Watanzania nanyinyi kweli🤔 yani kwakazi ambayo wemeifanya bado tu munaanza eti sauti eti kazi mbaya...wakati sisi wengine tuna furahia sana kazi ya wandugu zenu, kwakweli wanajua comédie awa majama huwa nakubali kazi zao sikuzote zina nifurahisha kwakweli 🇨🇩🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🇨🇩
Waondoe tu hizo kelele za vicheko feki. Ndugu zangu kazi yenu ni nzuri . Hao wanaocheka huko nyuma hawawaongezei chochote maana vicheko vinakuwa pale ambapo hamna cha kucheka. Tuachieni sisi watazamaji tuamue kucheka inapostahili. Hivyo vicheko vya kuchonga vinahitaji umakini sana kwenye editing la sivyo ni kelele tu za kutukera
Sijui ndo comedy ya za kisasa. Kipindi cha original comedy miaka ya 20010 kurud nyuma tulikuw tunachek ss na tulikuw tukienda kwa weny tv kila alhamis na jumapili kuangalia original comdey lkn sahz udijitali mwng wanaweka vichekesho had vinaboa
af aya mambo ya mara sehem ya kwanza mara sehem ya pili mara tatu daah yanakata stim kichizi yan bro huwezi ukaweka tu mzigo mmoja wote watu tukaenjoy sio tunawaza kama tunasubiri chenchi ya ef 10 kwa konda wa dalaldala

Masanja,Mpoki,Mama Imma,Bw K. Wanaocheka hao wanaharibu halafu kerere nyingi.❤❤❤❤
Waondoe tu hizo kelele za vicheko feki. Ndugu zangu kazi yenu ni nzuri . Hao wanaocheka huko nyuma hawawaongezei chochote maana vicheko vinakuwa pale ambapo hamna cha kucheka. Tuachieni sisi watazamaji tuamue kucheka inapostahili. Hivyo vicheko vya kuchonga vinahitaji umakini sana kwenye editing la sivyo ni kelele tu za kutukera
Bado wako vizuri tuwasapoti na kazi itapendeza sana
Ondoa hizo back sound tucheke wenyewe
Comedy ninzuri sana. Niukweli vicheko vinaboa sana but vikitolewa itapendeza sn.
Hii kazi kama kazi zingine acheni kuwavunja moyo wanafanya vizuri tu kama ninyi hamtaki waachieni wengine
Koment ndizo zinawanfanya wafanye kazi nzuri zaidi ya hapa toa koment wajue nini wafanye sasa
@@RamadhaniApolinaryAti kaka🎉🎉
Yan hapa original comedy wamepata mtu wa kaz brother k mobimba
Brother k bana hyo style ya kutaka kuanguka umeitoa wp
Nakereka na hizo back sounds , HAZINA MAANA KABISA
Hivi vicheko havina maaana yoyote bora muache hyo #eeeeh bwana🎉🎉🎉❤
Waondoe hayo makelele. Tukicheka sisi inatosha
Sijui ndo comedy ya za kisasa. Kipindi cha original comedy miaka ya 20010 kurud nyuma tulikuw tunachek ss na tulikuw tukienda kwa weny tv kila alhamis na jumapili kuangalia original comdey lkn sahz udijitali mwng wanaweka vichekesho had vinaboa
Kama unaborka niww, ttz lako yawezekana ulitolewa bandama ukiwa usingizini siyo makosa yako
Nakubsli sn😅😅😅😅😅😅😅😅
natamani joti na brother k wapige kolabo matata😊😊😊
Kazi iendelee🤓🤓🤓
Hongeren wakari
😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 Ila watu wakigoma ni wakukurupuka sanaaaa hahahahaha 🤣🤣🤣🤣
Akuna bhna ivyo vicheko vinaboa sana sana
bonyeza "like comment" kama mnataka wafanye re-upload without background sound.
Mjanja sana wewe lkn nimeku "like"😅
Kazi nzur Sana
😂😂😂😂😂brother k ndan ya comedy safi sana
hhhhhhhh 😀😀😀Jamani mbavu zangu mimi
Aina ya uchekeshaji wa Brother K na aina ya Original Comed ni tofauti saana...hapa uajili umegoma.
Wameongeza ladha flani tofauti sio mbaya sana
Braza k anajua kiukwl
Background voice itoweni
Umeshanisahau mda huu Mimi ndo yule uliniambia nifate prosija daa 🤣🤣🤣🤣🤣
Futuhi kwisha njooon huku original comedy
Mmezidisha vicheko mpunguze vinaharib
Ni nzuri, ila hivyo vicheko vinaharibu
Kicheko toa
Kwa ushauri tu mzuri ondoeni hizo kelele vicheko na soundtrack vinaboa sana.
