Willy Paul & Nandy - Bembeleze (Official Music Video)
HTML-код
- Опубликовано: 12 дек 2024
- Willy Paul & Nandy performing "Bembeleze".
Stream Now: onerpm.link/be...
Written By: @WillyPaulMsafi
Produced By: Kimambo on the beat
Mixed & Mastered by: Lizer Classic WCB
Record Label: Saldido International Entertainment Limited
Follow Willy Paul on Socials
/ willy.paul.msafi
/ willypaulmusic
LYRICS
Pozze
Nandy Yeye
Verse 1:
Wanasema utakuja nikimbia
Utaniacha mmmh
Wanasemautakuja nitesa
Moyo utaviruga wooooh aaaah
Wanasema utakuja nikimbia
Utaniacha mmmh mmmh
Wanasema utakuja nitesa moyo utavuruga eh yeah
I wish wangejua unavonipenda
Nami navokupenda
Tuvo mbembelezana mmmh uwouwouwo
Itabidi wakam slowly ehe
Na wajione tukipigana mate ehe
Hapa tu ni mapenzi ya dhati
Baby njoo niku bembeleze
Chorus:
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Ooh njoo nibembeleze nibenibembele
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Uuuh eeeih eeeih uuuh
Verse 2:
Sijawai kuona a man so good mmmh aaah
A man so sweet mmmh aaah
A man so perfect
Sijawai kuona a man so good mmmh aaah
A man so sweet mmmh aaah
A man so perfect
Na nikiugua ni wewe ndie dakitari wa moyo wangu baba aaah
Kila unaponishika kama nimepigwa na umeme mmmh
Kila unapoondoka yangu dunia inasimama aaah
Mapenzi yako yamenipa amani
Kwa mapenzi yako sihitaji ata money
Baby wengine ata sitamani
Basi my lover njoo nikubembeleze
Chorus:
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Ooh njoo nibembeleze nibenibembele
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Uuuh eeeih eeeih uuuh
#willypaul #saldidointernational #nandy #bembeleze
My G hii nayo ni motooo....the best yet
African princess na mkunaji 🔥🔥🔥🔥
Hapa Kenya hatuna hasara kwa utunzi wa muziki tumeanza kukuwa sawaa😋😋
Sio kubahatisha tena jovial wa nn, pozzee🦁💥
WILLY PAUL IS THE BEST MUSICIAN IN EAST AFRICA IF AM RIGHT JUST PROVE WITH YOUR LIKE THIS IS HIT KENYA🇰🇪 X TANZANIA 🇹🇿
He is cool but don't say he is best the best
🎉true
😊
Finally someone gets it ❤❤❤
Poze kama poze
Moto kama moto
Ninamuelewa uyu king 👑 wa kiviyake💥💥💥
This is what we call talent. Willy Paul na Nandy tamu sana
Wakune kabisa ndugu yangu enda mpaka Vietnam waoneshe wewe ni kusema nini😂😂😂 Pozzeeeee Siku Zoteee
Comme uko kila sdy?
Udaku zone uko uku bratheeeee
@@stacybetty9447 udaku haitaki uzembe
@comme ndio pekeyake naonanga ak8support wenzake
Unakunywanga soda gani bro mbili kwa bill yangu
Napenda hii ngoma mtu wangu❤❤
Hapa tu ni mapenzi ya dhaaati🔥🔥
Kaaaaaali ❤💯💥💥
A simple sweet song
Zero nudity 0.00%
Content 100%
When Kenya and Tanzania comes together it's a great thing show love to this amazing song 🇰🇪 +tz
bana kwanza imetulia fty xana my g amejaribu u can listen with ur beb
😢😢😅😢😮😮😮😮😮😮😮😮😮o😮😢😮😢😮😮😅😅😅😅😅😊😮😅😊😮😮😮😮😊😊
L hi ttxll😊
Huu wimbo mtamu
Toka Tanzania,Moshi,nope likes za mkwe wetu willypozee,tafadhari
🤣🤣🤣pokeya likes 👍 za mkwe 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
Sante sana
Mkwe Kwa nyi wakenya ni kijana aliyemwoa msichana wako.
