My favourite hip hop/rap artist of all time... 1 of the greatest unique features that FID Q has that non of the rest hip hop artists have is HIS HARD&COMPLICATED LYRICS/WRITTINGS. You need to sit down and filter the lyrics+their meanings properly, na dhani ndio msanii pekee watu wame kua waki mtaka atafasiri mashairi yake.. wapo wengine lakin huyu ndio top of the LIST.
One of the biggest video I hv never seeing!! This is what w need to push our country far! No tofaut nikisikiliza hili pini yaan kama nipo mbele hivi dahh! Good job brother kp it up
so dope ngosha,kwa mwanzo huu lazima utimize ile ndoto yako ya kufanya kazi na sarkodie na other hot african rapper,en as much as i know u,u will make it,god bless u bro.
Walk it off [Chorus - Taz] It could’ve been ladies, it could’ve been beer It could’ve been fighting, it could’ve been war It could’ve been anything that you do Child, walk it off run, walk it off It could’ve been ladies, it could’ve been beer It could’ve been fighting, it could’ve been war It could’ve been anything that you do Child, walk it off run, walk it off run [Verse 1 - Fid Q] Stay in there shakin, like a shity Don’t go loose your tooth dude Round it in a rap, go spit it in a booth too Anything can happen when you’re feeling unusual Better to be happy than plastered and bruised Biashara hasara uko doro kimfuko Utasimama ka mnara ukiacha vituko Ntakuacha imara kama mnyororo wa milupo Hakika giza totoro ndo ishara ya mapambazuko [Chorus - Taz] It could’ve been ladies, it could’ve been beer It could’ve been fighting, it could’ve been war It could’ve been anything that you do Child, walk it off run, walk it off It could’ve been ladies, it could’ve been beer It could’ve been fighting, it could’ve been war It could’ve been anything that you do Child, walk it off run, walk it off run [Verse 2 - Fid Q] Walk it off and run in slow-mo The cup’s on the hunch, you gotta hit and you’re so cold The problems and the knuckles are formal Blows like pollo So the options are prada or promo Hauna love back kama Starski Na hauna thug love kama Pac Nyumba njaa, ukisizi unapata zero Dunia vichaa, mwehu ndio chizi pia ni hero [Chorus - Taz] It could’ve been ladies, it could’ve been beer It could’ve been fighting, it could’ve been war It could’ve been anything that you do Child, walk it off run, walk it off It could’ve been ladies, it could’ve been beer It could’ve been fighting, it could’ve been war It could’ve been anything that you do Child, walk it off run, walk it off run [Bridge - Fid Q] Choose… Laughing and playing, cutting in vein Lose… Half of your brain, chapped in the rain Confused… After the pain, nothing you gain Poom! Stay on your lane, walk it away [Chorus - Taz] It could’ve been ladies, it could’ve been beer It could’ve been fighting, it could’ve been war It could’ve been anything that you do Child, walk it off run, walk it off It could’ve been ladies, it could’ve been beer It could’ve been fighting, it could’ve been war It could’ve been anything that you do Child, walk it off run, walk it off run
KTMA this year wakupe tuzo jamani maana video kali,ngoma kali hip hop iliyotumika humo ndani kama tuko mbele yani fid umetufanya wanahip hop tutaftane daaah fid tupumzishe kidgo bt all in all BIG UP FID Q
Mwamba ulifika patamu sana kisha ukapoa ..sijui kwa nini..hapa ulianza kwenda international..so sad nikisikiaga wakiongelea best hip hop artist in east Africa wanamtaja calligraphy Jones ..wakati kamanda upooo..
I like @Fid_Q's rhymes! despite that his the professional and everyone knows. Big up sana brother Q, wemkali sana tu, and no challenges for you. #STRONGBEATISAMAZING.
kweli @fid q ww ni msikivu kwa mashabik wako zilee kasoro za video ya bongo hiphop uzifanyia marekebisho. Kiukwelii mm binafsi napenda good music kama hiii aiseee umetisha mkuuu .
.....this is a blast...... Congrats.....Tanzania we go....................my best video so far for this year...... and this other guy the voice uwiimaniiiii u all kill......
