Ukisoma historia ya Uislam hasa Marshall ya Mtume Mohamed, kuzaliwa na magazine yake utaelewa tu Kuna uzushi mwingi. Kama elimu ya dini alijifunza kwa Mamonk WA Kiyahudi. Na qoran wapendwa ni tafsiri ya Hebrew old Testament katika Kiarabu. Mnashindwaje wasomi kuunganisha na Kristo?
Ndugu kwanza tambua dini ni imani alaf ukisema ivo mbona nanyi ukienda kwa yesu mpaka kwa mariam na ukarud kwa ukirsto mzma unamuomba mungu kupitia kwa yesu imagine mohamed swala na salam zimuendee na yesu mwenyew alisema kupitia imani yenu ya kirsto kwamba atakuja mtume wa mwisho ambae ni mohamed swala na salam zimuendee cha kushangaza picha za yesu zipo katika msalaba za mtume muhamad swala na salam zimuendee hazipo ko kila mtu abak na iman yake
Kama hujui kitu nibora ukae kimya siyo kudhihirishia uma kuwa we huna akili historia gani inayosema mtume alifundishwa uislam na mamonk, au ndo chuki inakutafuna ya kuukataa ukweli hali yakuwa unaujua
😂Muigizaji Wangu Bora wa mda ote Brother K nakupa 🎉🎉🎉🎉Chukua 🎉🎉🎉
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimeikubali sana combination ya brother K na mpoki kwakweli mmenivunja mbavu zangu
Mmetisha. Afu imependeza zaidi mlivoondoa sauti
Sauti za vicheko
Mpoki na mobimba ni kitu ki1
Umeupiga mwingi sana baba mchungaji
Ubunifu safi kabisa, mko vzr sana The Comedy Original ✊🏾✊🏾
Bora brother k kaungana na akina mpoki ni utamu utamu
Mchungaji umeua you kill it 😂😂😂😂😂😂😂
Kbs mchungaj kafunka wt 😂😂😂😂😂
Jamani brother k nguo zake mezaniacha hoii😅😅😅😂😂😂
Hiyo ya Mchungaji ya Mwisho mmeua sana😂
😂😂😂😂 watching from Kenya you made it guy's 💪
Basi tumeyatimba 😅😅😅😅😅😅😅😅 kiufupi sijahudumiwa nimejihudumia
Uko vizuri, nimekukibali
Mchungaji 😂😂😂😂 daaah😊
Mia sana sanaaa juu kamanda.
Jamani nasikia sauti ya mama imma
😂😂😂😂😂😂 mchungaj kafunika wt
mobimba wa kigoma nakukubali sana
Dah😂😂😂 noma sana💥 Wakuvanga🔥
Mobimba na muarabu colabo naikubali san
😂😂😂😂😂😂😂😂mobimba ni balaaaa😂😂😂
😂😂 wakuvwanga
Nakukubal sn brother k😂😂
Daaaaah brother K fundi sana
Kwa mneja wako 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂❤❤hakiamungu mtaniua+++
Hahahaha Enos unajuwa sana na brother k😂😂😂😂😂
Siku hizi siangalii futuhi Tena,,
Braza k linachekesha akii😅😅
Kwa jina la baba nakuamulu shuka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ila huyu mwamba me namkubar sana 😂😂😂
Mchungaji fire🔥🔥🔥
Jamaa anashangaa mto kuingia chumbani ila hashangai godoro kuingia kwenye kitanda😅
Mobix umeuwa mkuu
Futuhi imeisha ulipotoka ww na taru kongolo
😂😂😂😂 eti funga zipu
Wateja na Silaa zao 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 key mwambaaa waha tujuane hapa
Hahaha 😂😂😂😂nimechoka yani awa machizi kweli
Braza k mobimba😅
Hahaaaa hawa machizi kwel mtanivunja mbavu
Mr comment 😂😂😂😂😂😂😂😂
Good brother k🎉
😂😂😂😂😂😂😂😂 duuuuuuuu
Mombiba 😂😂😂😂
We nomaa
Baba Mchungaji
Mpoki mwamba
Ameshoboka😂😂😂 hajaitwa
Mjini maneno yatakutokea puani
Good job brother k
Ila kucheka kwake 😂
Muha tajir
Hapo ndomwisho wamaneno
Eti BOLA wasije
MCHUNGAJI KANIVUNJA MBAVU AISEE
Hhhhhhh mchugaj hahahhah
Kaka b k mbona talatibu sanakaka au mambo mengi
Hatari brother k
Brother k na mpoki
Esther kaestablish😂😂
Emmanuel Peter NChanga 🇹🇿
Adamaada
Nkubar
da iraapa tz tunakaz
aisee k. noma
Daaa😅😅
Hahaha 😅😅😅
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Safi
😂😂😂😂🎉🎉🎉🇸🇦🇸🇦🇰🇪🔥🔥🔥
Tunanunua dollars
Za zaman au mm nina miatano za noti kama6
Mwamba Bro K😂
Hahahaaaa
Ha ha ha
Hahaha 😂😂😂
Mishikati 😂😂
Hahahaha😅
Your thank brother🎉
brother K.....unachekesha kwel
Breather k
😂😂
😂
😂😂😂😂😂😂
Ukisoma historia ya Uislam hasa Marshall ya Mtume Mohamed, kuzaliwa na magazine yake utaelewa tu Kuna uzushi mwingi. Kama elimu ya dini alijifunza kwa Mamonk WA Kiyahudi. Na qoran wapendwa ni tafsiri ya Hebrew old Testament katika Kiarabu. Mnashindwaje wasomi kuunganisha na Kristo?
Ndugu kwanza tambua dini ni imani alaf ukisema ivo mbona nanyi ukienda kwa yesu mpaka kwa mariam na ukarud kwa ukirsto mzma unamuomba mungu kupitia kwa yesu imagine mohamed swala na salam zimuendee na yesu mwenyew alisema kupitia imani yenu ya kirsto kwamba atakuja mtume wa mwisho ambae ni mohamed swala na salam zimuendee cha kushangaza picha za yesu zipo katika msalaba za mtume muhamad swala na salam zimuendee hazipo ko kila mtu abak na iman yake
Kama hujui kitu nibora ukae kimya siyo kudhihirishia uma kuwa we huna akili historia gani inayosema mtume alifundishwa uislam na mamonk, au ndo chuki inakutafuna ya kuukataa ukweli hali yakuwa unaujua
😂😂😂hatupo mecca
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