storm swaxtz (official music video) NIZAMISHE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025

Комментарии • 653

  • @PeterPenchez-c6u
    @PeterPenchez-c6u 9 дней назад +22

    Wale tumeletwa na tiktok let's gather here

  • @exaverymakoye6026
    @exaverymakoye6026 Месяц назад +42

    Wimbo mzuri sana sema watu mmejaa roho mbaya tu

  • @naseershiner6738
    @naseershiner6738 Месяц назад +83

    Siyo unafiki huu wimbo ni mzuri saana na unamashail mazur na merody Nzur sema bongo wanafik saana hamtoag support mpaka mtu afanikiwe zaid 😊

  • @Infonewsmediatz
    @Infonewsmediatz Месяц назад +36

    Dada video vixen Mungu Akubariki Sanaa una pepo yakoo

  • @goodlucksteven6377
    @goodlucksteven6377 4 дня назад +1

    Nakubali sana akili mbili bonge la song mashairi mazuli sana nyimbo kama hii uumpe mbosso na tuzo atabeba ila kwa sisi wa kitaa tunakupa tuzo mdogo etu nyimbo kali sana

  • @BrianKorir-q3v
    @BrianKorir-q3v 11 дней назад +3

    Yaani unajua kuimba kwelikwelu keep it up 👏👏👏

  • @melkimao4797
    @melkimao4797 Месяц назад +12

    Akili mbili hebu tupe goma lingine bhn hatuna muda wa kusibiri tunataka tufike mbali mapema sana 🎉

  • @HillaryBiserere
    @HillaryBiserere 15 часов назад

    ❤❤❤wimbo mzuri saaana wale tumeletwa toka tiktok mpoo .

  • @Okysh254
    @Okysh254 2 дня назад

    All the way from tiktok this guy is super talented Ana and andika mziki mzuri kushinda willy Paul and Bahati combined.much love from KE 🇰🇪🇰🇪

  • @dylomusic254
    @dylomusic254 15 дней назад +2

    Nakipenda kipaji chako bro....wimbo mtamu sana ❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @Mrkigoma
    @Mrkigoma Месяц назад +8

    Syo pw kabsa kamdomo kumbe huku nako syo mnyonge 👏👏👏👏🎉🎉🎉🎉

  • @GladysNjuguna-q6k
    @GladysNjuguna-q6k День назад

    Wow bro,umeweza next superstar ❤❤

  • @mickychuku6444
    @mickychuku6444 Месяц назад +63

    Tumeo rudia nyimbo mara mbili mbili tujuane 🎉🎉

  • @RosemaryJohn-e7w
    @RosemaryJohn-e7w 26 минут назад

    Aisee unaweza❤❤❤❤

  • @JosephMwaka-q6m
    @JosephMwaka-q6m День назад

    Dogo anajua sana🔥🔥🔥🔥

  • @taliano3963
    @taliano3963 Месяц назад +7

    Mwanzo Mzuri 🎉🎉🎉, Piga goma lingine

  • @BERESTV-h5h
    @BERESTV-h5h 14 дней назад +1

    We mnyama sana Kenya nyuma Yako keep it up

  • @KingDacy
    @KingDacy 10 дней назад +1

    GOD bless you bro that is what I can say...unani inspire

  • @NickMallela-hr7ox
    @NickMallela-hr7ox 18 часов назад

    Good song brother ypu welcome to Kampala city one day ypu

  • @DannyWangari
    @DannyWangari 7 дней назад +1

    Nliskia kama,,, nsafirishee,, Fanya nyimbo Moja na hiyo

  • @fidesAssenga-c8v
    @fidesAssenga-c8v 14 дней назад +1

    Wimbo mzuri sanaaaaaa big up

  • @Tomiyasu-b2e
    @Tomiyasu-b2e 14 дней назад +3

    big up bro💪💪...Cool music 🎉🎉

  • @EdwinimussaEdwini
    @EdwinimussaEdwini Месяц назад +12

    Nakubali sana kaka Pambana achana nahao masnichi tyu1💯👊

  • @AmosCheryot-z2s
    @AmosCheryot-z2s 13 дней назад +1

    Moto sana braza from Kenya we support you

  • @Mickflevourtz
    @Mickflevourtz 15 дней назад +1

    Daah nimesikiliza zaid ya mara 1o kijana unajua san tukiacha unafiki kaka unajua mzee 🔥