Iko kicheko kinaboa
mobimba anastahili matuzoooooo😂😂😂
Ujio mpya uzuri lakini ivyo vicheko kizamani sisi tunawaelewa Sana ndugu zetu
Hivyo vicheko muachien mr bin weken km ilivokuwa mwanzo
Daaaaaah mmenifurahisha wadau yaani mpoooo full parkege mambo ni motooooooooooooo❤❤❤❤❤❤❤❤ mnanifurahisha
Hongereni saana
Kkkkkkkk yes this is completely imekamilika vunja mbavu.
Jamani nihatariiiiii yaani mnachekezha balaaa😅😅😅😂😂😂😂
Brth k mwamba
Umri umewatupa mkono , comedy mshafeli mtafute tu kazi za ulinzi.
vicheko sio mchongo😢
Wapi Joti na Mami
Hizo mbwembwe mlizoweka nnje ya video zimeharibu kila kitu
Mnakosea hayo mavicheko
Toeni vicheko bhana
ila kichwa cha makregani😂😂😂
Kelele za kucheka sasa ni kero😢
tunajivunia wasanii tz kila la kher
Nyie ni maarufu, ACHANA na vichekesho hivyo
Vickesho
,,
af aya mambo ya mara sehem ya kwanza mara sehem ya pili mara tatu daah yanakata stim kichizi yan bro huwezi ukaweka tu mzigo mmoja wote watu tukaenjoy sio tunawaza kama tunasubiri chenchi ya ef 10 kwa konda wa dalaldala
Nmewakubali
Vicheko vinaboa
Kuna fujo nyingi
vicheko vina alibu utamu ivyo
Brother k.mzee wa kukurupukaa😅😅😅😅😅
Ondoeni vicheko tuacheni tucheke wenyewe
Vicheko vinaboaaaaaa
Mumeboa ivyo vicheko toeni
Hayo ma back sound ya nn sa nyie nao
Vicheko vinaondoa ubora, ondoa
Safisana tunafurai sana anayeponda hujui utafutaji.
Vicheko vimehalibu mboga
Nimecheka braza k wewe atari
Broz k anaigiza ktoto xn ana boa
Binge la comedy
big up
Vicheko vinapoteza ladha ya uchekeshaji
Ondoen vicheko vinaboa
Acheni tucheke Sisi kama kweli mnachekesha. Ondoeni hizo Saudi za vicheko.
Vichekesho
Vicheko vinaharibu movie
Kweli vinaboa waondoe vinakele
Mimi ni mkongwe wa hivi vitu, ondoeni kabisaaa hivyo vicheko havina maana yoyote, maana kucheka ni sisi watazamaji kucheka hakulazimishwi.
hivo vichekko vinaboa!!!!!!!!!!!!!
Kweli
sanaaa
Saaana hadi kero
tena sana
kweli kabisa
ndugu zangu #ORIJINO COMEDI 𝙝𝙤𝙣𝙜𝙚𝙧𝙚𝙣𝙞 𝙠𝙖𝙯𝙞 𝙣𝙞 𝙣𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙨𝙖𝙣𝙖, 𝙥𝙞𝙖 𝙝𝙤𝙣𝙜𝙚𝙧𝙚𝙣𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙢𝙥𝙖𝙩𝙖 𝙢𝙤𝙗𝙞𝙢𝙗𝙖 𝙝𝙖𝙠𝙞𝙠𝙖 𝙩𝙪𝙣𝙖𝙞𝙣𝙟𝙤𝙞
ONDOENI HIVYO VICHEKO ACHENI USHAMBA
Fuata procedure😂
Mobimbaa mzee wa kukurupuka
Vicheko vinaharibu komendi
Mobimba kaja kunogesha komed Yani sina mbavu
Hi 2024 bab kubwa
Kuna vikelele vya hovyo 😏😏
😂😂😂😂😂😂😂habari sana
Mnaharibu video na upuzi wa kelele. Hili swala tumeliongelea sana sijui punguani gani huyu hasikizi.
Brother K kanifanya nije kuangalia lkn mnaboa na hvyo vicheko
😅😅me pia
Toeni vicheko hivyo tutacheka wenyewe!!!!
Mwamba futuhi watakukumbuka ujio wako
Kelele sio kabisa vicheko ni sisi tunaoangalia sasa vulugu tupu
Brok k unachekesha
😂 brother k mobimbaa
Toeni vichekesho
Toeni fujo vinanaboa
Hivyo vicheko vinaleta kero
Mbona wamebobea kwnn waeke hii background ya vicheko
Vicheko vyann?
Hizo sound track za nini zinaboa
Vicheko vinakula bando
Jibu swar
Background ya vicheko inaboa sana