Nyimbo zako zinaishii sana bro, sema ndo hivo watanzania wengi wavivuu kufikiri
Kweli broo
umenena kaka
My favourite hip hop/rap artist of all time... 1 of the greatest unique features that FID Q has that non of the rest hip hop artists have is HIS HARD&COMPLICATED LYRICS/WRITTINGS. You need to sit down and filter the lyrics+their meanings properly, na dhani ndio msanii pekee watu wame kua waki mtaka atafasiri mashairi yake.. wapo wengine lakin huyu ndio top of the LIST.
Kama watu wangeelewa ujumbe uliomo kwenye huu wimbo.. 🔥🙌🏿
we jamaa umemaliza kila kitu..this is DOPE
Fid Q hapo Mzee Mwenzangu ulimaliza kila kitu Viva Fid Q Viva
Dope video ...hata mistari nimeipenda kabisa...keep it up brother Fareed ....chapa kazi bwana ...salute kutoka Rwanda.
If u love hiphop lets come together here for fid q👉🏾with love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
One of the reasons hip hop is still alive in my soul...... 🎼🎶🎵
One of the biggest video I hv never seeing!! This is what w need to push our country far! No tofaut nikisikiliza hili pini yaan kama nipo mbele hivi dahh! Good job brother kp it up
so dope ngosha,kwa mwanzo huu lazima utimize ile ndoto yako ya kufanya kazi na sarkodie na other hot african rapper,en as much as i know u,u will make it,god bless u bro.
Kinyamweeezii zaidi my home boy ngosha nomaaa sanaaa bonge la video
Umekunya Sana Humu Mzee, Umechafua Hewa Mbayaaa Never Seen Before. Ndio Maana Tunasema Usimchokoze Sana Mtu Mpole. Big Up Nicca.
Njoo kama wote m,like mnao mkubali huyu jamaa
Hapa Kazi Tu hii ndio hasaa maana yake halisi @FidQ asante sana Hip Hop Itasonga tu toka Tanzania.
Tatizo lako siwezi kusikiliza nyimbo zako mpaka niwe sober na nimeshiba...those rhymes waah....DOPE as usual.
😂😂😂😂
nimeanza kitambo kuipnda hip hop ya Farid kubanda na kizuri hajawahi kuniangusha big up sana Mwanamalundi endelea kuifanya rock city kua rap city.
The no one song
ambayo sichoki kuisikiliza
all time
"Utasimama ka mnara ukiacha vituko"
Mwanza Mwanza umetisha video Kali sana 👏👏👏👏
Walk it off
[Chorus - Taz]
It could’ve been ladies, it could’ve been beer
It could’ve been fighting, it could’ve been war
It could’ve been anything that you do
Child, walk it off run, walk it off
It could’ve been ladies, it could’ve been beer
It could’ve been fighting, it could’ve been war
It could’ve been anything that you do
Child, walk it off run, walk it off run
[Verse 1 - Fid Q]
Stay in there shakin, like a shity
Don’t go loose your tooth dude
Round it in a rap, go spit it in a booth too
Anything can happen when you’re feeling unusual
Better to be happy than plastered and bruised
Biashara hasara uko doro kimfuko
Utasimama ka mnara ukiacha vituko
Ntakuacha imara kama mnyororo wa milupo
Hakika giza totoro ndo ishara ya mapambazuko
[Chorus - Taz]
It could’ve been ladies, it could’ve been beer
It could’ve been fighting, it could’ve been war
It could’ve been anything that you do
Child, walk it off run, walk it off
It could’ve been ladies, it could’ve been beer
It could’ve been fighting, it could’ve been war
It could’ve been anything that you do
Child, walk it off run, walk it off run
[Verse 2 - Fid Q]
Walk it off and run in slow-mo
The cup’s on the hunch, you gotta hit and you’re so cold
The problems and the knuckles are formal
Blows like pollo
So the options are prada or promo
Hauna love back kama Starski
Na hauna thug love kama Pac
Nyumba njaa, ukisizi unapata zero
Dunia vichaa, mwehu ndio chizi pia ni hero
[Chorus - Taz]
It could’ve been ladies, it could’ve been beer
It could’ve been fighting, it could’ve been war
It could’ve been anything that you do
Child, walk it off run, walk it off
It could’ve been ladies, it could’ve been beer
It could’ve been fighting, it could’ve been war
It could’ve been anything that you do
Child, walk it off run, walk it off run
[Bridge - Fid Q]
Choose…
Laughing and playing, cutting in vein
Lose…
Half of your brain, chapped in the rain
Confused…
After the pain, nothing you gain
Poom!
