Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Kila akiwepo loveness, kelvin kwenye tamthiliaa huwa ina kuwa supper🎉🎉🎉🎉🎉 mauwa yenuu
Kweli wakiwa pamoja lazima nione nawapenda sana kelvin na loveness
Kweli kabisa
🎉🎉
Wanaopenda uwepo wa loveness kwenye drama za @DONTA TV gonga like hapa tuwatambue
Jaman Nelly tumekumithi ..ety...washabiki wa nely gonga like
Loveness yupo pouw sanaaaa❤
Loveness anapita mda mwengine
Nely nae Yuko frexh kitambo
Tuliowamiss nelly na vick gonga like hapo
Ila ht Amina nae ni mzuri sana. Ila wanampa sehemu mbaya. Ndio mana anaonekana m’baya. Ila ni mzuri na ana umbo zuri saana.
we nimshumba wa mtu, na mtu anaekupenda anakujali kendi, daaaa napenda maneno ya hu broh🎉🎉❤❤❤
WATAKAO SOMA IYI COMMENT MUNGU AWABARIKI SN
Ubarikiwe pia
Amen
Amiin kwa sote
Amin
Kuna ndugu ake kelvin hapo wanafanana sana kama naww umegundua hilo like hapa😅😅
Nimebaki namuangalia mara mbili mbili tu 😅
😂😂😂@@sesiliahussein7774
Ni kwer na Mimi nimemuona
Nampenda sana Lavness❤❤
Naomba like moja tu ya mwamba amina toka drc 🇨🇩 congo.
Tumemiss vick
🇨🇩🇨🇩💪
DRC tuko
Amina 🤣🤣 n mnafiki sana
itakuwa Ndio alivo Ndio maana wanapewa wakae stage hio
Tena njo life yke atauko mtaani😂😂😂😂😂
Amina kivuruge😂😂😂
Na live atakuwa hivohivo huyi
@@jamilashabani8580 😂😂
Sema loveness anasaut nzuri❤ ila anifiki mim❤
Duh huyu jamaa handsome Kafanana na kelvin ao wandugu Aisee kelvin aje atupe ukweli.
Kuna mtu anamfanana kev humu,amepewa pombe na kend 🎉🎉
Kazi nzuri wana donta🎉🎉❤
Mashaallah nawapenda bure weeeeee movie tamu msichelewe kuleta ingine plzzz
Team loveness tujuane❤🎉
Amina una roho mbaya bado wamwonea Loveness wivu Amina utaacha wivu lini
Huyu candy nae kumbe ni moto kushinda Amina 😂😂😂😂❤❤kzi nzr nawapenda
Ndo tunaona hapa kweny mtoto was boss ni dad piss ila alikuwa hataki kuonewa
Nampenda sana lavness na kelvin ❤❤❤❤❤
Huyo anaepewa pombe na candy wamefanana na kelvin
Good work ❤❤❤
Amina wacha unafiki huyo kaka wamekutana Loveness ksha kamwonyesha njia Loveness anapo kenda
hongera sana, ndugu director kwa azi nzur, pia hongereni wote kwa namna Moja au nyiongine kwa ushiliki wenu kwewnye hii kazi.
yan mm hivo mkivaa vijora mhhh ila sawa ❤❤
Pole kaka Kendy ha ereweki kbx mupende loveness❤🇸🇦🇧🇮🥰
Loveness mzuri jmn Ila Amina anakitu😂unajua kuigiza🎉
Anajua umbea sana kipande wanachompa kinamfaa
Kabsa
Yan Movie za Donta TV akiwepo Loveness , Kelvin, Kunambi, Tina Kivuruge 😂, Nelly Mr wawenge huwa zinanoga😂😅
❤❤❤❤❤❤❤noma xn watafikia malengo hawa wakaka na wadada Masha'Allah
Ila dada loveness kwa chips hongera dada nkadzo from kenya nawapenda sana
From Congo kalemie 🇨🇩Tunakubali Donta Gang....Nipeni SUBSCRIBERS zangu 🙏
Mlipo nipo mpaka mtoboe nawapenda donta Family
Mbn simuoni Victoria kwenye move ya mtoto wa boss 😥😥😥😥
Love mama Kama kipaji kapewa ❤
Jamani kumbe kunamapya uku nimechelewa lkn nimefiki nipeni like ata 5 🎉🎉🎉❤❤🇰🇪
Amina na umbea😂
Amina Acha unafiki
Good hips❤❤❤❤❤
Amina best Mambo😂😂
Yaan Amina tukiachan na kuigiza hata uhalisia wako ndivyo ulivo..upoage bas dada
Amina mumbeya sanaa😂😂😂🇸🇦🇧🇮👌🥰
Candy mzur sana jmn uko gud😊
Nice story
Nc Lavness ❤❤❤
Movie nzur sana
Amina umbea tu kuoga aaaaa🙄🙄🙄🙄🙄🇰🇪
😂
😅😅😅😅😅😅
Wakwanza from Rwanda 🇷🇼 nawapenda saan team Kelvin
Nakubali Amina kwa ubeya😂
Amina mgombanishi Sana ww
