SAM ONNE - OWEEH ( Visualizer )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 766

  • @DidaMunir
    @DidaMunir 8 дней назад +114

    Stamina ebu fanya utafit umjue mama mzazi wa uyu dogo, yaan hii ni damu yetu kabisa. Sasa kwa nn uliikataa mimba unaona sasa dogo anavyokuumbua baba ake

    • @zomasamweli
      @zomasamweli 8 дней назад +1

      😂😂😂😂

    • @JosephWanjala-x3v
      @JosephWanjala-x3v 8 дней назад

      Yeah

    • @EliudKeivoo-md1vw
      @EliudKeivoo-md1vw 7 дней назад +1

      @@DidaMunir kapisha

    • @HarrietPendo-dr2gl
      @HarrietPendo-dr2gl 7 дней назад +1

      Kabisaa😅😅😅😅Yani kamfanana kila kitu ata sauti akia Mungu tena uyu dogo stamina mtupu

    • @zomasamweli
      @zomasamweli 7 дней назад

      @HarrietPendo-dr2gl itakuwa stamina alichovya sehemu afu hakuzingatia yaan huyo dogo damu yake kabisa😂😂😂

  • @YassnKalyango
    @YassnKalyango 8 дней назад +3

    Nomasana unatisha badohujakua
    Ukikuaje itakuaje utauazaidi
    Dogo nice one 👍

  • @kgn924
    @kgn924 8 дней назад +4

    Dogo apige collabo na founder tz dogo achane founder aimbe kiitikio au mnasema hawa ndo mondi na stamina wa badae🤝✌️

  • @ArahanJames-gc8qv
    @ArahanJames-gc8qv 3 часа назад +1

    Nakubali kijana

  • @KadengePeter-u8r
    @KadengePeter-u8r 8 дней назад +4

    Kali sana nasikiliza nikiwa Qatar 🇶🇦 from kenya ,.....❤❤❤

  • @YusuphMusa-o3v
    @YusuphMusa-o3v 8 дней назад +4

    Dgo anajua akaze tu atafika mbali san 🔥🔥🔥

  • @MwewaLandy-t7x
    @MwewaLandy-t7x 8 дней назад +5

    Ni kweli kijana huyu ana kipaji kikubwa sana kwenye muziki, bila wivu atafika juu 🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️💪💪💪👏🤛🫵

  • @MandisiMechackLM
    @MandisiMechackLM 9 дней назад +6

    Mkongomani wa kwanza APA nipe liké zaku toshaa 🇨🇩🔥🔥📞📞 Sam onne 👑👑

  • @RamadhanObaka
    @RamadhanObaka 8 дней назад +2

    +254 tuko ndani ya mjengo dogo atambeee siku zotee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @JanuarisMutuku
    @JanuarisMutuku 9 дней назад

    Oweeh oweeeh.
    Fan from Kenya
    Sam one utatamba vinoma sana
    Napenda mistari yako
    One day one time you will be the the Tanzania king of hip hop

  • @ROBINOINDEOBAI
    @ROBINOINDEOBAI 8 дней назад +2

    Dogo unaupiga mwingi sanaa , Mashairi na vina vinaflow kinyaamaa . Big shout outs from Kenya 🇰🇪.

  • @Fantastic.-gm1eo
    @Fantastic.-gm1eo 9 дней назад +29

    Unyama dogo utafika mbali

  • @ronaldkoech8200
    @ronaldkoech8200 16 часов назад

    Natokea kenya....Dogo huyu moto wakuotea mbali❤❤❤

  • @CharlesAdam-x5f
    @CharlesAdam-x5f 8 дней назад +2

    Nakubali dogo una confidence kubwa san lazima utoboe zaid ya hap🙏🙏

  • @GsamkaputaTv
    @GsamkaputaTv 7 дней назад +2

    Nakupenda sana rafiki wa zamani 😮😢😢 shule tulisoma wote🎉🎉🎉 nime ku miss kinoma bab🎉 we njo mimi sam onne 🎉🎉

  • @GerardNDUWIMANA-vd6rv
    @GerardNDUWIMANA-vd6rv 8 дней назад +2

    Kweli wakubalishe wanaojifanya wahataali good song🔥

  • @mikedon254
    @mikedon254 8 дней назад +2

    Napenda sanaaa❤😎🇰🇪💪💯❣️💥✨

  • @planetteamfashion5167
    @planetteamfashion5167 6 дней назад +3

    Buja planet from 🇧🇮 nakubali sana big up sana same one

  • @liztv254
    @liztv254 9 дней назад +1

    😂😂😂 Kali sana 💯 kenya tuko sawa na wewe

  • @AberyMwembe-o8i
    @AberyMwembe-o8i День назад +1

    Duuu ! Nimesikiliza sana kipande cha Marioo mara nyingi sana Nilivo sikia na cha aslay nikagundua aslay kaua zaidi kuliko marioo like Zakayo jaman

