HATARIIII 😭😭MADUDU NA UCHAFU WAKUTWA NYUMBANI KA NI ISHARA YA FREEMASON NYUMBANI KWA ZABRON SINGERS.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 ноя 2024

Комментарии • 302

  • @NeemaFredrick-p9v
    @NeemaFredrick-p9v 18 дней назад +2

    Peleka ujinga huko wew ulikuwepo Kama umeona hivyo vitu na wewe ulikua nae na wewe mchawi acha mtumishi wa Mungu apumzike umekosa kazi za kufanya

  • @safimanny7807
    @safimanny7807 Месяц назад +5

    Jaman wapendw mkiwa mnamuhkum mtu muwe na ukwer ndani yenu lakin sishangai kwa maan mungu mwenyewe alisemwa lakin yakaisha na mshindwe katik jina la yesu🙏🙏🙏

    • @DavidMoti-c8k
      @DavidMoti-c8k 7 дней назад +1

      Kila mja jawabu lake likwa Mungu

  • @NeemaDaniel-t1t
    @NeemaDaniel-t1t 3 дня назад

    acha wifu na nyumba ya mwenzak mwache apunzike jmn mungu akusameh wew

  • @dianaryoba
    @dianaryoba 2 месяца назад +2

    wew muombe Mungu akusamehe, wew ulikua wapi kipindi yote yanatendeka.

  • @SuzanJilala
    @SuzanJilala 2 месяца назад +7

    Mungu na akukemee ewe shetani.hiyo ndo nyumba yako

  • @LuvunoKombo-z6x
    @LuvunoKombo-z6x 26 дней назад

    Shetani ni wewe..huna kazi ya kufanya mshenzi uza maini yako uoe na uzae mashetani kama wewe....may thunder strike you wherever you are mjinga..mpumbavu... mtchweeeeee..rip marco😢😢😢

  • @JemsiLiziki-j1h
    @JemsiLiziki-j1h 3 дня назад

    Acha ushamba wew

  • @JessicaFred-q5b
    @JessicaFred-q5b Месяц назад +2

    Asheni umbeya wathu wabongo mmmmm

  • @JuliussAdam-dy9py
    @JuliussAdam-dy9py 5 дней назад

    Unapo fichua vya wenzio na wew mung atakuweka peupeee tena ukiwa hai

  • @HongeraLwoga
    @HongeraLwoga 2 дня назад

    Aliyewaruhu mwende na mganga wakienyej ninani na mke wake amewaomb mkamuangalizie na tutajuaje Kam pembe mmebeba wenyew

  • @AaaSd-i9j
    @AaaSd-i9j 2 месяца назад +2

    Nyinyi hamuna akili mwa subiri mtu afe then msambaze uongo si nyumba mpya hiyo utachapwa na mungu

  • @GracePaul-ce1xb
    @GracePaul-ce1xb 2 месяца назад

    Duh! Mungu akusamehe maana hujuhi ulitendalo ila jamani mariko siyo wakwanza kufa jaman walikuwepo wengi zaidi yake woliotangulia mbele ya haki hiyo mikiki ya nn jaman mwacheni kaka wa watu apumzike salama kwan ili ni la kila mtu akuna aliyekuja kuota hapa dunian sote tunapita muda ukishafika jaman ebu muogopen mwenyez mugu😢

  • @estherfuppi9258
    @estherfuppi9258 2 месяца назад +2

    😭😭😭hebu acheni upumbavu. Hamna kazi ya kufanya, nimsema Jana kwacheni mtoto wa watu apumzike kwa amani Kwanini hamkuseama hayo akiwa hai

  • @veronicamrema4900
    @veronicamrema4900 22 дня назад +1

    Nyie mate tea vituambavyoavijuiacheujingawajinganyinyiwenyewe

  • @ChristineNyabuto-qt3hu
    @ChristineNyabuto-qt3hu 2 месяца назад +1

    wakati alikua Hai mbona hukua na mdomo wa kusema umbwa hii komaaa 😢mtoto wa mama roho yake ipumzike😢😢😢🎉