  • @begottenson-s1m
    @begottenson-s1m День назад

    Jay melody wa Kesho ❤

  • @HajjKahungu
    @HajjKahungu Месяц назад +4

    Jamani wimbo ungeimbwa na platform au jay balaa

  • @StewardMbalamwezi
    @StewardMbalamwezi 10 дней назад +1

    Nakukubali sana homeboy

  • @AdanJama-lu3yc
    @AdanJama-lu3yc Месяц назад +3

    Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @FathilieMutai
    @FathilieMutai 12 дней назад

    🇰🇪🇰🇪🎉🙌🙌zamisha,on top keep up akilimbili

  • @NeemaKazungu-p7o
    @NeemaKazungu-p7o 15 дней назад +1

    Wow nyimbo 💯💯 kali sana kaka

  • @RaphaelMombo-q7u
    @RaphaelMombo-q7u 12 дней назад +1

    Wabongo msapotini huyu jamaa ana talentinsan

  • @JoanJeptoo-p2n
    @JoanJeptoo-p2n 12 дней назад +1

    Moh fire wow amazing song

  • @AmosWekesa-j3c
    @AmosWekesa-j3c 2 дня назад +1

    Big up boyz🎉.... wekesa from Kenya here

  • @ZainabuAntony
    @ZainabuAntony Месяц назад +1

    wimbo mzuri nimeupenda san sauti pia nzuri san ongera kaka 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @JASTININGALA-v5p
    @JASTININGALA-v5p 16 дней назад +1

    Bigup good song Kamdomo 🎉🎉

  • @EzekielBaldorio
    @EzekielBaldorio Месяц назад +2

    Show kali bro storm swaxtz kaza vibe limo hadi wakubali

  • @ElishaMichael-d3v
    @ElishaMichael-d3v Месяц назад +28

    Pamban mwanang uskate tamaaa

  • @abelbenjamin-y2h
    @abelbenjamin-y2h Месяц назад +2

    Oaaaaaa bro pambana sna kiukweli ukiendelea hivi tuzo nyingi zinakuja sema tupe ngoma ka mbili kabla mwaka huu kuisha

  • @KaylayBahati-q9p
    @KaylayBahati-q9p Месяц назад +3

    Kaka wewe ni mdedli mpaka kolabo na mbosso na unisupport Kenya ❤❤

  • @mrhandsome_ke
    @mrhandsome_ke Месяц назад +7

    Good job broh you are our next EA STAR BIG LOVE FROM KENYA🎉🎉🎉🎉

  • @CentrineMusivale
    @CentrineMusivale 4 дня назад +2

    Nakukubali broo

  • @robsonrichson1646
    @robsonrichson1646 Месяц назад +1

    Ipo cku mtamkubaliii km mond tu.. kujitafuta na kuaminisha watu ni kazi kubwa sanaa

  • @DISMASKIPLAGAT-jf2yu
    @DISMASKIPLAGAT-jf2yu Месяц назад +2

    Kutoka Kenya,twasema hongera kaka,bidiii kila wakati,nyakati na jitihadha.

  • @liliandickson3726
    @liliandickson3726 Месяц назад +2

    daaaaah mungu huyu jamaa sikuamini kama likuwa anaweza kuimba ngoma kali walai😂😂😂😂❤🎉😅

  • @WillfredJunior-bs6jc
    @WillfredJunior-bs6jc 8 дней назад +1

    Waoohhh,,,nice song 🎉

  • @Namicmusic
    @Namicmusic Месяц назад +3

    Mwanagu hii Kali 🔥🔥

  • @shabs221
    @shabs221 День назад

    Ngoma imeenda shule. Big up. Ume gain a new follower wa Kenya. 🇰🇪. Wacha ni subscribe mara hiyo hiyo. 🎉🎉🎉🎉

