Pole sana mpendwa na mm ninazidi kuumia hasa kwenye ule wimbo IMENIUMA SANA Mungu aliye nguvu dada yangu BWANA AMETWAA NA BWANA AMETOA JINA LAKE LIHIMIDIWE AMEN
Mh hata ukimwambia kiziwi habri ya wimbo huu kwamba ni WA mam Joan atakucheka binadamu tujifunze kuwa na moyo Wa huruma jaman na tumuogope Mungu kutafuta pesa kwa kupitia kuchafua dira ya maisha ya wengne
Tuliza akili yako na umtangulize Mungu ktk fikra zako maan kumbuka umeachwa na watoto wadogo San hao hivyo omba Mungu akupe uzima ulee watoto wako jipe moyo litapita
Pole Sana mpenz
Mungu akutie nguvu na ujasiri uwale watoto wako ❤❤❤❤❤
PL@@ESTHEROMMULI-ui6ft
Mnaotafuta Hela Kwa majina YA watu acheni hizo ... Hiyo Sio Sauti YA mama Joan acheni uongo mshindwe mlegee Na mtokomee Kwa Jina la Yesu
walaniwe kabisa hawa nime keleka kiukweli
Naapo ndo nmeachia kuusikiza
Muaçheni mm wa watu
Waambie Tena ...Sisi si wajinga Na mungu ako hivo wantarajia ifanyike kwao
Waaaaaambie wasikie
Pole sana mpendwa na mm ninazidi kuumia hasa kwenye ule wimbo IMENIUMA SANA Mungu aliye nguvu dada yangu BWANA AMETWAA NA BWANA AMETOA JINA LAKE LIHIMIDIWE AMEN
Mungu anawaona kwa kusema uongo,huu ni muda wa kuiombea family ya marco
😢😢😢😢😢muache kutafta kiki namajina yawatu jaman achen marko apumzike kwaaman
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mungu akupenguvu mamangu sotetunapita ❤❤❤ 🎉uzidikumuombea
Jaman muongopeni mungu m2 akifaliki mnaona ni jia sahihi yakutafutiapo liziki achen ujinga kama maisha yako nimangu ni mangum2
Sijui marco kawakosea nini😢😢😢nguvu za kuimba anazitoa wapi katika nyakati hizi!!! Mwogopeni Mungu si nyie mliumba dunia jamani
Syo yeye bwana na ww kiki za channel tu
Wanatafta viewers kwa lazma,,, kuchafuana tu hawana lolote wamuache dada wa watu
Mh hata ukimwambia kiziwi habri ya wimbo huu kwamba ni WA mam Joan atakucheka binadamu tujifunze kuwa na moyo Wa huruma jaman na tumuogope Mungu kutafuta pesa kwa kupitia kuchafua dira ya maisha ya wengne
Mungu awa laani nyie munao tumia majina ya wengine kupat hella kuweni nahulum bas muongop mung😢😢
mungu akupe umli mrefu ulee watoto wako pole sana
Mungu akupe afya ulee watt wako my dear pole sana
Jaman. uogo. mbaya mogopeni. Mungu. Jaman😢😢😢😢
Jaman mbn mnajiwa hamna hata uoga Hy cy saut ya mam joan
Pole sana dada ila huo ni uongo Mungu akutie nguvu😮😮😮
Wanadamu taften pesa acheni kumsingizia mama Joan hamjapata ujasiri wa kuimba hivi pole dada MUNGU atakutia nguvu usiogope
Mhy,Odeee maaa sio yeye ,sema tu wabongo njaaa Kali Kila siku watu wanatafuta kiki
Poleni jmn😂mke na watt wako marko😂nyie wengn haiwahusuuu
Aky jamani mjane amepata watu sauti please wacheni hizo tabia mama joan Mungu akutie nguvu na akupe moyo wa kusamehe wote
Jaman achen uongo😊
Ivi watanzania pepongani munajuwa munashangaza sana halafu munajizalilisha yani mahumivu yamwenzenu kwenu sherehe mungu hanawahona
Sio kweli kwanza katia wapi nguvu ya kuimba
Iv Kwan mama Joan na family ya zabron hawaon upuuz unaendelea hum jaman me wananikwaza
Sio sauti yake mnatafuta tu subscribe atuwapi
Wala Sio sauti take😳😳🥹🥹Ila Watu mumepatiapo cha kuongelea km ndo mara ya Kwanza kusikia musiba😮😮😮wapuuzi nyie Mungu anamuona😢😢😢
Mungu akutie nguvu Mami
Mungu akube maisha malevu ule watoto
Haki sister mungu TU akutie nguvu
Wewe omba mungu akupe umri uangalie watoto wako unamuchia nani?