  • @BoyKiller-i6t
    @BoyKiller-i6t Месяц назад +1

    Mungu awasamesan mban aukufukuw mwaz angal hai😂

  • @HattaHatta-pk7hr
    @HattaHatta-pk7hr 2 месяца назад +5

    Ila hii nchi mmmh Mungu awasamehee bure kwa tarif za uwongo amjambo

  • @CharlesNyamwanda-n6o
    @CharlesNyamwanda-n6o Месяц назад +1

    Chizi,uyo asichafue Jina LA mtumishi w a mungu,yeye kaingiapolini kwenye iyo nyumba ?? Ushindwe na ulegee

  • @FlorahMangi-l7p
    @FlorahMangi-l7p 19 дней назад

    Ama kweli binadamu ni kiumbe mubaya umeyajuaje yte haya kama cio uongo

  • @IreneMagesa-x1j
    @IreneMagesa-x1j 2 месяца назад +2

    Kwa kuwa mwili wangu ni hekalu la roho mtakatifu naweza kukaa

  • @NaomieZamukulu
    @NaomieZamukulu 2 месяца назад

    Mwenyezi Mungu awasamehe maana amujuwi munachoka kifanya

  • @TumainGodwin-l1i
    @TumainGodwin-l1i 4 дня назад

    Mh kwely kaka uchawi upo....

  • @DominicMbuvi-p3b
    @DominicMbuvi-p3b 2 месяца назад

    Watu wa TZ poleni sana na mache maneno yawatu poleni na mungu awazaidie

  • @Muhammad-jy1vx
    @Muhammad-jy1vx 2 месяца назад +1

    Niko na maswali mbili na unijibu,kama watu wamehama wewe umepita wapii? Pia nani kakuamrisha ?wewe unahitaji mkono wa Bwana

  • @ChristineNyabuto-qt3hu
    @ChristineNyabuto-qt3hu 2 месяца назад +5

    wewe ulijulia wapi kama si wewe ulieka😢😢😢 fara hii

  • @ednamoraa8394
    @ednamoraa8394 Месяц назад

    😢 sikujua kuna watu ufurahi kiasi hiki kwa kifo cha mwenzako

  • @sospeterkisenha3546
    @sospeterkisenha3546 2 месяца назад +1

    Wewe ulijuaje kila Kona imechimbiwa vitu vya ajabu ulivionaje na wewe ni mchawi unatakiwa kushitakiwa kwa uchonganishi na nani alikuruhusu kufanya naomba ndugu waliokaribu kamata mtu huyo kwenye sheria

  • @AlineShadia-t6e
    @AlineShadia-t6e 5 дней назад

    Kama nipesa unazozitafuta zitafute vizuri sii kwanjiya hiyo kuongea uongo tuu

  • @JanuariaNyigu
    @JanuariaNyigu 2 месяца назад +1

    Mbonaa mnakuaa kamaa mnatumwaa na shetan kusambaza uwongo

  • @YohanaChitetoYohanaChiteto
    @YohanaChitetoYohanaChiteto Месяц назад

    Aiseeee jaman wapendwa tumwombe MUNGU atusaidie

  • @HappyMadoshi
    @HappyMadoshi 2 месяца назад +3

    Bwana na awajibu Kwa yote mnayoyanena kutoka kwenye ndimi zenu

  • @anjelaMichael-f8s
    @anjelaMichael-f8s Месяц назад

    Acheni uzushi kijana wawatu apumzike kwa amani

  • @EmmahMoraa-m1d
    @EmmahMoraa-m1d 2 месяца назад

    Wanadamu siku zote tatasema na kuhukumu ila mungu ndyo mhukumu

  • @michaelmwakalundwa6618
    @michaelmwakalundwa6618 2 месяца назад +1

    Weee bwana kuna mambo ya muhimu sana katika jamii yetu ambayo ungeyapa muda kiasi hicho tungefanikiwa hebu chukua muda kuonyesha Watoto wa mtaani wanavyopata tabu ili watu wawasaidie na serikali ije na mpango wa kudumu kuwasaidia watoto hawa. Haya mengine hayatusaidii kabisaaa maana ni yake huyo.

  • @DangerJonh
    @DangerJonh 2 месяца назад +1

    Umejuaje we hayo mambo labud n y kwako tu

  • @Elitostar
    @Elitostar 2 месяца назад

    Dudia iok kasi sana du adi wat wamungu daa mogopeni mungu acheni unafiki

  • @rehemamasanja8875
    @rehemamasanja8875 2 месяца назад

    Acha ujinga ulikuwa wapi usiyaseme hayo yote? Shindwa pepo ktk jina la yesu.

