Duh! MAGUFULI Apagawa na VIUNO Vya ASKARI - "Mnakata VIZURI Sana"
HTML-код
- Опубликовано: 15 сен 2024
- Duh! MAGUFULI Apagawa na VIUNO Vya ASKARI - "Mnakata VIZURI Sana"
Rais Dkt John Magufuli, leo Julai 15, amezindua makazi ya askari polisi wilayani Geita, mkoani Geita..
Hafla ya uzinduzi huo imehudhuriwa na Waziri mwenye dhamana ya Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, Mkuu wa jeshi la polisi, Simon Sirro, pamoja na mbunge wa Geita mjini, Constatine Kanyasu na Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Musukuma..
#JPM
Https://www.youtube.co.... www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho
Category
Na Mzaha kidogo watu wanafurahi Lakini Ujumbe Umefika na Mambo yanaenda. Safi sana JPM
Rama Mtetu
Waaris
Ni BUNDUKI TU ndo inawazuia kukata ,nje ya hapo,Wanakata saanaa Hadi ule wa INAMA😁😁😁😁😁😁😁
Duhhh noma sana
Kuiva ile mbaya, hapo sawa Mzee Magufuli, luvs from Kenya
Wale wanao haribu vikao vya wapinzani je
Cngulation prez daa katika watu muhim nchin ni walinda usalama na raia wake Asante polis wote
Hongera msukuma ,siku sio nyingi utapata kile ulichoomwomba IGP
Acha ukabila Mbwa wewe
Unatukana mkuu wewe.?
Hongera Sana Raisi kazi nzuri kweli
Huyu bodgad wa uncle hivi ana Cheka kweli
Hahaha
utasema kala mavi"😎
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😁😁nakwambia mpk anaogopesha mwee
Ally King haaahaaa😂😂😂anacheka Ila anang"taga ulimi kisir siri
Nampenda sana mzee wa hikma bwana Dr PM hata kama mimi sio mtz
Mchagueni Huu Dr sio siri anaweza hana roho mbaya mbaya hata kidogo wa Tz mna bahati kwa kuwa na DR JPM
wewe unaongea nini sasa jpm ana mapungufu kama mtu yoyote yule , sio malaika ,anakosea Sana Na Ndio maana pakawekwa upinzani ,
Namkubali Sana huyu mwamba JPM
Nice
Daaaaah, rais bhana
Maa asikal wanao onea raia niwengi Sana tembelea na huku utaona2
Uwakumbuke kwa neema mzee hali mbaya wapi ongezeko mzee baba mwaka wa nne huo
Ahsante mh Rais kwa kuwaambia ukweli maaskari wetu.!
hahahahahaha Rais wetu bana 💪💪💪💪💪💪💪
Uncle magu
Safi sana Mr President unasomeka sanaaaaaa!!
Penda sana JPM
heee
Amen amen. Mzee wetu unanipa raha sana . Mungu akubariki sana. Mungu ibariki Afrika yetu.Amen
Huyo Jpm ni Rafiki wa Watanzania
Hadi raha
MH Mungu akulinde ndani ya uongozi wako! Tulibambikizwa kisi myaka ya awamu ya tatu na ya nne! Kwa awamu yako kuna mabadiliko!! Pongezi sana Mheshimiwa
⚽
Hahahahahahaha eti mmeiva mambo yote
Amen amen. Mzee wetu unanipa raha sana . Mungu akubariki sana. Mungu ibariki Afrika yetu.Amen.
Kunoma sana 😃😃😃😃😃😃
Noma sana
😃🙋🙋
ahahahha mzee baba kaona viuno ahahahaha
Da
😂😂😂😂Jamaa muhuni huyu
Nimepita
Jpm kz kz aina kulemba
HUYU ndiye magufuli 🔓🔓🔓
na mafunguo🔑🔑🔑
😂😂😂😂😂
Maunoooo 😍😍😍😍😍😍
Jpm safi
Dah jp leo umenichekesha dah
Safiiiii uncle
Hatare huyu
Noumaaa uncle.
