Kutoka KUUZA DUKA mpaka kuwa MKE WA CHRISTIAN RONALDO. Maisha ya KUSIKITISHA ya Georgina Rodriguez

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 июл 2023
  • КиноКино

Комментарии • 28

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 10 месяцев назад +2

    Mwenyezimungu nasisi atujalie bahati Kila mahali sisi na vizazi vyetu Amin🙏

  • @sjmw219
    @sjmw219 8 месяцев назад

    Justin shed naomba historia ya lupiter ny'ony'o

  • @thebananapeddler4573
    @thebananapeddler4573 10 месяцев назад +2

    First commenter here from Kenya.

  • @IbrahimShan-qu3um
    @IbrahimShan-qu3um 6 месяцев назад

    CR7

  • @satwanthoogan6429
    @satwanthoogan6429 10 месяцев назад

    Ila uyo dada mrembo sanaaa!!❤🥰👌🏻

  • @kautharsalat6449
    @kautharsalat6449 10 месяцев назад +2

    Bahati huwa inakuja mara moja kwa kweli

  • @seanpeterwatownseanpeterwa2853
    @seanpeterwatownseanpeterwa2853 10 месяцев назад

    Kazi nzuri

  • @seanpeterwatownseanpeterwa2853
    @seanpeterwatownseanpeterwa2853 10 месяцев назад

    Goodluck ❤

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 10 месяцев назад

    Pamoja bongo fasta 🙏🇹🇿🇬🇷

  • @andrewmgomath1054
    @andrewmgomath1054 10 месяцев назад +1

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 10 месяцев назад +1

    👊👍✌️.

  • @samirajohn6938
    @samirajohn6938 10 месяцев назад +1

    Kuna watu wanabahati sana duniani khan

    • @Dantaata
      @Dantaata 10 месяцев назад

      kama nawaona mademu wetu wa kibongo,, wanatamani hata mumroge dada wa watu

    • @MwinyiJuma-ce3eq
      @MwinyiJuma-ce3eq 10 месяцев назад +1

      Nikweli kabisa mmoja wapo nin Mimi Asante Mungu kwakila jambo...Ya Allah zidiniiiy..Amin.

  • @medystarter
    @medystarter 10 месяцев назад

    Kwanza TENGUA KAULI uyo sio mkewe ni mzazi mwenzake tu,kila mwisho wa mwezi anamlipa bado awaja funga ndoa bro

  • @ashasaid9056
    @ashasaid9056 10 месяцев назад

    Mungu humpa amtakae

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 10 месяцев назад

    Huyo si mke ni mpenzi wa Ronaldo

  • @user-xt6sg3cx9o
    @user-xt6sg3cx9o 10 месяцев назад

    Nendeni Netflix ndo kaelezea maisha yake yote

  • @Dantaata
    @Dantaata 10 месяцев назад

    kama c Ronald alitoka na Kim Kardashian mbona kwenye Ile video ya mikosi ya familia ya kina Kim hukumtaja

  • @albertkatuga2434
    @albertkatuga2434 10 месяцев назад +1

    Mbona hutu dada ni mwanamitindo na kakutana naye akiwa mwanamitindo, na baba yake ndio wakala wa Cristin Ronaldo, kama sivyo nielekezeni maana hapo nakataa, huyo dada kwao sio masikini😃😄😄

    • @catherinekiwipa9271
      @catherinekiwipa9271 10 месяцев назад +2

      Duuu labda unamsemea x wake irina shaki Ila sio Gio

    • @user-gi3vc5gx2n
      @user-gi3vc5gx2n 10 месяцев назад +1

      Dada huyo alikua muuza duka bhana

    • @daimasospeter6856
      @daimasospeter6856 10 месяцев назад

      Atakuwa anamsemea Irina lakin geo hakuwa mwanamitindo

    • @albertkatuga2434
      @albertkatuga2434 10 месяцев назад

      @@daimasospeter6856 google ipo au RUclips ipo pia mtafuteni huyo dada mtarudi kunipa majibu,

    • @albertkatuga2434
      @albertkatuga2434 10 месяцев назад

      @@catherinekiwipa9271 mtafuteni huyo dada mtakuja kusema na hiyo ndio kazi yake ya mitindo mpaka leo