  • @RANKMANTANZANIACOLTD
    @RANKMANTANZANIACOLTD 2 месяца назад +3

    Yaan wabongo ni shida mnakitafuta nn? Harafu msemaji mwenyewe ni mwislam

  • @PiusMaira-j7u
    @PiusMaira-j7u 2 месяца назад +1

    Wewe ni mzushi na mwenye wivu acha uongo familia ikupeleke mahakamani

  • @HeppyGeorge-j5x
    @HeppyGeorge-j5x 7 часов назад

    Achen kumuhuku marehem Tena aliye kufa bila kuuguzwa ujapata matatizo wewe bado halijakukuta kumpoteza mtu wako wa karibu fyuuuu

  • @letishiah
    @letishiah 2 месяца назад +1

    Mwache mungu afanye kazi yake

  • @نورةالشهراني-د2ن
    @نورةالشهراني-د2ن Месяц назад

    Kwani mwachanganyikiwa na akili au ni nn jmn Tanzania bhana hamukosi mbwembwe kila siku koma🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @OnsateNyakundi
    @OnsateNyakundi Месяц назад +1

    Hvo akuna mtu hapo sahii kwa bwana zablon bwana 😮😮😮😮😮

  • @ReginaMapinduzi
    @ReginaMapinduzi Месяц назад

    Wewe utajili wake unakuhusu nini tafta na wew vyako vyake havikuhusu

  • @MenaMwitega
    @MenaMwitega 14 дней назад

    Mbona hawachukuliwi natuwa jaman

  • @safimanny7807
    @safimanny7807 Месяц назад

    Hivi we kaka ulikua wap??? Kipind akiwa hai ukaend kufukua leo mtu apuzik ndo uje kufkuw hakun mtu anae kaa hap dunian tunapit tuu na wew yatfukuliw ya kwak umbea tu muache mungu achukue kilich chake kwa aman 👏👏👏

  • @LilianFelix-my1ew
    @LilianFelix-my1ew 2 месяца назад +1

    Namsubiri millard Ayo aseme ndio nitaamini

  • @EdsonZulu-c8h
    @EdsonZulu-c8h Месяц назад

    Zebrone sjngers God bless u all

  • @DamasPhillipo
    @DamasPhillipo Месяц назад

    Jamani wengine vibakatu Wana muthalilisha zabron japo hatu wezi hukum ila hiyo ninjaa Ina wasumbua hao

  • @Mary-d6j
    @Mary-d6j 17 дней назад

    Mnatafuta pesa na kuwekelea mtu acheni uongo Kwa nini msitafute KAZI za kufanya

  • @lizbethmeena8044
    @lizbethmeena8044 2 месяца назад +1

    Mh mnamambo nyie na Mali za watu hata Kama kwani we inakuhusu nini simfuate Mambo yenu

  • @FredmnazaretMnazaret-ty5ik
    @FredmnazaretMnazaret-ty5ik 2 месяца назад +1

    ninyi mungu atawarani mana mumeona huo msiba wa macrok kwenu mmepa biashala kwann mnaonge vitu vyauongo tunafukua tuna fukua vikopi acheni unafiki kwenye midia zenu mstafute maisha kwanjia zàku potosha watu mbona hai wakwer ninyi pya niwa chawi tuu kama nikwer waonyesheni watu msiongee uongo tuu iri mpate pesa hiyo nizambi na itawahumu kwa Mungu

  • @GraceDaniel-yi5sq
    @GraceDaniel-yi5sq 2 месяца назад +1

    Wewe acha mambo Yako unanjaaa huna pa kwenda

  • @mwavuaemmanuel6125
    @mwavuaemmanuel6125 2 месяца назад +2

    Achen ujinga kupost uongo mungu awasamehe bure

  • @EuniceMassawe
    @EuniceMassawe 2 месяца назад

    Umekosa cha kufanya unapambana kuchafua maisha ya watu Mungu akukemee na roho ya upotoshaji iliyopo ndani yako.

  • @VicentJulius-n1w
    @VicentJulius-n1w 19 дней назад

    Ndiyo naweza kuja kuishimo

  • @AnnaJacob-c8o
    @AnnaJacob-c8o 2 месяца назад

    Wewe muogope MUNGU.mbona alipokuwa hai hukuyasema hayaaa unayokomaanayo kuyaongea.HAPANA.

