Ibrah Nation - Wangapi? (Amapiano) [Official Music Video]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 май 2021
  • Ibrah Nation - Wangapi? (Amapiano)
    Produced by Dedrey
    Video directed by Dir Florian
    Wangapi? is a song about a lover with multiple partners. The persona of the song is confused why the partner can not settle down yet she is very much loved.
    He is shocked that she is with other men yet he thought she was all his.
    He goes on to inquire how many more partners she is looking for and if all the entanglement brings her satisfaction.
    Stream & Download
    Apple Music: apple.co/2SveHjv
    Spotify: spoti.fi/3h9ESXj
    RUclips: bit.ly/3utpCIx
    Deezer: bit.ly/3eYNeys
    Pandora: bit.ly/3nVCoNH
    Wangapi? Lyrics
    Nashindwa kuelewa adhabu
    Naona ngekewa maajabu
    Nimechelewa
    Sijaelewa nahisi kudata
    Nikilewa naishia kubwata aah ah
    Nilidhani kwamba we ni wangu
    Kumbe umetupanga kama fungu
    Chagua moja unampenda nani
    Hatuwez wote tukakuweka ndani
    Chorus
    Utapenda Wangapi?
    Kaa na nani nani
    Baki tuu na Mimi eeh
    Na mii iii oohh
    Wangapi ngapi
    Utazaa na nani nani
    Baki tu na Mimi babe
    Na mii iiii
    Ooh oh yeah
    Mimi ndio yule akupendae
    Na tena bure nilikupenda we
    Sikujua una msululu
    Mambo yako ni vululu
    Mi mwenzako mi kunguru
    Naogopa
    Ukibaki na yule mi sitaki
    Babe I wanna be your number one
    Wasikugusee
    Wasikuchezee
    Mimi ntatulia
    Uuooo ooh ooh ooh yeah
    Nilidhani kwamba we ni wangu
    Kumbe umetupanga kama fungu
    Chagua moja unampenda nani
    Hatuwez wote tukakuweka ndani
    Chorus
    Utapenda Wangapi
    Kaa na nani nani
    Baki tuu na Mimi eeh
    Na mii iii oohh
    Wangapi ngapi
    Utazaa na nani nani
    Baki tu na Mimi babe
    Na mii iiii
    Ooh oh yeah
    #ibrahnation #wangapi #nationmusic
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 398

  • @SWAHILINATION
    @SWAHILINATION 3 года назад +20

    Tanzania wake up! Ibrah is a pure talent let’s support our own 🔥🔥🔥

  • @antonyjuma7143
    @antonyjuma7143 3 года назад +24

    Tuliotoka kwa salama sk tujuane kwa like tyu💣💣💣💣💣💣💥💥💥💥

  • @danielyusuph3231
    @danielyusuph3231 2 года назад +7

    nampenda demu halafu haeleweki.., hivyo naamua niende zangu kidimbwi den vitu vimeshanikolea kwa kichwa ghafra Dj ananigongea lisong hili walah ntarudi mtupu nyumbn

  • @ziahdapox3729
    @ziahdapox3729 3 года назад +12

    Ibra King Of R&B 👍 Like Nyingi Kwake💯

  • @fredyasante1115
    @fredyasante1115 3 года назад +9

    aaaaaaaah msije sema sikusema huyu jamaa mkali aisee huwa si comment mimi ila huyu jamaa ni dollar amini kwamba.
    mzee kaza kama mbele
    🔥🔥🔥

  • @JoshuaMwamasika
    @JoshuaMwamasika 2 года назад +6

    Watu wanajua jaman ila hizi timu @alikiba @diamond @harmonize zinatuaharibia mziki mzuri kama huu.. hatuupati kwa wakati.🥰😍😍 play on cue.

    • @abduljembe6608
      @abduljembe6608 2 года назад

      Kabisa vipaji vinapotea tunaendekeza utimu tu

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 3 года назад +7

    Wanaojua awapewi eshima yao🙌🔥📌

  • @midobrown250
    @midobrown250 3 года назад +5

    noma sana ngoma kar sound kar sanaaa iamdedrey🔥

  • @abubakarkhamishaji2849
    @abubakarkhamishaji2849 3 года назад +4

    baada ya stave rnb kuwa kimyaa mm huyu ndo nampa king of Rnb tz kama unaamini like ziwe nyingii

