Wanawake wenye Majina yanayoanzia herufi F"R" wanaume sahihi kwao awe na sifa hizi.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии •

  • @KimbilimaSocial-dy9cl
    @KimbilimaSocial-dy9cl 11 месяцев назад +2

    Kabisa mimi ayo
    Yamenikuta nimeshuka
    Kaka maana dah nilikuwa
    Na mkwanja mkubwa sana

  • @Fatumamuu
    @Fatumamuu 10 месяцев назад +2

    Mmh kaka km unaniona mm

  • @feycharles1995
    @feycharles1995 3 месяца назад +1

    mi huwa nashindwa kuelewa wengine wanatumia tarehe za kuzaliwa wengine wanatumia herefu tuchague lipi?

  • @Rose-gv8fq
    @Rose-gv8fq 2 года назад +4

    🤣🤣🤣🤣wacha nicheke umenifunza kitu nimeshika

  • @satunnaja
    @satunnaja 7 месяцев назад +1

    nakumbuka hadi ofisini nilikuwa naenda na mguu umeongea ukweli mtupu kaka

  • @FadhilaSwalehe-dl8ko
    @FadhilaSwalehe-dl8ko Год назад

    Asante sana kaka unmenisaidia sana Allah akulipe

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Год назад +1

    Mwekutaka mke wapi😂😂😂

  • @aash4145
    @aash4145 Год назад +1

    Kiarabu yabis ni ugumu, au kitu kigumu👍👍👍

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 Год назад

      Ata kiswahili pia maneno ya kiarabu ya naingiliana mengi na kiswahi

  • @rosemarysempombe8559
    @rosemarysempombe8559 2 месяца назад

    Sasa kwa ambae ni mkristo hakuna ndoa zaidi ya moja inakuwaje?

  • @Fabiolamsofe
    @Fabiolamsofe 3 месяца назад

    Apo kwenye kushuka kipato n uwongo ila uwa tunabahat ya kutajirisha wanaume

  • @muksiniabdul7155
    @muksiniabdul7155 Год назад

    Unasema kwery mie ilisha nikuta unayo sema bint alinipeleka adi kwao wazaz wake wakanambia nilete mzazi wangu swala lipite nikaleta barua yaposa ikapokelewa vzuly tu baada yasiku kazaa wakaludisha barua ety mtoto wao awez olewa mbali dah iliniuma sana ila nashukuru mungu ameniepusha namengi

  • @SivanzireNasone
    @SivanzireNasone 10 месяцев назад

    Inawezekana lakini Rebeka kaishi n'a mumewe isaka

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Год назад

    Kweli mm sina ndoa wala mausiano ndoa naichukia

  • @FayedHamid-k5t
    @FayedHamid-k5t 9 месяцев назад

    Ooh 😢😢✌❤

  • @RoseSiobe
    @RoseSiobe 9 месяцев назад

    Huyu ni mimi kapisa ukwel mtupu yooote yamenipata

  • @OmanOman-gu1wy
    @OmanOman-gu1wy Год назад

    Hii nikweli mm ninae kaolewa nakaka angu makelele kilasku mpk majiran zake nimthan mume alikuwa nakaz kabl hawakaowan alifilisik kazin akahamishwa mwanaume saiv maradh hayamtok makelele jaish

  • @m30ssamsung25
    @m30ssamsung25 Год назад

    Je kama ww ni herufu F na ni kundi la udongo. Na unamahusiano na mwanaume mwenye herufu A na ni nyota ya samaki je anafaa kua mme