Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Nakumbuka mbali sana! Ufalme wa babu! Miss you mo babu!
Dah
Rehema omary kipindi cha mziki mzuri kama huu ulikua unasoma darasa langap dada
Kula dongo uwasooo brother ispecta kwenye ubora wake pamoja sana watu wangu
Hatari sana duh .!
Kitambo sana aiwezi jirudia ten mziki mzuri kam huu gangwe mobb life y uswazi
Haiwezi jirudia aseee. Balaaa
@@simonrusigwa3024 Atari iyo kaka
Hii ilivyokuwa tamu ni wenye akili tuu ndo wataujua utamu huu
Simon Rusingwa kitambo chetu wahenga
Tuli enjoy mziki mzuri ,walikua Magangwe kweli kweli
Mungu ni tuu
😂😂😂😂"life ya uswazi ,macho matatu ,bwege nazi"hatari na nusu
Jamani kumbe neno Apeche alolo inspector ndiye alilileta. Sikiliza verse ya pili
Verse ya.pili.kalama
Aibu boy@ bongo record
Noma na½
Kalee san hii ngom asee inbd nitafute album zao mbili nizitengeneze folder
Lyrical Guru
Mama Said una vijidagaa uniwekee kwenye kibakuli 1:32-1:35
Mstari wng pendwa huo 😀
Hizi beats nani katengeneza???? Ngoma beats kali
P majani
Majani
Pfunk
P fank majani
TBT 2002
2002 enzi hizo
2:20 Dinero majalalaaaa!