  • @MohamedMwakaramu
    @MohamedMwakaramu 8 дней назад +3

    DNA ya stamina inahitajika kwa dharura sana wadau😂😂

  • @HarrietPendo-dr2gl
    @HarrietPendo-dr2gl 8 дней назад +2

    Mimi nim rudia mara ya kumi na moja sasa😊😊😊nampenda Sana dogo letu Kenya

  • @JoshMusic427
    @JoshMusic427 8 дней назад +2

    Nimekubali dogo hii ni kubwa. Wapi likes za huyu dogo. Nipo Kenya Msanii pia namsupport ndugu yangu Sam one, Nice Piece 💫💫

  • @MachumbeMrange
    @MachumbeMrange 8 дней назад +1

    Pambana dogo mtoto wa stamina mungu mkubwa utafika mbali

  • @Online-dl5vo
    @Online-dl5vo 8 дней назад +3

    Sam one ft founder Tz itakua 💥💥

  • @michaelroban2639
    @michaelroban2639 7 дней назад +2

    Dogo langu me nakufatilia sana uko vizur binafis nakukubar sana, kikubwa pangilia mashair yako sasa ili yalete mana nzuri, ni hivyo tu wewe ni 🔥

  • @laidahmaris.26
    @laidahmaris.26 33 минуты назад

    nakubali Mungu akupe maisha marefu ukue sauti ikaze utulie na hip hop sasa😊😊

  • @iamdullnizer
    @iamdullnizer 8 дней назад +1

    Maswali meng shule anarud lini katujibu hata kwny kazi yake anatumia hesabu umetisha mdogo wetu🎉🎉🎉

  • @andreamalilo1929
    @andreamalilo1929 5 дней назад +3

    Maswali mengi nitarudi linib shule hata mziki natumia hesabu 🔥🔥🔥Kali sana

  • @veejaymchinake4715
    @veejaymchinake4715 8 дней назад +2

    From 🇰🇪 nimekukubali ,wacha tuicheze

  • @DAVIDKASANGA-qq7pm
    @DAVIDKASANGA-qq7pm 8 дней назад +1

    Aaaah weeeeh hapa na subscribe kabsaaa... Msiniulze n kwann.. mana Hata kuandk2 hii comment natumia BAM

  • @twinarmymusic3227
    @twinarmymusic3227 15 часов назад

    From Kenya nimekuja kusema kijana ni hatari huyu

  • @MaryamKhamisi-d7f
    @MaryamKhamisi-d7f 8 дней назад +2

    Dogo anajua nyie kulia inaruhusiwa ila kukata tamaa😮

  • @DJAZBABOYS
    @DJAZBABOYS 8 дней назад +2

    Dogo nimoto kama stamina mapacha kwakweli naipenda sana 🙏🙏🙏🙏🙏🇨🇩♥️❤️

  • @charokahindi2019
    @charokahindi2019 8 дней назад +2

    Deeeeem! Kijana skari sana mazee. ,

  • @pacifiquetuyisenge3762
    @pacifiquetuyisenge3762 8 дней назад +1

    Kijana nakubal sana mwangu uko na kipaji kbs ukiwa n Burundian nipero likes za gutosh m Tanzanie Rwanda Ouganda Congo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @KissBieber
    @KissBieber 11 часов назад +1

    Noumaah sanaah dogo anaujua cyo anaiga

  • @TanzaniaDodoma-w5y
    @TanzaniaDodoma-w5y 8 дней назад +1

    Weka alama sapoti kwa Sam one weke like hapo 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NicholasROMA-h8h
    @NicholasROMA-h8h 8 дней назад +2

    SAM ONE pokea tatu👊👊👊 kutoka🇰🇪🇰🇪

  • @cleophassimiyu6388
    @cleophassimiyu6388 8 дней назад +2

    Unyama mwingi🔥🔥🔥🔥🔥

  • @SLVESTA07
    @SLVESTA07 8 дней назад +2

    Mbona kama sharobwenzi vile 😂🙌🔥🔥 sema unajua sana

  • @danielnzogu3017
    @danielnzogu3017 4 часа назад

    Tu mérites un million de vue dans deux semaines

  • @futurekingsinglemaster9003
    @futurekingsinglemaster9003 8 дней назад +1

    Bomboclat ❤❤❤❤❤ this boy ❤from KIGALI 🇷🇼 we love him

  • @BahatiKakuru-v6w
    @BahatiKakuru-v6w 10 часов назад

    Bwana mdogo vip kazi ipo

  • @Kangundostarsband-rc9mh
    @Kangundostarsband-rc9mh День назад +1

    Namkubali huyu sam one toka 🇰🇪 vibe yako 💯🔥keeping shinning i mean endelea kutamba

