WAKILI MADELEKA ATAKA KESI ya SLAA IMALIZIKE kwa MARIDHIANO - "KWA NJIA ya MAHAKAMA IMESHINDIKANA"..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • WAKILI MADELEKA ATAKA KESI ya SLAA IMALIZIKE kwa MARIDHIANO - "KWA NJIA ya MAHAKAMA IMESHINDIKANA"..
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 50

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 дней назад +1

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @Loftyattorneys
    @Loftyattorneys 7 дней назад +2

    Ni haibu sana kwa Mahakama

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 7 дней назад +1

    Mzee achane na siasa sijui harakati

  • @edgarmbegu1974
    @edgarmbegu1974 7 дней назад +1

    Mbowe aliposema maridhiano, mlimzomea!

  • @evansdecaprio8196
    @evansdecaprio8196 7 дней назад +1

    Haya mambo ndio lissu huwa anasema hauwezi kushinda kesi kwenye hizi mahakama

  • @TimotheoSimtowe
    @TimotheoSimtowe 7 дней назад +2

    CCM ndo polisi,mahakama bunge na kila kitu. Mahakimu wote ni makada,simu moja tu kutoka kwa Wasira Dr. Slaa out.

  • @kamanapomo7029
    @kamanapomo7029 7 дней назад +4

    Maridhiano na nani tena kaka! mzee aombe radhi tu, aliropoka akidhani mamlaka hazipo! binafsi ninaomba slaah asamehewe tu kisha nae ajitambue na aache harakati uchwara atulie tu muda sio rafiki kwake amekia mtumzima sana sio vizur kwa umri wa mzee wangu kama huyo kusota lumande kwaajili ya siasa zisizo na maana

    • @binsherbal6089
      @binsherbal6089 7 дней назад

      We ni Chizi hujui hata kusoma Lugha ya mwili. Madeleka hajaomba Maridhiano serious. Madeleka ameikejeli Mahakama kwa kutofuata Sheria. Kwa Taarifa yako Mzee Slaa haombi Radhi yeyote kwa kua HAJAKOSEA chochote Cha kuvunja Sheria. Ni matumizi mabaya ya Madaraka na Mahakama zinatumika kisiasa kuwakomoa na kuwaumiza watu. Hakuna kuomba Radhi.

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 7 дней назад

      @binsherbal6089 kwa sababu sio mzazi wako huwezi kujua lugha ninayo ongea, Ila slaah angekua anakuhusu nadhali akili yako ingeweza kutafakari vizur, kwa ufupi slaah alikosea na anapaswa kuomba radhi kwa namna yeyote ile, umriwa wa slaah na afya alio nayo sio wa kukaa garezani achaujinga tumia akili umekiri mwenyew kua mahakama zinatii mamlaka Sasa atakae mtoa ni nani? tumia akili achauvivu wa kufikiri

    • @binsherbal6089
      @binsherbal6089 7 дней назад

      @@kamanapomo7029 Sikiliza wewe Pomo na Akili zako mbovu hizo, Uzee wa Dr Slaa hatuwezi kufanya eti akae kimya na kuacha kukosoa anapoona maovu yakitendeka na wala hawezi kuwapigia magoti watawala waovu wanaozitumia Mahakama Kupandisha Sheria. Kwa ninavyomjua Mzee Slaa nakuhakikishia kamwe hatopiga magoti kuwaangukia madhalimu bali atapigania kupata Haki zake ki Sheria. Kosa lake Lina Haki ya Dhamana lakini Mahakama zetu na za kupigiwa Simu ili zipindishe Sheria. Mtu makini kama Mzee Slaa hawezi kupiga magoti kuomba Haki yake bali ataipigania.

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 7 дней назад

      ​@@kamanapomo7029Tatizo lako husemi alikosea nini?? Tz siku hizi hakuna haki ya mtu kutoa maoni yake!! kwanini mtuhumiwa apelekwe mahakamani wkt uchunguzi wa kesi haijakamilika? hii ni kinyume cha sheria mpya inayozuia mtuhumiwa kufikishwa mahakamani kabla ya upepelezi kukamilika..kosa lina dhamana kwanini mahakama inashindwa kutoa maamuzi ya dhamana!!?

  • @erickkimambo6434
    @erickkimambo6434 5 дней назад

    Huyu jamaa ameongea kwa kejeli

  • @SalimMohamedFaraj
    @SalimMohamedFaraj 7 дней назад +1

    Mzee anazidi kuzeeka😅😅

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 7 дней назад

    Akome amekula pesa za CCM harafu analeta mdomo wamempa ubarozi harafu anazingua madeleka unapoteza muda hao majaji mahakimu wameshambiwa mpaka aseme huyo mzee msaliti anamuona Rais kama anamuweza😅😅 kazi kwake

  • @EdwardUrassa-xc6gz
    @EdwardUrassa-xc6gz 7 дней назад

    Wasira na Sheria nini sasa mbona mlimuhuku Wenje!!!😅😅

  • @willymgaya7618
    @willymgaya7618 7 дней назад

    Hiyo ni TZ

  • @frbm1729
    @frbm1729 7 дней назад

    Huyu mama anaonea Sana watu

  • @johnalex9542
    @johnalex9542 7 дней назад

    MFUNDISHENI HUYO MZEE HESHIMA

  • @CharlesElias-zh5hz
    @CharlesElias-zh5hz 7 дней назад +1

    Mariziano ya nn Kibatala? Haki hucheleweshwa tu. Usirud nyumba Mungu hahongwi.