Stay on your lane, walk it away
[Chorus - Taz]
It could’ve been ladies, it could’ve been beer
It could’ve been fighting, it could’ve been war
It could’ve been anything that you do
Child, walk it off run, walk it off
It could’ve been ladies, it could’ve been beer
It could’ve been fighting, it could’ve been war
It could’ve been anything that you do
Child, walk it off run, walk it off run
ts 2020 and I can’t stop staring on the lyrics you’ve made...#perfect
Hujawai niangushaa Prezidar Fid Q!,,, Walk it off Yu kill it Ma King,,,, Reeeeeespect
FID Q, chagua mandhari mazuri yawakilishe maisha yetu mtaani, wadada wako naked! I like your deep rooted verses brother
Walk it off bonge la ngoma babu Fid Q heshima kwako kaka & Dua nyingi kaka tuvuke mipaka Eyo Taz. Nimekuelewa sana in Chorus broo
KTMA this year wakupe tuzo jamani maana video kali,ngoma kali hip hop iliyotumika humo ndani kama tuko mbele yani fid umetufanya wanahip hop tutaftane daaah fid tupumzishe kidgo bt all in all BIG UP FID Q
hatareeee Mwanza native,big work broo
Mwamba ulifika patamu sana kisha ukapoa ..sijui kwa nini..hapa ulianza kwenda international..so sad nikisikiaga wakiongelea best hip hop artist in east Africa wanamtaja calligraphy Jones ..wakati kamanda upooo..
sio mchezo, nakukubali sn Ngoaha the swagger don
Aah !!! King of hip hop... The world must see this
Kaka ngosha tisha bovu bro...nahisi uyo jamaa kama alicheza mov ya tsosi hivi au nimemfananisha..
Yeah man, hii kitu ni mnoma Ngosha...good music, good video, best of luck!
I like @Fid_Q's rhymes! despite that his the professional and everyone knows.
Big up sana brother Q, wemkali sana tu, and no challenges for you. #STRONGBEATISAMAZING.
kweli @fid q ww ni msikivu kwa mashabik wako zilee kasoro za video ya bongo hiphop uzifanyia marekebisho. Kiukwelii mm binafsi napenda good music kama hiii aiseee umetisha mkuuu .
This guy never disappoint me love mingi kwako home boy Fareed Kubanda
this z how to be king wa hii kitu bonge la ngoma bro
Kazi nzuri fid Q, endelrea jinsi ulivyo
you are the untouchable ngosha ..Good work fid Q
Ngosha! Aaaasante saaaanaaa! Umerudi King mistari michache iliyoshiba duh! Welcome back the don!
King of rhymes,
Nyumba njaaa ukisiziii unapata zero ,
Dunia vichaaa we ndo chizi pia ndo hero , #hatariSanaMzazi
+Bonge LaBwana mwehu ndo chizi pia ni hero
+Bonge LaBwana ..umeona hizo punchlines...metaphores...always on point.
umeisha
umeisha
umeisha
more than dope nakuelewa mpaka inapitiliza
walk it off damnnnnnnnnnnnn hili chupa n shidaaaaaa mzeeee waliosema juz we n under ground wataelewa sasa ngoshaaaaa
Noma sana bro fareed kip it up
kaka ngosha ni hatari sanaaaaaaah e bwanaaa eeeh ni noumaaa hyo video
daaaa!!! hatari kwa afya kbs ....umetsha mzaz
Ngosha the swagga don...it sounds good kuipeleka Tanzania Hiphop to the next level
From kenya,umetisha ngosha,big up,thumps ups
250 k views daa bado sana nimeamini watz atupendi hip pop.hii ni bonge la vdeo eva
Massive Hit song ,..Big up Mnywamwezi #FIDQ
Aisee huyu mwamba katisha kinoma noma... halla to video director!