Hiyo si sauti ya mke wa Marco please
Ww nae tumia hakili na hii mitandao awa wapuuzi wanapost ujinga tu
Sio sauti yake mbona
Mandyungiiii 😅😅😅
Hii nyimbo unaipatake ss jmn please
Lea watoto mama , Mungu atawalinda na kuwaongezea
Mungu ukipee mamaaa
Hajaimba Yeye surely 😢
Acheni uwongo hiyosauti siyo yamuke wa marehemu Marco
Mngeonyesha na video
Sasa na watoto akinhoiyeee😢😢😢😢
Huyu cyo Angel ,,,unatafuta kiki tuu
Acheni uongo nyie😢😢😢
Ng'ombe n ng'ombe tu mkaamua kutubeba ufala plus kufurahia kifo cha wengine
Uwezi ondoka lea watoto mungu ata kutia nguvu mama acha mme wako afumzike pole sana Mimi niacha kama ww na bando niko
Schein muongo hata sauti tu nitakuambia na beat nayo. Mungu awasamehe jamani
Usikate tamaa dada anguu mungu yuk nawe
Pole kipenz mungu akutie nguvu
joan hawezi kuimba kama hivyo wote tunajua namna wasabato wanavyoimba
Poleni sana ❤❤
Njaa zenu zinawahangaisha tu Hy sio saut ya mama joa. Tena achen kumsimanga marehem mwaachen apumnzike kwa aman
Siyo mke wa marco,, pepo
Haki watu dhiz iz very sorry mbona una2mia shida za wengine kama faida kwako aibu sanar kwako
Asante kwa Moto wako
Sitasita kila siku ntawaambia tafuteni kazi acheni utapeli jamani mtakufa vibaya😂😂😂😂
Aky watu hamuna huruma 😢
Mh.makubwaaaa
Poleni sana
Uongo hii song sio yake hki sauti mbyaa
Kwa jina la Yesu!mke anapata nguvu za kuanza kuimba?
Tena mjinga kweli
Pole san na mimi nimeumia kuxikia hivo
Nmeshangaa mala hii tu mama anapata wapi hizo nguvu za kuimba
Ni wakati wa kumwombea faraja sio wa kuimba eti kusingizia ni yeye ameimba kumbe sivyo. Msituchanganyie mafaili tafadhali.
Hata me nakataa so saut yake hii nchi kunamatumizi mabaya ya mtandao
Kiufupi mnakwaza achen kaka wa watu apumzike Kwa amani
Nimeshangaa,amepata nguvu Saa ngapi za kuimba,aibu Kwa anayetaka Hela Kwa Jina la mwingine
Jamani muogopen mungu ugekuwa wewe kweli
Pole data anggu
mungu akupe ujasiri dada angu mpendwa
Huyo mwimbaji ni mpagani sio mke na Marco
😂Jamani huu ni uongo sio wimbo wake huu
Nyie watu wanataka hela hata kama wenzao wapo kwenye majonzi
Watoto jamani Bado wadogo
Hivi hii nchi kila kitu ni fursa tu.? Kuna mambo ya kipumbaff sana mda mwingine..
Mungu awasamehe kabisa munafurahiya mangumu ya wengine😢pole sana
Usitamani kufa wanawe ataachia nani
Sio yeye jomon😮
huu uongo utawafikisha pabaya
Wewe uliye weka huu wimbo mjinga
Shenzi kabisa 🙄🙄🙄🙄🙄..
Wengne mnakomenti gani hzo hvi mnamioyo kweli nyie au ilimradi kuumiza moyo wa mwenzenu
Hv wat MBNA hamnaga huruma jmn
Huyo siye
Hello
Pole sanaa dad wee
Watu waongo ata sio yeye
😮😮😮😮😮
Acha ujinga sasa watoto wako wawe yatima?
Tuliza akili yako na umtangulize Mungu ktk fikra zako maan kumbuka umeachwa na watoto wadogo San hao hivyo omba Mungu akupe uzima ulee watoto wako jipe moyo litapita
Ulabwe uso na shetani 😏😏😏
Acheni bangi
Mungu awahurumie nyie mnaochafua majina ya wapendwa wetu
Ole wenu mnaotafuta umaarufu, kwa majina ya watu mtatolea hesabu.
Ni uongo. She is an Adventist and am one. The song is against the Adventist beleave
Mkomee kusemea watu uongoo mtalaaniwa
ACHENI WONGO
Huu Ni uongo mtupu leave wife was Marco Alone
Kapata pa kuuzia wimbo wake mngeujua je
😭😭😭
Mshindwe kabisaaa
Pole take heart mumu
Yan Kuna watu nikama hufurahia mabaya ya watu Ile wajifaidishe Mungu wasamehe tu
Wala so sauti yake umetupiga hapo