  • @magneticofficialtz
    @magneticofficialtz 3 года назад +3

    Uwiii the nation music balaaaaaaaaa kama umekubali kama mm weka malike kama uote

  • @yusuphkidoto3728
    @yusuphkidoto3728 3 года назад +7

    Hii ngoma ntaisikiliza mwaka mzima

  • @bonifacepius1574
    @bonifacepius1574 3 года назад +6

    It's nation 🔥
    chagua moja unampenda nan?
    Hatuwez wote tukakuweka ndan!
    utapenda wangap?
    Utakaaa na nan
    Baki tu na Mimi

  • @erickmbilinyi2056
    @erickmbilinyi2056 3 года назад +3

    kinyonge sana mzee ila mzigo mkalii

  • @adamyasin4089
    @adamyasin4089 3 года назад +2

    We bro fundi Sana najubali Sana we mnyama Sana nafwatilia Sana kazi zako bro we mnyama Sana

  • @AzmaMpondaMUSIC
    @AzmaMpondaMUSIC 3 года назад +5

    Kali sana keep it up

  • @andreaszambia9417
    @andreaszambia9417 3 года назад +7

    Ibrah Nation to the world. Your number one fan here in zambia..

    • @NationMusic12
      @NationMusic12  3 года назад +1

      Yo welcome bro

    • @andreaszambia9417
      @andreaszambia9417 3 года назад +1

      Thanks for the reply. This means alot to me brother. I love your songs...

  • @malengouniverse9652
    @malengouniverse9652 3 года назад +4

    Kali sana kama kawaida yako,Mungu akutangulie kaka

  • @mariasongea5518
    @mariasongea5518 3 года назад +1

    Wauweee.... c kwa mavoko haya mwanangu...unatishaaa😈

  • @costafrank8629
    @costafrank8629 3 года назад +2

    Ngoma kali

  • @orthospeedafrica5335
    @orthospeedafrica5335 3 года назад +3

    Nzuri sana, ...

  • @kelvinmollel357
    @kelvinmollel357 Год назад +2

    Ibra hupo vizuri hata mondi akuwezi wewe ni fundi

  • @mohammedjuma8992
    @mohammedjuma8992 2 года назад +2

    Nyimbo nzur video nzur kaka 🙏🙏🙏🙏

  • @umojaafrika2447
    @umojaafrika2447 3 года назад +2

    Kazi safi

  • @monicaandrew8292
    @monicaandrew8292 3 года назад +4

    Wee jamaa ni balaaaaaaaaa zito

  • @dutchsafari7562
    @dutchsafari7562 3 года назад +5

    Unique voice unique melodies unique sound unique artist...inshort everything unique 🔥🔥🔥🔥

  • @obihonhie1684
    @obihonhie1684 3 года назад +1

    Daaaaaaah unajua knoma man

  • @othumanomary3298
    @othumanomary3298 3 года назад +1

    Iko poa sana mzee baba

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 3 года назад +5

    Long time I have recognized that you are icon of Tanzania

  • @maleek11flacko
    @maleek11flacko Год назад +3

    Best amapiano song in east Africa 💝💯🇰🇪

  • @saadanswaleh2213
    @saadanswaleh2213 3 года назад +3

    Huyuu ndio msani.voice kali sana like instrument big up ibra 💥💥🔥🔥

  • @faidhirashidi1354
    @faidhirashidi1354 3 года назад +3

    Daah

  • @naazizmomos9808
    @naazizmomos9808 2 года назад +2

    Amapiano pekee yenye maana hapa bongo ma east Africa.
    Sio Zile zingine matusi na makelele mingi priiii priiiihhhh....

  • @geraldkweka5720
    @geraldkweka5720 3 года назад +2

    Big up broo bonge la ngoma

  • @erickmyava7976
    @erickmyava7976 3 года назад +5

    Ngoma inanikumbusha zamani ,, ila kwa njia ya kisasa umetisha broh

  • @mosesmahinya9654
    @mosesmahinya9654 3 года назад +4

    Jamaa akaze tuuu ajua sana

  • @lwimikomwambene
    @lwimikomwambene 3 года назад +2

    NI YEYEEEEEEEEEEEE MWENYE RNB YAKE

  • @nasrihanya9067
    @nasrihanya9067 3 года назад +4

    ikiwa anaetisha kwa bongo msanii mkubwa TZ nishabik yake we nan usimuelew uyu ni moto