  • @AminaJofrey-u8m
    @AminaJofrey-u8m 7 дней назад

    Yanafanyika haya Mahakamani jaji mkuu na jaji kiongozi wako kimya kabisa na injustices zote hizi. The end of justice has come.

  • @nkorankoranigwa4058
    @nkorankoranigwa4058 7 дней назад +1

    Mh. Wakili..siungi mkono...hii maridhiano ndio inasababisha Sheria isifatwe.. komaeni nyie NI wabobezi WA Sheria .ila Hiki kinachofanyika ni kibaya Sana ..mnafundisha Sheria vyuoni harafu Hamuwezi zifata..what non sense is that!

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 7 дней назад

    Mtatuleea balaa jamani mnahangaka na mzee kama huyo wa nini

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 7 дней назад

    Mzee aachiwe

  • @nmconsultinggrouplimitedpr245
    @nmconsultinggrouplimitedpr245 7 дней назад

    Mwenye namba za huyu wakili naomba anisaidie

  • @OnesmoKway-g7w
    @OnesmoKway-g7w 7 дней назад

    Magoli ya simba na yanga yananunuliwa kwa mamilioni ya fedha alafu agereza haina gari ya kupeleka wafungwa mahakamani

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 7 дней назад +1

    Leo Madeleka umegundua 4R za Samia zinafaa kutumika siku zote mnasema hakuna chochote?

  • @TheodoraAnatory
    @TheodoraAnatory 7 дней назад

    SISI WANANCHI TUKO TUNAWAZOOM, ENDELEENI KUTUMIA VIBAYA SHERIA KWA NIA YA KUFANYA UKANDAMIZAJI

  • @godfreymasele8853
    @godfreymasele8853 7 дней назад

    Ulimi kiungo kidogo sana madhara yake makubwa. Huyo kashitakiwa na Jamuhuri sito CCM wala Wasira.

  • @kiluiWanguvu
    @kiluiWanguvu 7 дней назад

    Mumkanye aache uongo kizee kinalopoka tuu kiombe ladhi. na huyu mwanasheria nimbamba tuu apambane na hali yake alaumu akili yake na mdomo wake kwani Sheria isimamie asionewe wala asipendelewe ili siku nyingine akianza kuongea awe na uhakika sio kuongea tuu kuwachafua watu.

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 7 дней назад

    Mzee kama huyu wa nini serekali naooo hee

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 7 дней назад

    Laisi wa Burkina Faso anahitajika aongoze Tanzania mana utawala wa

    • @simongwandu7392
      @simongwandu7392 7 дней назад

      Unaongea huelewi huwezi kulinganisha Bukinabe na Tanzania

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji 7 дней назад

    Duh magari mabovu aibun Gani hii TATIZO jeshi letu na mahakama vyote IVO vipo chini ya CCM ole wako umtetekuu wa nchi lazima ufie rumande

  • @bongo39
    @bongo39 4 дня назад

    Mzee wasira usiingilie hili jambo kabisa litawageukia na mtawapa hao chadema maneno ya kuongea sasa hivi hao wanajifanya wapole na kusema ccm inataka maridhiano chondechonde ccm waachieni mahakama waamue wenyewe wasirawasira myongo mkubwa huyu wakili

  • @EdwardUrassa-xc6gz
    @EdwardUrassa-xc6gz 7 дней назад

    Ahahahaha kumbe maridhiano ni jambo jema...mlimuona mbowe kalamba asali😅😅

    • @TheodoraAnatory
      @TheodoraAnatory 7 дней назад

      MIMI NAJUA HUYU MADELEKA SIYO KWAMBA KAKUBALI MARIDHIANO , HIYO NI KEJELI KWA SERIKALI

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 7 дней назад

    HAIYA NDIYO MATATIZO YA KUDHARAU MAMLAKA
    SASA MZEE WALE ALIOKUWA ANAWASEMEA NA KUTOA LUGHA UZI WAKO WAPI?
    NDIYO INAKUJA LILE NENO MWANA KULITAKA MWANA KULIPATA
    AU KILA MCHUMA JANGA ATAKULA NA WA KWAO

  • @SalimMohamedFaraj
    @SalimMohamedFaraj 7 дней назад

    Huyu mzee kazidi kuropoka

  • @NABIYUSUPH
    @NABIYUSUPH 7 дней назад

    Elewa swalahili lipo mahakamani ccm haiwezi kuingilia mwambiehujamayako aache umbwa akae atulie sheriapana sana

    • @RobertChacha-si1js
      @RobertChacha-si1js 7 дней назад

      Sheria Pana ipi unayojua inayozuia dhamana, mijitu mingine kuropoka ndio mnajua

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 7 дней назад

      We umesomea Sheria gan mpaka unakunya adhalani😮😮