  • @Annamapunda-w7l
    @Annamapunda-w7l 2 месяца назад +2

    Haya mambo ya kweli jamani mmh
    Hatali sana

    • @YusufuSaid-ro3vm
      @YusufuSaid-ro3vm Месяц назад

      Huna hata aibu kusema hayo yaliyo jaa masengenyo ya fitina

  • @MaryMwangemi-t4b
    @MaryMwangemi-t4b 2 месяца назад +2

    Watanzania Kwa uongo Mungu awasanahe

  • @NkwimbaMakoye
    @NkwimbaMakoye 2 месяца назад

    Mwombe mungu wa ibrahimu akusamehe bure

  • @IreneMuge-s3p
    @IreneMuge-s3p 2 месяца назад

    Kufa kila mtu anakufa ulaaniwe wewe unae kaa litako kumsema mtu alie punzika kwa amani ulaaniwe wewe kaka tena ulaaniweee

  • @Dainesy-o3m
    @Dainesy-o3m 2 месяца назад +1

    Jamani Kaz unayo we kaka hebu mumuache Marco apumzike kwa amani

  • @JaneWilson-p7f
    @JaneWilson-p7f 2 месяца назад

    Wamezid uwongo kwa kweli mwachen mkaka wa watu apumzike kwa amani jman kwakosea nn kwan

  • @FelsterEnock
    @FelsterEnock Месяц назад

    Acha uong hiyo nyumba siyo ya marco

  • @faustinimathayo6566
    @faustinimathayo6566 2 месяца назад +2

    we baba una akili ni wivu tyu ata kama alikuwa ivyo we inakuhusu nn ovyooo

  • @MakiwaShabanjumaMakiwaSh-zj9bp
    @MakiwaShabanjumaMakiwaSh-zj9bp 2 месяца назад +1

    Apo mko mnatafuta wateja wa mganga wenu mnapoteza muda nendeni mkalime

  • @TeresiaBayo
    @TeresiaBayo 2 месяца назад +1

    Acheni kufuatilia mambo ambayo hayana maana ,wala tija.

  • @ChristinaAngel-b3o
    @ChristinaAngel-b3o Месяц назад

    Jmn acheni mamb ya ajab cy kla mtu akijenga n freemason huo n ujinga kbsa

  • @luisamuja2058
    @luisamuja2058 2 месяца назад

    acheni uongo mungu anawaona acheni malehemu apumzike Kwa amni😊 mnachofanya sio🤬 jinga 😖

  • @Gladwelkhamadi
    @Gladwelkhamadi Месяц назад

    SHETANI AKULAMBE USO,,,KUMBAFFU

  • @JanuariaNyigu
    @JanuariaNyigu 2 месяца назад

    Hafu hiyo nyumbaa sio ya marco maanaa nyumbaa yake tulionaa jamn mungu awachape kiboko kwa makosa yebu

  • @bernadetamushi
    @bernadetamushi 2 месяца назад +1

    Pumbavu wewe. Muogope Mungu na uache kumchafua mtumishi wa Mungu

  • @WinifridaLameck
    @WinifridaLameck 2 месяца назад +1

    acheni uwongo kusambaza tarifa za uongo

  • @JaneHassan-c8i
    @JaneHassan-c8i 28 дней назад

    Inaonyesha bado mpya

  • @RoselineMoraa-k7i
    @RoselineMoraa-k7i 2 месяца назад

    Wewe unayetumika na shetani kuharibu sifa za marehemu mwimbaji ushi dwe kwa jina la Yesu.nia yako ni kutaka kuharibu hiyo choir shetani wewe.

  • @suzanaKisenha
    @suzanaKisenha День назад

    Unadhan kuwa yy amefariki kwa dhambi yake? Kama ni hvyo mbona ww hujafariki kwa huo uchaw wako mshrikina mkubwa weeeeee kumbuka ni zam kwa zam kila nafsi itaonja mauti sote ni wadhambi tunaishi kwa neeme tu. Toa hapa ujinga wakoo

  • @MARTINE-ft1bi
    @MARTINE-ft1bi 19 дней назад

    Kumanina zako ulieda kufukua nyumba ya mtu inakuhusu nini

  • @MarthaAthuman
    @MarthaAthuman Месяц назад

    Mh kwendaaaa

  • @RobyRoby-u5p
    @RobyRoby-u5p 2 месяца назад

    Afu kwanini walikuwa kimyatu baada yakufa wamezua Mambo huo niuongo

  • @Inkubutembo7779
    @Inkubutembo7779 2 месяца назад +1

    Hayo mapembe mbona yako nje? Umeweka mwenyewe.