Oooooh leo wa pilli nimewahi kweli naombeni like zangu
WALIO MISS NELLY❤ GONGA LIKE YAKO HAPAA
Iv kwanza nery ameenda wap mbona simooni kwe tamusilia jameen
Ivi kaenda wap nelly
Kwel Nelly maneno aliendapi n MDA xax hatumuon Kwa movie nying tu
Kunambi simuoni kwenye movie ya mtoto wa boss
na miss nelly na victoria
Heee huyo dada loveness nampenda sana
Hongereni kazi nzuri chaaanaaaa ❤❤❤
Movie nzuri xn ❤❤❤❤❤❤❤❤
Kutoka zanzibar tunaopenda movies za Donta TV like hapa
Mashallah kz nzur wapili na mm😂😂kutoka kenya🎉🎉🎉🎉🎉
Lovnes is the best
Mbn movie inasem kijiji alafu tunaon mjini tena 😮😮😮
Hmmm wanaume kama huyu wa kandy wapo kweli dunia hii,Mungu tu anipatie kama uyu wa kunipenda pamoja na mapungufu yangu aki kutoka moyoni
Inshallah
Nelly na vick wakowpi jaman tumea miss
Co mbay DONTA TV mnauwa noma kabsa sema kazen kazi zije kwa wakat
Ongera nakazi kaka Kelvin 🎉🎉🎉🎉🇨🇩❤❤❤
Kendy anakudanganya Amina😂😂😳🤣🤣🇸🇦🇧🇮
Wow wow!!! Ni mzuri sana
Tatizo mnatoa move nyingi afu amzimalizi ko hamueleki toeni move Kisha malizeni story
Amina we n mnafiki sio rafiki mmbea we
ee n mnafki sana
Im in love na daenjoo,❤❤
Kazi nzul ila hvy vijora sasa😊😊nd mtihan🎉🎉❤
Hao c wanaishi nje ya mji? Ndio mavazi sio ya kimjini. Ndio mana wamevaa vijora.😂😂
Huyu lovenes akitia mawigi at hapendezi
Kelvin Umeamuwa kumuwek Sule. Kweny move zako 🎉pigen kz vijna
Hapo kwenye kupigana nimepapenda saaana haki ya Mungu😂😂😂😂 nimesikia raha
Amin punguz roo mbya
Aminaa unaoneshaa asa we mbeaaa wanawak kam hawa c wazur na si mashogaa
Amina professional 😂😂😂😂
Hongera khan ❤❤🎉
Nili miss kuona wembe na sasa nelly hayuko
Mim wakwanza Leo kutanzama móve hii🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Kazi nzuri❤
Mafunzo mazuri sana kwa maisha ya sasa ❤❤❤wana Donta
sema uyo amina mjinga Kila muv anakua mmbea sana 🎉🎉❤😅
Umemuon mpuyz kuharib mahusiano y watu ...kuolewa aka...alfu anaeharibiwa nae ajitmbui
Wat kam amina tunaishi nao2 mtaani kwet❤❤❤
J, loveness ni mpole ila na yeye akiamuwa ni mkolofi 😂😂
😁😁
Noma sana caddy 🎉🎉pokea maua dadangu ❤❤❤ Kenya
Kwel amin mnafki sana
Kaz nzur donta❤
Loveness wigi umefeli halijakumechi tofauti na rangi yako umebugi
Amina aca ombeya
Jaman vick yupo wapi akuje tumemmiss❤
Asante kwa mawaindha yenu kwelemisha kizazi hiki
Jmn huyu amina mbona mmbeya hivi sikupendi hata bure😂😂🎉
😂😂😂 🤣 umbea tu 🎉
Amina ni mmbeyaa Jmnii.... Ambao tunamchukia amina Gonga like hapa👍
@@IreneMganilwamcmchukie jamani ni maigizo. Lkn lbd kiuhalisia hayupo hivyo.
😂😂😂😂tena umbea wake wa moto moto haulali wala
@@BintiM-di1wm sana 2😅😅😅
❤❤❤❤ love team
Namu Miss Kelvin 😢
Amina mdaku jamani😂😂😂
😅😅😅 anachoma akienda😅😅
Unaongea sana c jui haupendwi umbea tu
Leo nimekuwa top ten lakini Victoria mbona siku hizi simwoni amepotea sana
Hata mm nimemmiss san Vick 😂
Hawawajibu hao Wana donta kuhusu viki acheni tu
@@christaoman8890atakuwa aliacha kuigiza
Next ❤❤❤
Yaan kila muv ya donta amina kambea looo
Yaani muliamua kila mahali Amina awe mnafiki tuu ghaaa😂😂😂😂😂
Amina mmbea sana utafikili ameona
Dah 😢amina bwana 😂😂😂kumbe we mnafiki sana
Amina na umbea mama unaweza❤❤❤
Ako na moja😂😂
Kaka Unae Mpenda candy Nakupenda sna Ahsante, kaka una Maneno Mazuri ila kaka wanao pendwa Ndio walivo hawaoni thaman Yako lkn hawakuoni thamn Yako
❤

From Congo kalemie 🇨🇩
Tunakubali Donta Gang....
Nipeni SUBSCRIBERS zangu 🙏