  • @miltonails9860
    @miltonails9860 23 дня назад +1

    Kamdomoooooooooooo safi sanaaaaa

  • @AnthonyNjuguNjuguna
    @AnthonyNjuguNjuguna 12 дней назад +2

    🥰🥰nice song already saved it as a ringtone

  • @MakindiJunior
    @MakindiJunior 7 дней назад +1

    Moto kam pass bro big up

  • @Sylackproo
    @Sylackproo Месяц назад +1

    Nina furaha hadi natamani kulia ninapo ona swax inazidi kupaa Big song mdogo wangu By Sizo

  • @gilbertkorir8918
    @gilbertkorir8918 Месяц назад +4

    Congratulations 🎉,,, indeed it's a nice song

  • @VundiManzi
    @VundiManzi 13 дней назад +1

    Big up bro unajua sana sema w2u wkona roo baya nko Kenya unyma ni mwingi ❤❤

  • @ZepaniaJoseph-f4i
    @ZepaniaJoseph-f4i Месяц назад

    Jamaa kamdomo kametumika vzur zaid 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @avedonpaul1560
    @avedonpaul1560 14 дней назад +1

    Moto Kama pasi🔥

  • @MathayoMathayo-c6y
    @MathayoMathayo-c6y Месяц назад +1

    Akilimbili umetisha wimbo mzur video nzuri hongera sana kikubwa ongeza juhudi kwenye kazi yako

  • @ZeyanaKhamismashaka
    @ZeyanaKhamismashaka Месяц назад +2

    Ngoma kali cnaa 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @eliudipaulo9583
    @eliudipaulo9583 Месяц назад +1

    Nyimbo kal sana sema wabongo mnapenda kumvunja moyo mtu

  • @SkandaDeus
    @SkandaDeus Месяц назад +1

    Kazi ni kubwa Sanawamba kazaa! Sema. Ila kamudomo!

  • @BALOZIWAGHETTO
    @BALOZIWAGHETTO 10 дней назад +1

    Nimefwata mpaka huku toka TikTok mbna Kali Sana 🫡

  • @sirnatas1929
    @sirnatas1929 Месяц назад +1

    Hongera kaka mziki unaoimba ni mkubwa sana, kwa mwenyewe sikio la mziki atamuelewa jamaa 💪.

  • @ahmadilaumaelindi6182
    @ahmadilaumaelindi6182 Месяц назад +2

    Big up sana Mungu alinyoosha mkono kwenye kazi yako

  • @MAKOYEJOHN-wp8jo
    @MAKOYEJOHN-wp8jo Месяц назад +1

    Kazi nzuri sana, natarajia makubwa zaid Toka kwako

  • @charlesdalali2584
    @charlesdalali2584 Месяц назад +6

    Aaah Tuliaa!!🎉🎉

  • @George-bc2bm
    @George-bc2bm Месяц назад +2

    Morio uwa nakucheki live tiktok uko fty kwnza io song Iko fty sana 🎉🎉🎉from Kenya ❤🎉

  • @MagamboIbrahim-f1k
    @MagamboIbrahim-f1k Месяц назад +1

    Oyaaaaa weee ngoma kali sana pambana mwanangu unaweza

  • @AtupakisyeKapushi
    @AtupakisyeKapushi Месяц назад

    kaka pambn at mond alichekwa hvohvo sahv anachagua akalale wapiiibmy,💚💚💚💚

  • @officialg-rayzor2542
    @officialg-rayzor2542 Месяц назад

    Moto Sana...bonga la hit🔥🔥🔥.... kipaji sio bahati....#NIZAMISHE HIT SONG 🔥✨✨

  • @Hamisally-o7g
    @Hamisally-o7g Месяц назад +5

    kaka hivo kila mtu anaweza njo tulime kaka

  • @SamweliKululinda
    @SamweliKululinda Месяц назад +3

    Nakukubari sana kaka from mwanza ❤❤❤100%

  • @norregaraper5383
    @norregaraper5383 Месяц назад +2

    Video queen hayupo sawa yani kama anaogopa ugopa ivi ila ngoma kaliiiiiii💯💯💯💯💯

  • @Its_konjaboyTz
    @Its_konjaboyTz Месяц назад +2

    Swaxcity tz artist tupo 🔥 fire

  • @LixerClassic
    @LixerClassic Месяц назад +1

    Bonge la wimbo kaka❤🔥

  • @LuisiGeorge
    @LuisiGeorge Месяц назад +2

    Kazi nzuri familiar 👊
    Hapo ni kukaza tu 💪🏿.

