SAFISHA NYOTA MWENYEWE SAA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 27

  • @SalumZengula-hu6jp
    @SalumZengula-hu6jp 17 дней назад +2

    Sawa

  • @SamOoro-v6e
    @SamOoro-v6e 13 дней назад

    Great wisdom...And very Interesting

  • @KatotoMabira
    @KatotoMabira 26 дней назад +3

    Tunakufata sana

  • @AbbasHussein-n8s
    @AbbasHussein-n8s 26 дней назад +2

    Asante sn babu, wewe ss ndo mwalimu wa Taifa, una madini ya Thamani sn kichwani.

  • @HalimaKassim-j2q
    @HalimaKassim-j2q 21 день назад +1

    Nashukuru sana kwa somo hakika unamafundisho mazuri sana❤

  • @AtanasSteven
    @AtanasSteven 26 дней назад +2

    ❤❤❤

  • @AnnaGeorge-cp5iv
    @AnnaGeorge-cp5iv 28 дней назад +1

    Asante kwa somo zuri. Barikiwa

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 28 дней назад +1

    Ahsante kwa somo zuri

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 27 дней назад +1

    Asante sana babu 🙏🏽

  • @lovedeetz4461
    @lovedeetz4461 19 дней назад +1

    Ila brooo unaabudu sana mizimu unataja Mungu kama bahat mbaya imaniyako kubwa imejaa mizimu hadi damu yako inajaa mizimu tu khaa nyie ndio mnasababisha uislamu wetu kudhalaulika

    • @LenathdeujiLendeuj
      @LenathdeujiLendeuj 18 дней назад

      Sasa wewe unafata mini uku kama unaujua uislaam alafu unakoment maneno ya hovyo

    • @lovedeetz4461
      @lovedeetz4461 17 дней назад

      @LenathdeujiLendeuj yeye aambiwe ukweli anapenda sna swala la mizimu kuiomba na kuiabudu anaamini Sana mizimu kuliko Mungu wakat mizimu yenyewe imeumbwa na Mungu ye ndo anaamini kupita kiasi mpka anaboa na mizimu yake yakimwasi

    • @allykk1459
      @allykk1459  16 дней назад

      Kwani mizimu inamilikiwa nani nani chaji Akili yako

    • @LenathdeujiLendeuj
      @LenathdeujiLendeuj 16 дней назад

      @@allykk1459 acha nawo wapungufu wa akili ye kaziyake ni kukosoa watu tu hana jingine

    • @lovedeetz4461
      @lovedeetz4461 15 дней назад

      @@LenathdeujiLendeuj Mikono yenu inayoandika itakuwa shahidi urqn imekataza kuiomba mizimu Wala kuiabudu Wala kuitegemea kwa rizki tumtegemee Mungu tu alietuumba sote achen kutetea ushirikina mizimuyakimwasi yakimwasi khaaa huko nikuona Allah hawez kwahiyo mnaomba na mizimu mnatambika na kuomba watu waliokufa. Uyu ally kk nikimpenda sna kwenye somo la kuzichambua nyota Ila mizimu kitaja ananiboa sna ajui tu

  • @gilliansimon8517
    @gilliansimon8517 6 дней назад

    Hee, haya wanaokaa nje watafanyaje, ubani hamna

  • @VonesMashete-mj5om
    @VonesMashete-mj5om 26 дней назад +1

    Uzinzifu upo sehemu fulani,na mkiachana je?

  • @djyondergigi1027
    @djyondergigi1027 25 дней назад +1

    A aleikum.
    Nakuliza juu mishuma kazi yake ifanywe Vipi ? Hiyo Ya kila Rangi ??

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 28 дней назад +1

    Hapo kwenye mishumaaa Sasa ila tutajua siku bado nyingi

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 28 дней назад +1

    Hapo kwenye mwanamke mtihani
    Na je kama huyo mtu ni nyota adui ina kuaje

    • @allykk1459
      @allykk1459  27 дней назад

      Tulisema kwenye video ilipita hatuludi nyuma

  • @obedmasaki3565
    @obedmasaki3565 27 дней назад

    Inakuwaje Mh. Herufi ya kwanza inamaanisha nyota flani na tar. ya kuzaliwa nyota nyingine?

  • @MkendaMkenda-dg4cd
    @MkendaMkenda-dg4cd 23 дня назад

    Unapatika a wap naomba namba

    • @allykk1459
      @allykk1459  16 дней назад

      KING'WASA MIKESE MOROGORO TANZANIA

  • @AdamMuhammad-c4p
    @AdamMuhammad-c4p 27 дней назад

    Usihamasishe zinaa wewe acha ujinga wewe halafu wewe ni muislm hujui kuwa zinaa ni haramu kwanza hayo masomo umeyatoa kitabu gani

    • @ramadhanishabani4965
      @ramadhanishabani4965 26 дней назад

      Ameyatoa kwa mababu na mabibi hawakuandika kitabu ye ndio anakiandaa kisubilie