  • @WiliamModesite
    @WiliamModesite 2 месяца назад +1

    Unapata faidagan kunene uongo kwa mtu aliyekufa

  • @ELIUDIMGOLOBA-zi2sw
    @ELIUDIMGOLOBA-zi2sw 2 месяца назад

    we kuma acha kuchafua siviii za watu

  • @ElesPaul
    @ElesPaul Месяц назад

    Njaaa ndo zinakusumbua ..usihukumu usije kuhukumiwa.

  • @PendoLukas-wu6zu
    @PendoLukas-wu6zu 2 месяца назад +1

    Kam unanjaa sem upew ela so kutumia mtu mwingne vbya ili upate ela

  • @kingmdogo-fb5td
    @kingmdogo-fb5td 2 месяца назад +1

    Hata kuhamiwa haijahamiwa na mtu yeyote ACHA ufala kawadanganye mafala kama wewe

  • @BenilausMaryogo
    @BenilausMaryogo 2 месяца назад +1

    Ww nimwongo kwa marco akupo ivo ww niliongo mbwa ww uzushi tuy

  • @isakachiuyoMgunda-f6d
    @isakachiuyoMgunda-f6d 2 месяца назад +1

    Jaman hizo taalifa nizakwelii au wameeti au mbn mda wote hilikuwa havitokei

  • @IbrahimOmary-m2u
    @IbrahimOmary-m2u Месяц назад

    tuacheni uongowambongo

  • @TumpeNamkumbwa-x6z
    @TumpeNamkumbwa-x6z 2 месяца назад +1

    Mbn cyo kwa Marco acha ujinga we umekosa kazi

  • @GabrielyPaskaly
    @GabrielyPaskaly 2 месяца назад

    Mbona alivyokua hai haukusema amekufa ndomnamwongelea vibaya poleni familia ya zabron

  • @FrolidaLuvanda
    @FrolidaLuvanda 2 месяца назад +1

    Huu msiba mbona umeibua kelele nyingi duu poleni ndugu na marko

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 месяца назад

      Wivu tu

    • @FurahiniNsemwa
      @FurahiniNsemwa 2 месяца назад

      Acha ujinga we hzo sikenchi za fundi selikali hai waoni wez Kama nyie? Nenda na ww ukafanikiwe

  • @lovenesszakaria
    @lovenesszakaria 2 месяца назад

    Jamn watu wasicheze na Mungu jaman

  • @HatibaAmady
    @HatibaAmady Месяц назад

    Wivu 2 umekujaa

  • @Mary-d6j
    @Mary-d6j 17 дней назад

    Ukweli wa mtu anejua ni Mungu peekeyake

  • @JeanineChibanvunya
    @JeanineChibanvunya 2 месяца назад

    Marco,amezikwa na heshima zake kama mtoto wa Mfalme anavyostahili kuzikwa,ila wewe......
    Nasikiya hata uzito wa kuyatamka na kukusikiliya hata huruma ya kuyatamka,usipotubu huu ujinga wako.

  • @PatrickMusee1
    @PatrickMusee1 2 месяца назад

    Mungu akujibu wewe ,furaia tu

  • @AdelaKavula
    @AdelaKavula Месяц назад

    Acha kusema mambo usiyo yajua iv unajua unacho kizungumza hata huogopi una akili kweli daaaaah ipo siku yako

  • @aeshraykidumars3668
    @aeshraykidumars3668 2 месяца назад +1

    sasa iyo c mipembe yang'ombet

  • @JuliaJuma-my3wq
    @JuliaJuma-my3wq 2 месяца назад +1

    Mm ww watafu kiki tu huna lolote umeviweka wewe vyote hivyo

  • @EvarestIssangya
    @EvarestIssangya Месяц назад

    Kwani sikuzote ulikua wapii