I hope you reply to this comment... I'm a data analyst by profession Niko na background ya sociology with IT na plus mm na mambo ya Ku apply AI stuffs nimeiva mbaya (I'm an AI enthusiast) nilikuwa nauliza kuna opportunities huko Gulf na hizi skills zangu juu hii Kenya imekataa man.... Plus nataka kujipanga niingie hizo maarea next year... I will appreciate your answers
Asante bro bt nimekuja direct kazi yanyumba BT nilipata mudozi mbaya ananiteza Malia hata kulipwa ni shida hadi kutuma heli ukuje na company maana inaingilia kati in short kazi ya nyumba dirrect ni kukandamizwa hadi nimekua affectect akilibt maisha kwa neema ya Mungu nafumilia nimalize nitokeniombee popote mlipo
Qatar 🇶🇦 is the most safest country in the whole world in terms of security
More Kenyans should take this opportunity to work in Qatar. I am trying to take the opportunity too.
Kabisa.
@@JUSTZEKII want to go n work over there nipe connection bro
Kasongo ame fail ku create jobs watu wanatoroka Kenya???
Everything is sooo positive....kuna wale wanateseka pia..tupe hizo pia kaka
Napenda kazi unafanya bro endelea hivyo hivyo bro👊🏿
Nashukuru.
Wow
Thank you for your support. 🌹🌹🌹🙏
Nice Work.
Kuna wenye wanatezwa sana sasa kama hutezwi shukuru Mungu
Noma sana.
Kazi safi Sana bro...🤗
This was awesome atleast I met you live good vibe bro
Appreciated 🌹🙏
Zeki naomba unisaidie vile nitapata kazi naomba number
Woooow. Nice work.
Thank you! Cheers!
Saudi is the best than hata kaa iasemwa vibaya better usafiri na company sio direct utateza bila kusajiliwa hadi alize
That is fantastic interview keep it up
Thank you! Will do!
Tutafutieni Kaz huko
Good one
Woow inspiring me to come to Doha
Thanks.
Hakuna kitu poa kupata mkenya majuu.
Wasee wa turkey 💪🏿
Kabisa.
Am finding that opportunity to doha
New subscriber hapa!
Kabisa bro. karibu
Qatar 🇧🇭🇧🇭
Awesome 👌👌👌
Thanks 🤗
Nice work
Thank you! Cheers!
Nice 👍
This is such a vibe
Kabisa
good job zeki
Thanks Kwamboks appreciated.🙏🇰🇪
That's awesome 👌
Thank you! Cheers!
@@JUSTZEKIgood job
This is great keep it up
Thanks, will do!
Tony amefikiwa 👊
Tumefikiwa wasee wa ghetto.
Nitapata aje just z natamani sana
Iko sawa bro tuko radar
Kabisa msee
Wow nice 👏 👌
Shukran🙏
Awesome work 👍
Thank you! Cheers!
Sijui ntapata wapi connection
How do you do to go there
Matters Safety that one is Guaranteed ✓
Am tired 😴😪 with gulf stories 😂 after many years of being in many gulf countries
Haha now start listening to Huku yues stories.😁🌹
I hope you reply to this comment...
I'm a data analyst by profession Niko na background ya sociology with IT na plus mm na mambo ya Ku apply AI stuffs nimeiva mbaya (I'm an AI enthusiast) nilikuwa nauliza kuna opportunities huko Gulf na hizi skills zangu juu hii Kenya imekataa man.... Plus nataka kujipanga niingie hizo maarea next year... I will appreciate your answers
Fiti sana, this land is full of opportunities. wee jitume ufike then kwa ground you see what comes your way. With your skill huwezi kosa namna.
@@JUSTZEKI Sawa Acha ikifika hiyo time nitakuholla tuone penye tunaweza saidiana
Asante bro bt nimekuja direct kazi yanyumba BT nilipata mudozi mbaya ananiteza Malia hata kulipwa ni shida hadi kutuma heli ukuje na company maana inaingilia kati in short kazi ya nyumba dirrect ni kukandamizwa hadi nimekua affectect akilibt maisha kwa neema ya Mungu nafumilia nimalize nitokeniombee popote mlipo
Pole dear.
🤝🏿🤝🏿awesome job bro
Thanks 💯
Caro mgotee sana
Gotea ANN sana for coming through
Zimefika
Big up zeķi I'm your biggest fan
Appreciated bro
Huyo dem si angetoa izo dirisha....
Just Zeki. Thanks for this feature. Awilo is my Bro and super proud of him and happy to see him in the streets of Doha
😁
Connection ya hizo driving jobs
Nice tutakam huko
Karibia kabisa
Madem wa kiambu tunajua kutafuta pesa
Hahaha kabisa.
Good job
Appreciated
Which recuarement do you need
Passport, good conduct, money.
Zeki pia mm nadai kusaka job ya securityguard but cjui nitafte wapi btw qatar na Dubai nhelp bro
I'm interested
Sawa
Ma sisters ❤u all 💪
Strong.
Niko kimbo ruiru.
Shukran sana.
Hio agent ati inaitww co-operative what?
😂😂😂🇰🇪🌹
Iko freshi unity 🔥🔥🔥
Thanks bro.🌹
checking in my G
Ruiru kimbo kabisa 😅😅😅home town
🎉❤
Someone to connect me please with a cleaning job in Qatar please I've been trying to get a job but its hard plus commission
Bila commission bro itakuwa hard na life ya sahizi. But wishing you all the best.
bro talk about driver
Sawa soon bro.
Hi nataka number ya agency mpoa
Kasongo ame fail ku create jobs watu wanatoroka Kenya???
How can I get a job number of agent intrested
❤❤
Nataka kazi pliz naomba number unielezee
Jezi from ansar???
Yeah Ansar Gallery representing
Patrico send me.. I'm new here... chance's za jobs zikuje sasa... legit agent's
Woooow. Nice work.
Sijui ntapata wapi connection
Tembelea Agents dear.