Bonge 1 la ngoma big up kwa video ngosha
Will die lovinng,appreciating and listening ur good music.....Internationally music......Thanks again the legend
Saruti bro godjob wakarishe watoto wapate somo
Who is here 2024 wapi like za mzee mbuzi
Fid..like war jomb ukisizi unapata 0...unabaki kuwa king wa hip hop bongo..
King FidQ is on top.......much love 4rm kenya 254
Dah! !!!!!!!! Umetisha sana bro ngosha the don
Ebwana Fid Q mkali sana, una mziki wa kipekee yani its full hiphop I like your music man
Ngosha the Don..your a true rapper...God bless you bro
ngoma classic kwa watu tunaojua mziki..imesimama sana!!
Big up fid q ngoma imetulia kinyama...you're taking real hip hop to next level!!?
Ashee! ngoma imesimama. Big up Fid Q
ngoshaaaa iki kichupaaa nimekielewa sana kwenye rap ujafunguka km nilivyokuzoeya
nyimbo kali sn. hongera zako broo. video nzur. kwel bongo hatuna rokeshen nzur.
Fid q ni noma sana bonge moja LA track na video kalliiiiii
"nyumba njaa ukisizi unapata zero .....dunia ya vichaa, mwehu ni chizi na pia ni hero".....this is wat we call bars.....
+victor lauren B.A.R.S
bars for sure
Kweli
bro am speechless u knw...
good kazi hii
what the hell of u NGOSHAAA! chaaah kwa hiki kichupaaa lazma dunia ikuulizie! keep the good music alive
n bonge la ngoma kichupa amazing knyamaaaaa.big up lenged wa malengeds on hiphop
Uyu ndo fid Q ngosha wengine wanasindikiza tu gem
I love this yaan congratz fid unajua
NGOSHA, unatisha jembe you will remain to be tanzanian hip hop king
.....this is a blast......
Congrats.....Tanzania we go....................my best video so far for this year......
and this other guy the voice uwiimaniiiii u all kill......
biashara hasara ukiwa doro kimfuko.
Salute Kubanda.
Video nzuri sana dah hiyo colour usipime!!!!
Always respect to you my favourite hiphop artist Ngosha the don
Ni shida mbaba, we ndio king others ni queen's wako
Fid q-best rapper ,,having conscious flow I really appreciate!!!
bonge la video. Tanzania bongo fleva lets keep moving.....salute to you
fid moto sana🔥🔥💯🔥💯🔥
Nice nice hommie.... Walk It Off! Its fully packed kind of project. Awesome video
watu wanasifia tu hawampi changamoto sio fair anatakiwa aambiwe ngoma fupi ila video never seen before it's highest level
,ujawah koseA kuandika ryhmes zako....u ze best ngosha....
Daaaaaamn this is what we call good music big up maaan
Listening to this joint z what i do to walkitoff
@therealfid you will always remain the king of hiphop in east africa,,,you are the true definition of hiphop bro,,, keep it up brother,, much love
Duuu fid hapo nimekuelewa mpaka mwisho
man this vid is on a whole nother level... safi sana..
kingngoshaa umetupunjaaaaaaaaaaa verse... ila umetixha ad ndichi
hii nyimbo ni kali kinyama🙌🙌🙌
Still the best hip hop artist in bongo and EA..
Kazi Nzuri mno
iko poa,imetulia 👍👍
Nice video, deep lyrics, big up fareed kubanda
Brother thengosha hii Game Inakuhitaj saaana bro Nyimbo kaliiiiiii kimano kimano (kinoma)
Kwa huu mwndo lazma wasande,,kwl giza totolo n ishara y mapambazuko,,nimeona n nimekubali##wabeja xana
2021 nipo pekee yangu kwahiyo 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗Kama upo njoosha mkono juu
Am a new fan....I Lve it already
Congrats FID Q , bonge la song
Daaaaaaahhh i've bn waitting this 4 so long joh, there u go fid Q ni zaid ya next level wooooyooooo
👊👊👊👊👊👊
wewe ni baba wa hip hop Tz fid solute for thiz
Da!! Farid nisiposikiliza ngoma zako sijisikii raha
too dope..kama huelewi huelewi mziki
King fid, love from Kenya
👏👏🙌🙌🙌👏👏
hatari