Hio nope uku Kenya inamean noo😂😂😂😂
Moshi wapi Niko mabogini 😅😅😅
Ntaskiza hii wimbo after every like walai 🔥🔥
When Pozze collabs with the African princess it's always a big hit no doubt ❤️🤙
Helloooo wapi likes 👍♥za bembelezeee
@@nevillewan1226 😂😂 Kenyans tho
❤❤😂😂😂
I celebrate willy Paul Kwa nyimbo zaka zote😊💯
Kenyans don't know how much we Nigerians love them...Kenya🇰🇪 Nigeria🇳🇬 loves you❤
we nigerians too
❤❤
Wow willy you do it perfect 💘💘💘💘😍
Love from kigali 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🤓🤓🤓🤓🥳🥳🥳🥳
Aki Nisha watch hi video like 20 times poze uko juu tu sana 🔥🔥🔥
Baby njoo nibembeleze nibenibembele 🎉❤❤❤ hawa watu wawili wanapokutana Mashabiki twaona raha 🎉❤❤♥️
😀😀😀
Nyimbo tamu kama asali
The 4th Day.. nibembeleze still a hit 4 days.. wapi likes
Mimi nataka mtu wa kunibembekeza🤗🤣🤣
Here before a million views 😎👊 POZEEEE 🔥 Always Amazing
Mziki mtamu jamani unaonibembeleza mpaka basi tu
On Behalf of my Family, my Village people, my Ancestors and also my Wicked Landlord, we approve this Song 😂😍💯🔥
Apo kwa landlord
My wicked landlord hahaha
😂😂😂😂😂am ur wicked landlord readings this😅😅😅
🤣🤣🤣🤣Wicked landlord
Did you say your wicked landlord😂😂?
Huu umeme willy Paul hukuwa nao sijui niganii hupenda😅😅😅
Wow from USA this is a big project Willy Paul big up 🔥🇰🇪🇹🇿💕
Baby njoo unibembeleze waaah!!! Wapi likes za pozze na Nandi
Hii ndy couple bora Sasa achana na hizo zingine,kama umenielewa gonga like😂😂😂
Good job Nadia ,willy paul
I just love ❤Nandy,,keep up bro Poze
Willy Paul I love you 💗💗💗💗
Hii nayo nisipopata likes watu wangu na huu subira wote😅
Y'all I'm inlove with willy Paul..😂😭
Streaming live from Ghana🇬🇭🇬🇭🇰🇪🇰🇪 Kenyans we love you🇬🇭🇬🇭🇬🇭
Love it ❤safi kabisa
I'm sure this must trend at NO 1💪💪🇰🇪🇰🇪
Ngoma inakaa choir ya SDA😅😅😅
True
@@OtisKenya usikuwe hvo broo 😂
Uliskia wapi na bado tuko soko
@@lavinmmbone10ksub92 unajua willy paul ni nani???
Pozzeeee my always No.1❤️❤️❤️
Sio Ngoma za kitoto kama za Bahati😷😷😷
..
..
From here go to Zuchu Pozzeeee💪💪💪💪🔥🔥🔥
Pozzee has done it again....the Kenyan Simba meets the African princess and they give birth to a big hit
So pleasing to the ear,😊😊,nitabembelezwa nayo
*Kazi safii sana 🔥🔥.Hii Iko level nyingine kubwa sana.Mumefanya vile inafaa Willy na Nandy🥰🥰.Nipe like tukisonga kama unakubali hili goma wanangu*
Hiii ndio nyimbo ulikuwa unafananisha na zuwena 😂😂😂bado sana sema umejitaidi
Willy is still my favourite Kenyan Artist
Nomaaaaaaaaaa sanaaa
I don't know whether it's me only noticing this but for real Willy's Vocals and Nandy blend so much like every song they do becomes so dope and lit 🔥🔥🔥
I love the Chemistry 😍
My two favorites ❤❤
To the beautiful girl reading this I love you 😊😊😘❤
Can't wait hiiii tunajua ni moto kaaa pasi,nandy♥️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Every day pozze we to uni supprice Kwanza the move there nipembeleze Kali 💕💯lazima nifannye
Whueee..thi is hoooot🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I don't know kama huskizi NGOma za willy unaskiza zipi Sasa surely always konki my bossss
This song will be on top for months
Good song congratulations 💐🇰🇪🔥🇹🇿
There's just something different with the musical chemistry between Pozze and Nandy 🔥🇰🇪🇹🇿
Kidogokidogo usikie Jay Melody akisema aliandika hii pia😅😅😂.Anyway this one is a masterpiece from Pozzee..its 💣💣💣💥💥💥🔥🔥pozzee's harmonies is on another level if you agree niper like hapo.
