Wazungu watawafira sana maraisi wa Africa na viongozi wa waasi, kwasababu wanatamaa sana na dunia, watu wanakufa, wanawake wanateseka watoto wanateseka kwa usenge wao na tamaa ya muda mfupi, na wao moto utakwenda kuwamaliza
Kitu kimoja nilichogundua ni kuwa DRC ina uongozi dhaifu sana. Wanajeshi ni waoga na hawana moyo wa kuipigania nchi yao. Yawezekana hawalipwi mishahara. Nimeshangaa DRC imeajiri mercenaries kuipigania DRC. Je mgeni anaweza kuilinda nchi isiyo yake? Hii nchi ni kubwa sana na inabahati mbaya viongozi wake hawajitambui wapo kama ma stage shows wanaocheza ndombolo na kutuzwa vizawadi music ukiisha wanashuka kwenye stage. DRC ni nch tajiri sana inahitaji raisi kama Traore vinginevyo itakuwa hakaliki kila siku.
Nanga ni muchenzi mukuba sana siasa zake ni za kijinga sana anawaza wakifika Kinshasa mutusi atamuchunga jisi nyinyi mime wachunga wanyarwanda congo wewe utakuwa mutumwa ao kuchinjwa nao.
Wanajeshi 288 wa Kiromania waliokuwa wamejificha katika kambi ya MONUSCO walivuka mpaka kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hadi Rwanda na kujisalimisha kwa Walinzi wa Mpaka wa Rwanda. Hii ipo hivi: Umoja wa Ulaya, Marekani na Uingereza zilimshinikiza mshirika wao Rwanda kulinda maisha yao. Ikumbukwe EU inafadhili vikosi vya Rwanda vinavyopigana nchini Msumbiji na mpango wa Uingereza na Rwanda wa kuwahifadhi wahamiaji waliofukuzwa. EU imekuwa ikijaribu kuzuia Kongo kuingia mkataba na Urusi, huku ikiwazunguka watu wa Kongo kwa kufanya makubaliano na Rwanda. Kongo ni nchi ya kimkakati kutokana na madini yake, na US/EU wanayataka. KONGO HAITAKUWA NA AMANI LEO AU KESHO LABDA MADINI YAKE YOTE YAISHE.
Kama madai ndo hayo kweli mko sahihi
Mungu awasaidie because kama sio Mungu hakuna kitakachoeleweka
Kumbe lengo lao sio baya 😂😂
Great liberation
Wazungu watawafira sana maraisi wa Africa na viongozi wa waasi, kwasababu wanatamaa sana na dunia, watu wanakufa, wanawake wanateseka watoto wanateseka kwa usenge wao na tamaa ya muda mfupi, na wao moto utakwenda kuwamaliza
Ndio😭😭
Mungu bariki Wana congo
Hogereni wahasi mumeweza
Nanga karibu afe
Hawa taweza
Sasa nanga atatengezza inchi na maadui m23 wanyarwanda
Kwenda huko
Hawa jama wanasapoti kubwa ya wazungu
Congo ina viongozi dhaifu sana
Iyo maneno niya kisengetu .
Kama ni hivo bc msiwaite waasi waiteni wapinzaninia yao sio mbaya hasaa
Congo ni inchi ya kizaramo sana embu waachiwe wenyewe mamae
Anaongea vizuri kama ni kweli mambo hayo inabidi serekali ya congo ikae na waasi meza moja kunusuru nchi yao
Alimuwekaje Tshekedi madarakani?
M23 KUMBE NI WAPINZANI. SIYO WAASI. MUNGU IOKOE AFRICA SHUKA MUNGU OKOA WATU WA
NATESEKA SANA.
M 23 Ni jeshi kubwa lenye Umoja na jasiri uwezi kulifuta ktto kitto
Hakuna kitu angaia Syria sahv mabberu wanaigombania na wanapigana wenyewe,, hao wahuni tu wakishachukua nchi ndo mtaon,,,Syria, Libya madai yalikuw hayohayo kumbe wanatumiwa
Kitu kimoja nilichogundua ni kuwa DRC ina uongozi dhaifu sana. Wanajeshi ni waoga na hawana moyo wa kuipigania nchi yao. Yawezekana hawalipwi mishahara.
Nimeshangaa DRC imeajiri mercenaries kuipigania DRC. Je mgeni anaweza kuilinda nchi isiyo yake?
Hii nchi ni kubwa sana na inabahati mbaya viongozi wake hawajitambui wapo kama ma stage shows wanaocheza ndombolo na kutuzwa vizawadi music ukiisha wanashuka kwenye stage.
DRC ni nch tajiri sana inahitaji raisi kama Traore vinginevyo itakuwa hakaliki kila siku.
Nanga ni muchenzi mukuba sana siasa zake ni za kijinga sana anawaza wakifika Kinshasa mutusi atamuchunga jisi nyinyi mime wachunga wanyarwanda congo wewe utakuwa mutumwa ao kuchinjwa nao.
After buknafaso, next center is congo.. new Africa is rising up
Traole
Wanajeshi 288 wa Kiromania waliokuwa wamejificha katika kambi ya MONUSCO walivuka mpaka kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hadi Rwanda na kujisalimisha kwa Walinzi wa Mpaka wa Rwanda.
Hii ipo hivi: Umoja wa Ulaya, Marekani na Uingereza zilimshinikiza mshirika wao
Rwanda kulinda maisha yao. Ikumbukwe EU inafadhili vikosi vya Rwanda vinavyopigana nchini Msumbiji na mpango wa Uingereza na Rwanda wa kuwahifadhi wahamiaji waliofukuzwa.
EU imekuwa ikijaribu kuzuia Kongo kuingia mkataba na Urusi, huku ikiwazunguka watu wa Kongo kwa kufanya makubaliano na Rwanda.
Kongo ni nchi ya kimkakati kutokana na madini yake, na US/EU wanayataka.
KONGO HAITAKUWA NA AMANI LEO AU KESHO LABDA MADINI YAKE YOTE YAISHE.
Uko sahii🫡👍
Uyu Nanga alikuwa pastori kama vile muna mchungaji kakobe kule TZ .sasa leo amewauwisha ma elfu ya watu .