  • @KevinOyugi-m2l
    @KevinOyugi-m2l 15 дней назад

    i salute you bro,hii song inaingia mbaka kwa bornmarrow,i love this song💓💗

  • @PaschalJohn-m8t
    @PaschalJohn-m8t Месяц назад +2

    ebana swax umetisha fanya kutuwakilisha zaidi mzee

  • @danieligledson5697
    @danieligledson5697 Месяц назад

    Kaimba vzr sana Mungu hakunyimi vyote saut nzur kwangu mm ni best song

  • @Dizzyzackstz
    @Dizzyzackstz Месяц назад +5

    Kweli umejitahid sana ngoma kali kina

  • @JackieZawad
    @JackieZawad Месяц назад +6

    Mungu akutie nguvu familia frm ruvu jkt

  • @PrinceCharming-om9vl
    @PrinceCharming-om9vl 14 дней назад

    Jamaa anajua bn tuache tu utani 🎉🎉

  • @4raizoh555
    @4raizoh555 Месяц назад

    Goma la kwenda mjini storm🔥 pita na kwangu kacheki

  • @WillsonAsheka
    @WillsonAsheka Месяц назад +3

    Noma sana mwana pamban uskate tamaaa

  • @Cleomelody-cj2vi
    @Cleomelody-cj2vi Месяц назад +3

    Kaka umeua naitaji fanya remix na wewe💯💯💯💯💯

  • @FrancisKinyajui-kg9vk
    @FrancisKinyajui-kg9vk Месяц назад

    Apa Kenya uhondo unatufikia vizuri big up🤜🥰🥰

  • @Deezingotz
    @Deezingotz Месяц назад +1

    Ngoma kali beat kali sa kiitikio Yan Kolasi umeimba vby kidogo

  • @alphoncejacob8312
    @alphoncejacob8312 Месяц назад +1

    Mzee wa kamdomooo 👏
    Keep pushing 💪

  • @TeflonNoriega
    @TeflonNoriega Месяц назад +2

    Big up....uko vizuri bloody🎉🎉🎉🎉

  • @Yusufoso-h2m
    @Yusufoso-h2m Месяц назад

    Bonge la ngoma wallai,,,🔥🔥🔥unafki kando

  • @HabimanaEvariste-x9w
    @HabimanaEvariste-x9w 17 дней назад +2

    Kiukweli bila wivu hii ngoma nikali sana

  • @ojb-star
    @ojb-star Месяц назад +3

    Good talent ntakupea collaboration

  • @ImmaBahati
    @ImmaBahati Месяц назад

    Hiii nyimbo ni nzuri una sauti nzuri sana hata @diamond @jeymerod hawaingii kwako ila tafuta na shamba uwe unalima

  • @VictorAlchard
    @VictorAlchard Месяц назад +1

    Unyam sanaaa brother 👍👍👍👍

  • @Thekenyanemperor
    @Thekenyanemperor 10 дней назад +1

    This is real talent . This song is 👌

  • @JosephChibole-g8y
    @JosephChibole-g8y 25 дней назад

    Noma sana

  • @eliaelias6506
    @eliaelias6506 Месяц назад

    Unakipaji sana kk god bless u lazima utoboe

  • @marrymasanja4489
    @marrymasanja4489 Месяц назад +2

    Nizuli sana hongera sana

  • @MashibaBalelepastory
    @MashibaBalelepastory Месяц назад

    Jamaaa anajuaaaa ❤❤❤ kinyama endelea kaka one day yes❤❤🎉🎉

  • @StephenMambo-d2s
    @StephenMambo-d2s Месяц назад +1

    Wewe ni dawa yao kazana mwangu Mungu anona kazi ya mikono yako na atazidi kukubatiki.🎉

  • @MartinMbaluka
    @MartinMbaluka Месяц назад +2

    Kali sana brother keep it up!!