Kila mtu Kenya ni fan wa Pozze😂
Hawasemi tu, ngoja uone 10M views ♥️
Jo kabisaa
very true
No one does it like my guy P...give it to them willy
Every song Willy Paul does with Nandy is always big ❤
true
@@rickyrichard-hn3nf much love
😊
@@rickyrichard-hn3nf 😊
So you ever y song for Andy with Paul
Ndio kufika 🎉🎉🎉🎉
Another kenyan anthem from my favourite Willy Paul,, hit like if you agree willy never disappoints
Napenda hiii...
God created pozze akamleta kenya🇰🇪. To deliver good music…pozze all the way🔥🔥🔥🐐
POZZEEE X NANDY 🔥🔥🔥💯
It's a hit Kenyan King 👑 Simba
Might not like the character willy Paul but I've always loved his music
East Africa ⚡🔥🔥
Bebi njoo nibembelezee🥰🥰😋😏😋 this must go viral 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
ON BEHALF OF ALL ENEMIES, CHEATERS...THIS SONG IS APPROVED....
Am well represented in East Africa the Queen and King them self❤🎉🎉🎉
Wow wow wow wow Willy Paul killed it wow aki the song is fire fire 🔥
Hakuna talent hapo upuzi tu hii. Wimbo mbovu hii
Bruvv!!willy Paul is something else 😭then there's something when he does a collabo with nandy 🔥🔥🔥Damnnn
Poze talanta tupu.. 🔥🔥🔥🔥
You know a song is good when you never get tired of listening to it every time🇰🇪🇰🇪X🇹🇿🇹🇿
Wueeh hii wimbo na maisha ya Kenya zinaendana😂
Nimeskiza ngoma sice itokee bana wee😂 kali sana 🔥🔥💜
Hongera sana mwanangu isalute you
The Old Gangster is back
Nandy ako na sauti nzuri kuliko zuchu and that is a fact tafadhali tusibishane hapa.❤
Been waiting like,,,, damn These hotty 2 are going to crash it 2023 a new hit
On fire how i wish i believe in love.......🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
When these two come together ,we get good Music.
Nampenda sana nandy na willy paul
Its the chemistry for me😍
Pozee to the world 🌎❤
Talent 💯🔥Pozze na Nandy 🇰🇪 🇹🇿 These two always make great music wakishikana 🙌🙌 Bembeleze is a hit
Willy paul seem tobe brother to Dogo bruice msafee artist from kenya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 they have the same voice ...nice music congrats willy paul 💯💯💯👌👌👌👌👌👌
Perfect match made in Tanzania cemented in Kenya 🇰🇪
Will pozze is so underrated maaan🔥🔥🔥🔥
Itabidi Wa-come slowly manze! Poze on fire as always 🔥🔥🔥🔥
Hope hii nyimbo si jaymelody ameandika
Call them "a dynamic duo"💥💥💯💯
Kubembelezwa juu weeh hii ngoma imenimbeleza walai
THIS DUO IS ALWAYS THE BEST
Pozeeee show them
Very good music from Willy Paul and Nandy 👏🏽👏🏽
The best that can ever be...ogopa pozzee
my big guy @Pozzee
Willy paul my guy since 1963💪💪pure talent manze🙌🙏..no one to be compared with 👑👑