI UJUE BADO UNAMPENDA - FIDELIS RUGARABAMU
DALILI ZA MTU ANAE TAKA KUKUACHA - FIDELIS RUGARABAMU.
Просмотров 56Месяц назад
DALILI ZA MTU ANAE TAKA KUKUACHA - FIDELIS RUGARABAMU.
HATUA ZA KUBORESHA MAHUSIANO YAKO - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 16Месяц назад
HATUA ZA KUBORESHA MAHUSIANO YAKO - FIDELIS RUGARABAMU
HATUA UNAZO ZIPITIA BAADA YA MAHUSIANO KUVUNJIKA - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 7Месяц назад
HATUA UNAZO ZIPITIA BAADA YA MAHUSIANO KUVUNJIKA - FIDELIS RUGARABAMU
WEWE UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 8Месяц назад
WEWE UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - FIDELIS RUGARABAMU
MANENO AMBAYO HAUTAKIWI KUMWAMBIA MPENZI WAKO - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 552 месяца назад
MANENO AMBAYO HAUTAKIWI KUMWAMBIA MPENZI WAKO - FIDELIS RUGARABAMU
IJUE SAIKOLOJIA YA MAISHA - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 342 месяца назад
IJUE SAIKOLOJIA YA MAISHA - FIDELIS RUGARABAMU
JINSI YA KUWEKA MALENGO NA KUFANIKIWA - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 793 месяца назад
JINSI YA KUWEKA MALENGO NA KUFANIKIWA - FIDELIS RUGARABAMU
IJUE NGUVU YA MAONO KATIKA KUFANIKIWA - FIDELIS RUGARABAMU
Просмотров 903 месяца назад
IJUE NGUVU YA MAONO KATIKA KUFANIKIWA - FIDELIS RUGARABAMU
Siri Yake nikujituma bro nice Sana nimependa umechambua good Sana bro
God bless you 🙏
Thank you
God bless you, and never give up 💯
Kikubwa nilujiamini
Nikweli kaka yangu kitu chakusikiliza nivibaya sana kikubwa nikumuomba Mungu
Amina sana katika unacho kifanya na umuombe Mungu. Kumbuka Mungu ndiye umuinua mtu na kumfanikisha kupitia watu wengine. Jitahidi sana kuendelea kumtumainia Mungu.
Nice good 👍
Tupo pamoja ndugu yangu mpendwa 🙏
Safi sana, nimepata kitu
good
Mimi nimifraia sana masomoheno
Asa sauti mbona huna
Umenifulaish revi je wewe inayofundisha wenzio unayafanya by re
Umenifulaish revi je wewe inayofundisha wenzio unayafanya by re
🔥🔥🙌
Sahihi mwanangu😢😢😢
Belo nalipataje sasa
🎉
❤❤❤
Hapo umenena bro
Amen 🙏🙏
Asante mwalimu kwa ujumbe mzuri. Nimefurahi Sana kuna kitu nimejifunza kutoka katika ujumbe huu❤❤❤❤🎉🎉
Ahsante kaka nmekuelewa
Niwengi sana wenye tabia ulizo zitaja
Huu ndio ukweli mwalimu.
Hakika 🙏
Asante sana mwalimu kwa kunisaidia kuyajua mambo haya, kweli nilipoteza muda mwingi sana kwa sababu ya kuwasikiliza watu wanasemaje. Ubarikiwe sana Mungu azidi kukutunza wewe ni tunu kwenu❤❤❤
Kiukweli sifa,zote ulizozitaja zinamashiko Cha msingi kuendelea kuwasoma maadui waliojibeba kwenye ulafiki
Kiukweli uliyoyaongea yote anayo rafiki yangu nifiwa na baba yangu hakusubutu kuja kushiliki mazishi na mengine mengi mabaya keshanifanyia ila kwa sasa nilishamweka kando yangu
Pole sana ndugu yangu, uzuri umesha mjua ni vema kukaa nae makini na Kwa maneno mengine huyo siyo mtu wa kuambatana nae katika safari Yako ya huko unako elekea katika kutimiza ndoto na maono Yako. Watu wa namna hiyo wamewafanya watu wengi sana washindwe kutimiza ndoto na maono Yao.
@@Fidelisrugarabamu asante kaka, ata mwaka 2024mwezi wa 01/ nilipata ajali ya bodaboda nilizimia siku 2 lakini yeye alikuja hosiptali na kuanza kunichukua video na picha ila madoctar walipomwambia asaini ili mi nipewe uduma ya matibabu alinikana na kudai kuwa anaofia nikifa hajui pa kunipeleka ndipo walipojitolea watu kutia sahihi ili niudumiwe maana nilikuwa sitambui kinacho endelea duniani kwa wakati huo
Hongera sana kijana wetu tunashukuru kwa darasa
Kazi nzuri bro
💯💯💯👍👍
Kazi nzuri sana mwalimu, Asante kwa kutuelimisha🙏🙏🙏🙏🙏
Safi
Ujumbe MZURI 🔥
Kweli mwalimu nashukuru sana mafundisho yako mazuri sana.
Asante mwalimu kwa ushauri wako
🙏🙏🦶
❤❤
Asante mwalimu namshukuru sana kwa mafundisho yako mwalimu.
Kweli mwalimu asante sana ubarikiwe.
kutumia pesa na kujua nitapata zingine
Yes good 💯
Pamoja Sana 🙏
🎉🎉🎉
❤❤
Good 👍
Yes good
👏👏👏👏
Yes good trying 💯👈
Safi sana
Nakubali ushauli wako bro 🔥
Mimi nina mpango wa kufungua duka dogo hata la M2 .nitatoboa kwel?😊
Utatoboa kweli, kikubwa amini katika wazo lako nakulifanyia kazi bila kuchelewa.