  • @OmaryOudax-d4b
    @OmaryOudax-d4b 7 дней назад +2

    Dogo umetisha sana Dogo langu nakukubali kinoma

  • @HenryChristophvtl-md1cz
    @HenryChristophvtl-md1cz 8 дней назад +2

    🎉🎉❤❤

  • @JohnRaperJohnRaper
    @JohnRaperJohnRaper 8 дней назад +2

    Unyama Dogo big up

  • @Sospetermwageni
    @Sospetermwageni 8 дней назад +2

    Talented 🔥🔥🔥🔥

  • @KingTyger
    @KingTyger 8 дней назад +1

    no give up hapa rwanda tanagupenda sana❤❤❤❤ I'm king tyger

  • @mselamusiq
    @mselamusiq 12 часов назад

    Kenya twakupenda

  • @Kebaclassic10
    @Kebaclassic10 9 дней назад +1

    Maisha ni pole pole watakubali 2 ipo siku sam 1

  • @GimuntaAlloys
    @GimuntaAlloys 8 дней назад +2

    Maswali mengi shule unarudi lini,,hata kwenye mziki unatumia hesabú😁😁😁😂😂😂😂🔥😂😂😂😂😂🔥😂😂😂😂😂😂😂mwamba classic 🙌🙌🙌🙌🙌

    • @TigerGabrielsaint
      @TigerGabrielsaint 8 дней назад

      😂😂😂😂hiyo ni fumbo blood 😂😂😂😂

  • @BRANDIAFRICA
    @BRANDIAFRICA 8 дней назад +11

    Walio ludia Mala2 tujuane kwa like

  • @TKWOLF-kh6yz
    @TKWOLF-kh6yz 7 дней назад +2

    This young man is talented

  • @morishoissa4155
    @morishoissa4155 8 дней назад +2

    Maisha marefu mdogo wangu 🎉🎉🎉🎉

  • @mswalehmswazi2507
    @mswalehmswazi2507 8 дней назад +2

    Mchanaji dogo...🙌👌🔥🔥😍

  • @Bevannyboy
    @Bevannyboy 8 дней назад +3

    🇰🇪 ❤

  • @Almas-tf3eb
    @Almas-tf3eb 8 дней назад +2

    Saaaana Sam One uko poa San

  • @Paqoke
    @Paqoke 7 часов назад

    Uko swa kimuziki bro big up

  • @benedictoyo5995
    @benedictoyo5995 8 дней назад +1

    Skonnnnga kutoka nchini 🇺🇬 🇺🇬 🇺🇬 🇺🇬 ❤❤❤❤

  • @amergolil-pump6
    @amergolil-pump6 9 дней назад +24

    Dogo leo sijachelewa Naomba like zangu 🎉

  • @JafarKhamiss
    @JafarKhamiss 8 дней назад +1

    Noma sana umetisha kaka 🎉kazi zuri

  • @MugishaSano-s8j
    @MugishaSano-s8j 8 дней назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ good morning my friend is