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 3 года назад +3

    Fundi wa music nakubali sanaaaaaaaaa

  • @nurdin.mndeme3447
    @nurdin.mndeme3447 3 года назад +3

    OMG !!! ibra

  • @RAFIKIOnline9660
    @RAFIKIOnline9660 3 года назад +3

    Kizazii sana ngoma, hiv ile ngoma uliyofanya kwa amba iringa ile ya kwanza kutoka kwa amba had iringa wakakuelewa sana inaitwaje ileee

  • @neemakyando7328
    @neemakyando7328 2 года назад +2

    the most underated artist huyu jamaa anajua sana

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 3 года назад +4

    We jamaa unajuwa thana tatizo unasizi sanaa 🇿🇦

  • @nyumbaclassic3584
    @nyumbaclassic3584 2 года назад +2

    Haujawai kukosea unajua San bonge la song

  • @minetravella8029
    @minetravella8029 2 года назад +2

    Resecpect Kwako ngoma Kali Sana yani utapenda wangapi inshort big up

  • @amapiaanocityintz6454
    @amapiaanocityintz6454 3 года назад +5

    Huu wimbo nimeview mara 13 ila nilisahau ku comment ❤🔥 ni amapiano tam sana

  • @slowmenino7804
    @slowmenino7804 3 года назад +2

    Mkali wao

  • @keitha2098
    @keitha2098 3 года назад +3

    Nzuri

  • @zulfamagwe436
    @zulfamagwe436 Год назад +2

    Unajua xana n bonge la song an

  • @yoabuchristopher2606
    @yoabuchristopher2606 3 года назад +2

    Dem wangu Aliupinga huu wimbo mpaka mda huu Yupo Single
    HII KALII HATAREEEE

  • @dinocentmgani247
    @dinocentmgani247 Год назад +2

    Bro unajua sana basi tu tz atujuhi vitu vizuri ngomq kubwa sana hii 2022 let go guys 👦 🔥

  • @paulmoshi
    @paulmoshi Год назад +2

    Ibra nation wewe ni genius

  • @paulrichard541
    @paulrichard541 2 года назад +2

    Mkali sana we jamaa bfore uwezo haujapotea do something with ur talent, tafta game changing button upress mapema

  • @samwelimwaseng2400
    @samwelimwaseng2400 3 года назад +4

    Ngoma kaliii?🔥🔥🔥👍👍🇹🇿🇹🇿🇿🇲

  • @moccahhassani7138
    @moccahhassani7138 3 года назад +2

    nation kama nation fire fire

  • @SIMBA-po2tj
    @SIMBA-po2tj 3 года назад +4

    Congrats brother

  • @Storizetu
    @Storizetu 2 года назад +2

    Nyimbo kubwa, needs more viewers wahalla👍

  • @sokatvtanzania5447
    @sokatvtanzania5447 Год назад +2

    Baki tu na mm baby Dah bonge la jimbo

  • @arabgandaempire
    @arabgandaempire 3 года назад +6

    *Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

  • @manchi__sub1954
    @manchi__sub1954 3 года назад +4

    daah😒 nymbo inapigwaa sanaa nimeipenda knomaa💟

  • @bashiteentertainment3298
    @bashiteentertainment3298 3 года назад +3

    Hapa ndo nnapoonaga mziki sio kazi wala sio kipaji tena hakika zaidi ya pesa mbele kuona msanii kama huyu nae pia bado hauonekani owezo wake duuuuuuuuu

  • @denisychalamila3097
    @denisychalamila3097 3 года назад +3

    Bang flan hv🔥🔥🔥

  • @georgerasher1936
    @georgerasher1936 3 года назад +4

    Fan all the way from Blantyre Malawi you are best Ibrah nation World Wide

  • @elipiano7485
    @elipiano7485 3 года назад +2

    Komaa tu mzee🙌🔥🔥🔥🔥

  • @gloriadesdery9705
    @gloriadesdery9705 3 года назад +4

    Kazi nzuri

  • @wyclifekalama4397
    @wyclifekalama4397 3 года назад +2

    He's really talented 💯💥💥

  • @esadkulovic6777
    @esadkulovic6777 3 года назад +2

    Ngoma kali bro,big up sana

  • @peterlawrence7286
    @peterlawrence7286 3 года назад +3

    Ngoma ni Kali sana

  • @matatahamza9375
    @matatahamza9375 3 года назад +2

    KING OF RNB sijutii kuwa shabiki wako 🙌🙌🙌 Leta back 2 back kuhusu kujua ni unajua tena sana kikubwa kuleta ngoma kwa mashabiki zako kila wakati na uwekezaji kwenye video

