TANGAZO LA VIWANJA VIKINDU VIANZI BEI NAFUU TSH 1,200,000/= TU.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • 💥TANGAZO LA VIWANJA VYA BEI NAFUU VIKINDU
    ⏹️Tunauza Viwanja bora vilivoko Vikindu-Vianzi-Chang'ombe, ambayo iko Wilaya ya mkuranga.
    ▶️Viwanja vyetu Vikindu-Vianzi-Chang'ombe,Vinapatikana kwa bei nafuu sana Tsz 1,200,000.
    ▶️Unavikosaje viwanja hivi wakati unapewa fursa ya kulipia asilimia 70% inayobakia miezi 3 tu.
    Vinafaa kwa makazi na biashara.
    ▶️Viwanja vyetu viko umbali wa kilometa 4 kutoka Vianzi mjini.
    ▶️Umbali 5 kutoka stendi ya vikindu,kwa barabara nzuri ambazo zinarahisisha usafiri.
    *⏹️SABABU ZA KUAMINIKA*⏹️
    1️⃣Je,viwanja vina hati miliki?
    Ndio viwanja vyote vina hati halali ambazo zimethibitishwa na mamlaka husika.
    2️⃣Aina gani ya hati inayopatikana?
    Hati ni za serikali ya mtaa, na kulingana na matumizi yaliyokusudiwa.
    3️⃣Je hati miliki ni safi?
    Ndiyo hati zote ni safi na hazina mgogoro yoyote wala deni lofoten.
    4️⃣Je kuna gharama yoyote ya kumiliki hati?
    Ndiyo gharama za kumiliki hati zipo ni za kawaida na zipo wazi sana kwa mamlaka husika.
    ⏹️HUDUMA MUHIMU ZINAZOPITIKANA VIANZI-CHANG'OMBE ⏹️
    1️⃣Afya kuna Zahanati ipo Chang'ombe magengeni.
    2️⃣ELIMU shule ya msingi Chang'ombe magengeni.
    *⏹️UKUBWA WA VIWANJA ⏹️
    1️⃣Kiwango cha ukubwa wa viwanja ni mita ngapi za mraba?
    ✅Kiwango cha chini ni futi 40x50 (SQM 200)
    Lakini vinaendelea kuanzia Sqm 400,600m 800m hadi 5000.
    Kutegemea na mahitaji ya mnunuzi, ukihitaji heka kadhaa unapata.
    ⏹️BEI NA MALIPO ⏹️
    1️⃣bei ya kila kiwanja ni kiasi gani?
    Sqm 200(Futi 40x50) Vinaanzia Tsz 1,200,000 kwa kiwanja kulingana na ukubwa na eneo.
    2️⃣Je bei ina mazungumzo?
    Ndio tunaweza kujadiliana kwa kiasi fulani ili kuhakikisha mnunuzi ameridhika.
    3️⃣Je kuna mpango wa malipo kwa awamu?
    Ndio mpango wa malipo kwa awamu upo.
    4️⃣Je ni gharama gani za ziada ambazo zinzhitajika?
    Gharama pekee ni za usajili wa hati, ambazo ni za kawaida zinategemea na mamlaka za serikali.
    ▶️Mawasiliano zaidi tupigie simu kwa namba hizo⏬
    0676 303090 au 0746 513090
    Mnakaribishwa kujenga taifa kwa kumiliki kiwanja chako mwaka huu 2025.

Комментарии •