  • @kaydazkenya
    @kaydazkenya 8 дней назад +1

    I see bright future for this young king right here🔥🔥🔥🔥🔥

  • @t-starzs7448
    @t-starzs7448 7 дней назад +2

    Dogo we we mkali Sana tena kinoma😍😘😘

  • @norineraymond8098
    @norineraymond8098 9 дней назад

    Talented 🎉🎉🎉 all the best dogo

  • @DJAZBABOYS
    @DJAZBABOYS 8 дней назад +4

    Uyu dogo nishetani😢😢😢😢😅

  • @NiyonsabaVianney-o6x
    @NiyonsabaVianney-o6x 9 дней назад +1

    Mtoto mukali sana heshima yake kwa hii nyimbo

  • @KennyDolphin
    @KennyDolphin 8 дней назад +2

    Sana dogo janjaaa👍👍👍👍👍👍

  • @Barakahtz41
    @Barakahtz41 7 дней назад +2

    Dogo wa moto sana🔥🔥🔥

  • @Mo-Melody
    @Mo-Melody 7 дней назад +2

    You're my best rapper wa all times 🔥🔥🔥@sam onne#samonne

  • @DavidJackson-eh8mr
    @DavidJackson-eh8mr 4 дня назад +3

    Tanzania imebarikiwa na vipaj

  • @PascalVirusi-x8j
    @PascalVirusi-x8j 8 дней назад +1

    Naitwa pascal virusi toka kenya msanii pia kwakweli huyu ni zaidi ya stamina

  • @KATEMBOKAVASUKAJOEL
    @KATEMBOKAVASUKAJOEL 16 часов назад

    ❤❤❤nakushabikia kutoka congo drc

  • @gilbertcontez1192
    @gilbertcontez1192 8 дней назад

    Dogo kauwa show🎉🎉🎉 love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @WorldSports006-v8v
    @WorldSports006-v8v 8 дней назад

    Bonge La Ngoma bonge la video kweli Dogo mkali kutoka morogoro nakupata nikiwa Qatar Doha 🇶🇦 🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦💪💪🔥🔥

  • @sammichael1946
    @sammichael1946 6 дней назад +2

    Miondoko ya stamina ... Big up

  • @larryngona7366
    @larryngona7366 8 дней назад

    From Zambia 🇿🇲 I endorse this one 🔥💪🔥 tough

  • @yusuphmyinga
    @yusuphmyinga 9 дней назад

    Kazi safii endelea kukaza tutafika kama waoooh👊👊👊

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 8 дней назад +1

    Dogo unasoma Darasa la ngapi....??? much respect goma qali 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AbediPili
    @AbediPili 7 дней назад +1

    Stamina unacherewa wap mbona pacha wako ameonekana tunachotqka ni kolabo to 💪💪💪💪💪💪🧠🧠🧠🧠💪💪💪💪💪💪💪

  • @EmmanuelMichael-t7j
    @EmmanuelMichael-t7j 6 часов назад

    Safi sana bwana. Mudogo,

  • @Sadison-7262
    @Sadison-7262 8 дней назад +2

    Kwer mwana

  • @Samdeeluodancehall
    @Samdeeluodancehall 8 дней назад +2

    Big up supper 🌟

  • @AlexMoses-h3k
    @AlexMoses-h3k 7 дней назад +1

    Nilikuwa nasubli kwa hamu hili goma goma Kali uko vizurii dgo

  • @jaymash2859
    @jaymash2859 12 часов назад

    From kenya big up

  • @JohnRaperJohnRaper
    @JohnRaperJohnRaper 8 дней назад +1

    Sanaa blood ❤❤ wap 2a coats 🎉🎉🎉

  • @djpdaprince2233
    @djpdaprince2233 5 дней назад +2

    huyu n damu ya stamina bana 😂😂😂 milima ndo haikutani🎉

  • @Joelmwangi-z9t
    @Joelmwangi-z9t 8 дней назад +2

    Noma hii

  • @Kaske-bleumartin
    @Kaske-bleumartin 9 дней назад

    Nice from merekani 🎉🎉

  • @HassanGoldenboy
    @HassanGoldenboy 2 дня назад +1

    Tunao amini huyu dogo katoboa mapema nipe zang like ❤

  • @HashimuJulius
    @HashimuJulius День назад +1

    Daah dogo fundi sana nimetulizana kama Boli kwenye fut

  • @muharramhamisi5140
    @muharramhamisi5140 7 дней назад +1

    ✊✊Dogo naamin one day utkuw mbali kijana,ongeza vitabu waje wakujue wew ni nan

  • @user-sv1power1p
    @user-sv1power1p 2 дня назад +1

    From Lubumbashi DRC dogo ongera kaza mpaka kieleweke💪💥🔥

  • @Nathanamecha
    @Nathanamecha 8 дней назад +1

    Kama uko 254 nipe like much ❤ samone meeen

  • @MrishoMakamba
    @MrishoMakamba 7 дней назад +1

    Dogo anajua sana kam utani tu sku ya Kwanza namuona masai club huyu dogo daah story yake sas😢🔥 pambana 🙌🙌

  • @SylvesterWambura
    @SylvesterWambura 8 дней назад +1

    oya we stamina mkumbate oya we stamina mkumbate uyo dogo

  • @carlivian
    @carlivian 8 дней назад +2

    Kaali sanaa💯🔥❤️

  • @kenmurimikamumeakafro
    @kenmurimikamumeakafro 7 дней назад +1

    On topz ✅
    Keep the fire burning 🔥🔥🔥