  • @royalprodz019
    @royalprodz019 3 года назад +2

    Mwanae na mwanangu @texasprod oya unajua Sana🤜🤛

  • @ozaneetanzania5211
    @ozaneetanzania5211 3 года назад +2

    Unajua

  • @twahahudu3520
    @twahahudu3520 3 года назад +2

    Fundiiiiii WA muzikiiii 🔥

  • @starbeatmusic6528
    @starbeatmusic6528 3 года назад +3

    Ngoma yangpendwa Mzee hiii

  • @hafeedhplatnumz4008
    @hafeedhplatnumz4008 3 года назад +3

    Awe awe nice amapiano🇿🇦iwiiiii

  • @bobleeswagger7416
    @bobleeswagger7416 3 года назад +3

    💥

  • @issamjeruman1526
    @issamjeruman1526 2 года назад +2

    Ngoma Kali San kijnaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @trapkingace3694
    @trapkingace3694 3 года назад +2

    💪🏾💪🏾yan beat la amapiano ila katembea nalo ....ki rnb had raha siachi kuisikiza kila saa

  • @emmanuelelius4387
    @emmanuelelius4387 3 года назад +5

    This man,why lakin awakupi attention ,mi hujawah niangushaa🙌🙌

  • @khareemaugustino2465
    @khareemaugustino2465 2 года назад +3

    Watanzania na mziki mzuri

  • @azinacapri001
    @azinacapri001 3 года назад +8

    Nimetumwa uku baada ya kuona post ya bosi sallam pale insta

  • @MathewPetro
    @MathewPetro 3 года назад +2

    This is my favourite song Wabare Munogo....from Kampala....Wangapi...Wangapi???

  • @nomad7707
    @nomad7707 3 года назад +3

    most underrated artist in TZ. ...pokea my support and love from #254.,,,NICE music

  • @nelliembukwa3781
    @nelliembukwa3781 3 года назад +2

    n ❤ wt ds song

  • @Ngatigwax24
    @Ngatigwax24 3 года назад +2

    Hatari sana
    Piga kazi

  • @jonassenkoro177
    @jonassenkoro177 3 года назад

    Utadhani utaniiii kumbe ni kweliiii
    Kisanga na roboo mzeee baba...

  • @newking6497
    @newking6497 3 года назад +3

    Go go go Ibra

  • @ozjep4786
    @ozjep4786 3 года назад +3

    Melody flani ivi tamu Juice ya Miwa Baridiiii❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @dexuper6260
    @dexuper6260 3 года назад +2

    🔥🔥🔥

  • @iddysamag1547
    @iddysamag1547 3 года назад +2

    Ngoma Kali beat Kali video Kali Umetisha brooo

  • @michaelgermany173
    @michaelgermany173 3 года назад +2

    jamaa ni mnyama sanaaa vocal na uandishi umetulia knoma

  • @shatoxtv
    @shatoxtv 3 года назад +3

    Back again

  • @salvathedon9073
    @salvathedon9073 3 года назад +4

    Nice music

  • @taita95
    @taita95 3 года назад +3

    💣💣💣

  • @chipdady90
    @chipdady90 2 года назад +1

    Vitu vya kipekee mwanangu.unabalaa San ..mda utafika tu

  • @thomasmwaipale2621
    @thomasmwaipale2621 3 года назад +2

    wonderful melody respect my brother 🇹🇿

  • @DIRECTOR-CK-KIBONA
    @DIRECTOR-CK-KIBONA 3 года назад +2

    Ibraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nakuelewa saaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaAaaaaaaaaaaaaaa hivi kwanini media zinakubania sana wakati mm nasikiliza mziki wako tuu hapa tz

  • @officiallyner8180
    @officiallyner8180 3 года назад +2

    You kill it bro

  • @zunguboy6383
    @zunguboy6383 3 года назад +2

    Nakukubali sana boy King of RNB respect niqqar

  • @eliasjoseph9727
    @eliasjoseph9727 3 года назад +3

    Underrated MVP , you still release hit intown #music for nation

  • @emexchaka6646
    @emexchaka6646 3 года назад +2

    Ibraaaa🎶🔥🔥

  • @messy3364
    @messy3364 2 года назад +1

    Wimbo mzuri sana huu jamani