Unno
Mh
MUNGU Amlinde daima Amina
Singeli
Hahaaaa a noma kwel
Hahahaaa mewiva
Nakupenda Burr mtaniwangu
Nao ni binadamu sio maraika
wala usipoteze muda wakuwataka askari wajpange kwaajli ya uchaguzi Hata sipotezi muda wangu kupiga kura
Cc ambao hatukutumbukiwa na wenye ajila mpya pamoja na tunayaona ya awamu ya tano yalivyonyooka..😂😂😂 kura zote kwa hapa kazi tu.😁😁😁😁😁😁kama ulitumbuliwa ndugu jirudi tu.
Muheshimiwa Rais Askari wengi wanatumia nguvu na kuonea watu ila wachache ndio wana utu
Mheshimiwa kituo cha nungwi zanzibar asilimia kubwa wanafanya kazi tofauti na weledi, sisi ambao tunatokea Tanzania bara, hakuna pa kusemea pengine jicho lako litamulikwa na kumuweka mkuu wa kituo tokea Tanzania bara kama ikikuoendeza
Askali wengiwao niwaonevu wachache sana ambao wanafanya kaz kiweredi
Sefu dhsrifu smsdi Zanzibar
Mi namutaka askar wakike muzalikiwa wabukoba. Ajitambulishe apa. Awe ni single
kazi invur Sana jpm hapa kazi 2
Hahahaaaa shikamoo mkuu
Dickson Sheja Trafic hasa wanaonea mno km hawajuwi hari YA vyombo vya ki tz kukuandikia kubambikiza makosa
Haaaa hatari kweli
YAANI HILI LIJAMAA NA KULIBARI RAISI WETU SONGA MBELE TUMEPEWA NA BWANA RAIS nami naomba uendelea VIZURI HUKU UKIKAZA NAWE PIA KUMCHA MUNGU UKISIMAMIA MISINGI YA HAKI NA UKWELI WA KI-MUNGU
kweli wameiva ktk mambo yote hahahahaaaaaaaaaaaaaa magufuri bana.
Nishida
Kiuno bila mfupa SAA hatar sana hata mm nimefurahika Mzee
Mzee baba nakukubali sana kwa hotuba zako wala sisikitikii mb zangu
i love you
Up my President 🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾💪🏾💪🏾💪🏾
Mangufuri wanachekesha wazungushe vizuri
pa1 sana magu
Hata Mm nakuwa polisi ili nafanye kz kwa msukuma ❤️❤️❤️❤️
Wasiliana na mimi
Picha ya Meri ya kutekwa
Hapo
Vip
Nakupenda Rais wangu nakuombea
Aka kazee bwana
aaahaaaaa unooooo
Haaa
Kangi hoyeeeee!! viunooo hoyeee!! 🤣🤣🤣🤣🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Uyo ndio jpm mtake msitake
Mbona sioni anayekatika hapo
Vaa miwani inawezekana unamatatzo ya macho
🤩
ee namna hiyo mjomba
Kweli baba uwatunze
hahaha magu noma
Hua ana chekaa vzuri
Hahhhha, ata wew uombe tu mh
Nawacheki tu kisha nasema hiiiiiiii!!!!
Kiuno kinakatika vizuri jeshi mpo juu
😂😂😂Ni hatarii
Super Hero Tv kwaya
@@nemachalesi8085 kwaya ya nn tenaa
Makufuli kapinda asifia miuno 😅😅😅😅😅
Jjru
Yaani nimecheka
tena. viuno. kama vote. tena axmjime.
Katiiiikaaaaaaaeeeeeee
Ujumbe ume fika baba
Uandishi wako unamdhalilisha mheshimiwa rais; jitafakari
Mhhh viuno tena
Hahahahahha wameiva mpaka kukata kiuno JPM bana
Wasiojua kukata mauno kanyaga
Hahahahahhhhh
Hahahahaa uncle Magu.
Hahahahahahsha noma sana hy
Mpaka viuno vimeiva
Mizaha kama hij ni hatari sana kwa taifa
Wachache sana
VIUNO HAHAHAHAHHA MAGU KWA UTANI BANA DAAAA HII KALI