SALEH JEMBE:CHAMA NI USAJILI MZURI YANGA SIO BORA|NIMEJIULIZA MASWALI UTAMBULISHO WA YANGA KWA CHAMA
HTML-код
- Опубликовано: 30 июн 2024
- JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136. - Спорт
Huyu akapimwe akili kwanza halafu ajetena studio yenu, tena akapimiwe Milembe. Kwa mtazamo anaonekana ni mtu mwenye akili timamu, kumbe ni gamba la ubuyu
Kabisa
Huyu ndo waga anaongea point
UPO VIZURI SALEHE JEMBE
Mna mhoji kolo hamuoni anavyoumia na asivyo amini!!
MATUSI YA NINI NYINYI MAUTOPOLO.....jushua Mutale ana NGUVU speed na AKILI ya MPIRA....
Siku zote ukiongea ukweli unatukanwa uko vizuri kaka
Ameonyesha kuumizwa kwake pole sana!
Wewe S Jembe mbona watu tushakujua ,huna jipya
Salehe wewe ni kolo😂kwanini utaki kuamini chama kaja yanga
Point sana kaka angu umeongea
Unaumia vibaya mzee baba! Na bado utaumia zaidi. Eti simba hawamtaki chama! Nyokweeee
Hapana, ni tofauti kabisa na lameck lawi, kwasababu chama ameshamaliza mkataba Simba kwahiyo amesajiliwa kama mchezaji huru.
Anavyojibu aibu naona mimi
Wanaoumia wako wengi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama umeumia vile
Uache wivu naroho mbaya ila chama Ako tu sawa sema team nzima aikua sawa yote usimutupie rawama chama
Wee naee 🤣🤣 ! Kuna watu pale wanatekereza majukum bwana ! Wanajua ni nn wanakifanya sa wew unapiga kelele hapa 🤣🤣
Wwe jembe uwe na aaakili sasa wanampenda chama simba ndomaana awake taka kuumpa asante mapema
Aibu imwkushika acha usimba wako
Ndo maana nakupenda we kaka unaongea point sana
Aliongea vizuri sana kwenye mkutano mwaks jana. Mnapenda sana kupakwa mafuta na sio kuambiwa ukweli😅😅
@@fredylucas2484njoo chukue maji makubwa ya Kilimanjaro baridiii ndugu yanguu
Yanga tukifanya jambo mnakuwa na mashaka labda sio kweli Aaminini ndo hivo
We unaumia
JEMBE USIZUNGUKE ZUNGUKE,ROHO INAKUUMA
Wewe huwezi kuwapangia watu taratibu zao.
Huyo NI Simba damu
Utopolo bna
Mzee mlisema Leo amekua kijana
Huyu mbwa tumemuumbia fara wew
Jembe ni koloo😅
Ni kweli Simba walikuwa hawamtaki Chama?
Hili jamaa limeumia limeumia halafu limeumia na tenaaaaa .....ni kijana wa hovyooooo huyuuu ni miongoni mwaooo
Hili jingaaa sanaàa
Tena kk hili ni tahahira
Mjinga mweupeee .....
usituongopee yeye ndo alikuwa kipendwa no 1 pale simba
Kweli tulimpenda sana chama lkn kabla hajaharibika na kuihujumu simba lkn kwa misimu miwili iliyopita na kuanza kula rushwa tukaanza kumuona c lolote.
Yaan jamaa hana furaha kabisa😅
Hawezi kuosifia yanga
Mwehu
Huyu nae mchambuzi uchwara amekuwa bias siku zote
Mm
Jamaa ameumia saaana , kwakweli unateseka saaana kolo huyu
Kwani kumtambulisha mchezaji xi niuamuz wa klabu imta.bulishe kwa wakati gani unahoja na hilo mchambuz uwe mkwer saree
H
Mm nimiongoni nakufuatia naona unaukolo weee
Wew jembe umiaa2 naww ni simba
Huyu naye ni mchawi kama alivyo binikazumari
Yanga hawakoseinmkuuu kesho keki
Huyu kolo hamumjui
Simba sio Yanga 😂
Na muendelee hivyohivyo nyie yanga kutoa Rushwa kwa wachezaji ili muharibu timu za wenzenu, tumesafisha bado kipa, ukiwa unapenda kula rushwa na msenge. Wenu zeruzeru chawa,
Jamaa anaumia cnaa
Huyu fara yupo kwenye kamatu furani simba hivyo udunduka unamsumbua
Huyu si John boco
Mchambuzi mwenye mahaba anaonyesha wazi kabisa ameumizwa na Chama kuhamia Yanga sikiliza hata point yaani haeleweki
Jembe hauna jipya tumesha mchukua chama kajinyonge kenge wewe
wewe huwezi kuwapangia wamtambulisheje mchezaji salehe acha unafki utakuwa unaumia wewe
niwale wale