Asante sana ndugu, tunakushukuru sana kwa ujumbe wako mzuri, Mungu akatukuzwe... Ndio tumezindua album inayoitwa "NITAZAME EE MUNGU" tunazo CD, DVD na flash disk, karibu sana mkuu
@@michaelmakwata18 Flash disk ni 30elfu ina video na audio, DVD ni 10000elfu ina video tu, CD 5000elfu ina audio tu, tunatuma mikoani kwa garama za mteja kupitia mabasi ...karibu tukuhutumie
Nimewaelewa nie ni majenbe mungu awatunzeeeee😮😮😮😮😅😅❤❤❤❤😊
Hongereni sana kwa kazi nzuri kweli kweli
Katika ubora wenu kama kawaida. Nawaona wote!
Mibaraka kwenu kwa wimbo mzuri
Amina.....
Mungu azidi kuwainua siku Moja mkaimbe na malaika Mbinguni, nasi mtuombee tukafurahie pamoja na wateule Amina🙏
Amina...tukainuliwe wote kwa neema ya Bwana
Nabarikiwa sana na hii nyimbo
Hongereni wapenzi kwa kuinjilisha vema kabisa
Asante sana ndugu
,Nice
Hongereni sana nyimbo nzuri
Amani na Salama. Hongereni sana kwa kazi iliyotukuka KMFA.
Mungu adumishe na kukamilisha utume wenu. Miss You All 🙏🏽
Asante sana kaka mkubwa, Sifa na Utukufu ni kwa Bwana...
I'm so proud of this choir , be blessed
So much thanks @Anitha Kessy, be blessed too.
Nimepanda sana ujumbe huu mna cd nikitaka nyimbo zenu za album hii nazipataje?
Asante sana ndugu, tunakushukuru sana kwa ujumbe wako mzuri, Mungu akatukuzwe...
Ndio tumezindua album inayoitwa "NITAZAME EE MUNGU" tunazo CD, DVD na flash disk, karibu sana mkuu
Unapatikana wapi ndugu?
@@kwangulelo Mikumi morogoro nahitaji frashi yenye nyimbo zenu zote bei gani na nitaipataje?
@@michaelmakwata18 Flash disk ni 30elfu ina video na audio, DVD ni 10000elfu ina video tu, CD 5000elfu ina audio tu, tunatuma mikoani kwa garama za mteja kupitia mabasi ...karibu tukuhutumie