YOUNG KILLER ALITAKIWA KUSAINI WCB, AWALIPUA ROSTAM KUMTOA DILI LA MILIONI 100

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 43

  • @Izakibukuku
    @Izakibukuku 6 месяцев назад +4

    kama yuporapa kama msodok nitajie jina

  • @BensonDuma
    @BensonDuma 7 месяцев назад +3

    Msodokiiiiiiiiiiiiiii ni mmojaaa tuhhh

  • @chandehamisi1863
    @chandehamisi1863 7 месяцев назад +5

    Na kama mnakumbuka Roma alishawai ongea kua msodoki aliusika ktk uandishi wa iyo ngoma ya hivi ama vile

  • @chandehamisi1863
    @chandehamisi1863 7 месяцев назад +5

    Ngoma ni ile hivi ama vile

  • @PatrickJulius-uy3yb
    @PatrickJulius-uy3yb 7 месяцев назад +3

    Nomaa sn wanangu ili killer ni muuwajitu hata asipo saini rebo yoyote

  • @madlistofficial
    @madlistofficial 6 месяцев назад +1

    Hip hip haitaji shobo

  • @allynationjr8371
    @allynationjr8371 7 месяцев назад +2

    Hua naikubali sana EATV maana hua inachukulia wasanii ote sawa

  • @kinklan2020
    @kinklan2020 6 месяцев назад

    Still ROSTAM anaeza fit...
    RO= Roma
    STA= Stamina
    M= Msodoki

  • @kevo_da_clever
    @kevo_da_clever 7 месяцев назад +7

    Acha uongo aliempigia simu young killer ni RJ sio diamond

  • @princelucky5609
    @princelucky5609 7 месяцев назад +3

    Muleten young killer live tumusikie

  • @arthurmwanga4979
    @arthurmwanga4979 7 месяцев назад +3

    Ugomvi ulianzia kwa the babaz

  • @BrunojnrMz
    @BrunojnrMz 6 месяцев назад

    Aya mambo munapataga wapi😂😂😂

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 6 месяцев назад

    Hajamaanisha hivo acheni ujinga mumeitafsiri vibaya line yake...yani diamond anamjua young killer kuwa hashokei watu kifala

  • @Troublesome0307
    @Troublesome0307 7 месяцев назад +4

    Ni idea ya “Huku ama kule”

    • @ISSASHABANI-sw7lx
      @ISSASHABANI-sw7lx 7 месяцев назад

      Hayo mambo mnaongea nyinyi msodoki hawezi kuwa msenge kiasi hicho waongo nyinyi hamna cha kuongea Kwisha senge yenu haoooooooooooooooooooooooo

  • @prezzyvassach3218
    @prezzyvassach3218 6 месяцев назад

    Kipindi Kimekua Cha Watoto Hichi

  • @GeofreyPeace
    @GeofreyPeace 7 месяцев назад

    Shobo solazima

  • @JohndMbila
    @JohndMbila 7 месяцев назад

    Mashsllla

  • @HappyKitindi
    @HappyKitindi 7 месяцев назад

    Wanyakyusa wamekufanya nn dadangu, eti salamu ana macho kwny mkwanja kama wanyakyusa. Hiv mnyakyusa ana macho kwny hela kama kumzidi mchaga? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @facebmzeewakimba1546
    @facebmzeewakimba1546 7 месяцев назад

    Uyodemu ni mavi

  • @Thedonrboysuper_tz
    @Thedonrboysuper_tz 7 месяцев назад +1

    Blaza rich hip hip na shoboo wapi na wap 🤣🤣

    • @Thedonrboysuper_tz
      @Thedonrboysuper_tz 7 месяцев назад

      youtube.com/@thedonrboysuper_tz?si=UsrrW0O3HZiGZ1Ie

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 7 месяцев назад

      Wamarekani walioanzisha HIP HOP wanashoboka, Killer asishoboke yeye ni nani?

    • @Thedonrboysuper_tz
      @Thedonrboysuper_tz 7 месяцев назад

      @@BigZhumbe unyama bc kama ndoo hivyo tuchunge2 shobo zisije fanya ma rapper wakaruka ukuta 😂😂😂

    • @dismasjerome1658
      @dismasjerome1658 6 месяцев назад

      Hivi ni shobo ama kuforce

  • @jimodefighter
    @jimodefighter 7 месяцев назад

    mistar yakiller nitata xana...huwez elewa kilahic

  • @majidyjames1245
    @majidyjames1245 7 месяцев назад

    Hiyo story ya mwizi imenichekesha sana

  • @ThemagnifierTv
    @ThemagnifierTv 7 месяцев назад

    Leteni killer

  • @kuyengathomas876
    @kuyengathomas876 6 месяцев назад

    Tuleteeni msodoki

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 7 месяцев назад

    Hiphop haiuzi?sasa upi unauza?acheni ukuma,hamjui lolote kuhusu biashara ya muziki,hivi mabilionea wa hiphop mnawajua???!!!kina jay z??acha usenge

    • @Samueldavics
      @Samueldavics 6 месяцев назад

      asa unataka ufananiahe hip-hop ya mbele na bongo apa bongo hip-hop atuuzi kama wenzetu emb nitajie mwan hip-hop gan anaemzidi mkwanja m bana pua Taj mmoja2

  • @konkanbwayogmichezonaburudani
    @konkanbwayogmichezonaburudani 7 месяцев назад

    Leten mßodoki

  • @TariqViwalo
    @TariqViwalo 7 месяцев назад

    Mleten msodoki