Bwana asifiwe Bwana awabriki sana kwa kazi dada mko vizuri sana mavazi yenu yanamtukuza Bwana ila nawaomba kwa unyenyekevu mkichona tena mjarubu kuchona zinazofunika kifua Bwana awabariki sana
Huwezi kumshangaza mungu mchungaji kwa hapo tuombe toba na suleman hakumshangaza pia MUNGU ila MUNGU alitakabari sadaka zake kwa kua pia alikua mnyoofu wa moyo sadaka ya wenye dhambi ata iwe kubwa vipi haimpendezi MUNGU bali kabla ya sadaka watu wabadilike wawe watakatifu kwanza kama kanisa la abiudi wamenyooka sana nimeshuhudia sadaka baada ya somo na kusafishwa
Mchungaji huwezi kumshangaza MUNGU ata sulemani MUNGU alitakabari sadaka yake si kumshangaza na kabla ya sadaka utakaso kwanza kwani sadaka kubwa ya mwenye dhambi MUNGU awi radhi nayo UTII NI BORA KULIKO DHABIHU mch. Abiud waumin hutoa sadaka baada ya neno na utakaso mtu atoe akiwa ameoshwa na kumuelewa MUNGU tuombe toba kwa ili YESU atusadie
Wimbo huu tunauweka na mme wangu tukiwa tunaenda kwenye Injili n mtamu sanaa tunaupiga mtaani una nguvu ya Mungu
Mungu Awabariki Sanaaa, kwa kuvaa mavazi ya heshima mueendelee hivo
Barikiwa sana pastor niombee kaka yangu aache pombe mwaka huu afanye makubwa ya kushangaza
Mungu akurinde mtumishi
Bwana asifiwe Bwana awabriki sana kwa kazi dada mko vizuri sana mavazi yenu yanamtukuza Bwana ila nawaomba kwa unyenyekevu mkichona tena mjarubu kuchona zinazofunika kifua Bwana awabariki sana
Ngala mutoni mungu awabaliki ninajiungamanisha nahapo madhabahuni nguvu iliyofufua yesu iniponye kwelikweli naamina sana🙌🙌🙌🙌
Amen injili isiyochakachuliwa ndio hii na wengine waige barikiwa sana mtumishi wa Mungu,Mungu aendelee kukutumia useme ukweli,hakika una taji.
Amina Mungu awabariki wana sifa mnabaliki kwanzia mavazi
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Bwana kwa Neno la Mungu lisilogoshiwa na lenye uzima wa milele,asanta kwa somo la ubatizo
Napenda unavyo hubiri injili ya kweli bila kumuogopa Mtu
Amina amina asante yesu
Ameni hakika babadada
Hakika sadaka inanena👏👏👏
Amina mtumishi wa Mungu aliye hai
Mungu awa bariki sana
Amen amen
Kwani hii sadaka maalum ndio gani ama imetiwa nini mbona mchungaji unajali tumbo lako kuliko neno la mungu sijapenda huo wizi acha watoe kwa hiari
Lazima injili ihubiriwe
MBALIKIWE SANA NABWANA
God is good ♥️🥰❤️
Ameeeen
Niko Burundi nawapenda sana munanibaki
Amen
Glory to God
🙏🧎
Amina
Amina kubwa
Jin la Bwana libarikiwe Sana.
❤❤❤
Moto umewaka moto umewaka haya ndiyo mahubiri yanayoliponya kanisa kwa aliyetayari.
Asanteni kwa mlioandaa mkutano tunamuhitaji Mungu Arusha yetuuuuu
Huwezi kumshangaza mungu mchungaji kwa hapo tuombe toba na suleman hakumshangaza pia MUNGU ila MUNGU alitakabari sadaka zake kwa kua pia alikua mnyoofu wa moyo sadaka ya wenye dhambi ata iwe kubwa vipi haimpendezi MUNGU bali kabla ya sadaka watu wabadilike wawe watakatifu kwanza kama kanisa la abiudi wamenyooka sana nimeshuhudia sadaka baada ya somo na kusafishwa
Mchungaji huwezi kumshangaza MUNGU ata sulemani MUNGU alitakabari sadaka yake si kumshangaza na kabla ya sadaka utakaso kwanza kwani sadaka kubwa ya mwenye dhambi MUNGU awi radhi nayo UTII NI BORA KULIKO DHABIHU mch. Abiud waumin hutoa sadaka baada ya neno na utakaso mtu atoe akiwa ameoshwa na kumuelewa MUNGU tuombe toba kwa ili YESU atusadie
Eeeh Kwa kweli hii ni zauti ya bwana ubarikiwe sana abiudi