Kuomba msamaha ni kugum lakini ni raisi kama kweli upendo unakua nao. Moyo shida inakuja pale mnapo dhalauliana kwenye mapenzi!! DHARAU ni moja kati ya kikwazo kikubwa kwenye mausiano unaweza ukawa unataka kuomba msamaha lakini anakidharau nawewe ukawa na asira ukapotezea tuache dharau mapenzi yatadum!!
Mm doctor,,mwwnza wang nimemfuma na mara mbili na mdada wa kazi ,,mara ya kwaza alibisha kwamba ni uongo siwez fanya huo upuuz ndan ya nyumba ,,,nikamsamehe bint wa kaz nikamuondoa nikaleta mwingine nae akafanya vile vile alivyo fanya kwa msichana wa kwaz,,,,😭😭😭 anyways nimeamka kuwa single tu
Nipo na mpenz nimempenda sana,cjui kuwa mm ndio nilitafuta chanzo kwa maana siku moja nilienda nyumban kwakwe japo aniliniambia amesafir lkn ajabu nikamfumania na mwanamke...akanipiga na kuniondoa nyumban...mpaka sasa hajaniomba msamha anadai ameteleza tu.... Kuanzia hapo amebadilika hanitumii ujumbe wala kunipigia mpaka nimpigiw yan nianze mm kumtafuta dk nifanyeje???

Ni bora nimuache aende

Kweli kabisa
🙏🙏🙏
Mm ndio naptia magum😢😢😢😢
Nipo na mpenz nimempenda sana,cjui kuwa mm ndio nilitafuta chanzo kwa maana siku moja nilienda nyumban kwakwe japo aniliniambia amesafir lkn ajabu nikamfumania na mwanamke...akanipiga na kuniondoa nyumban...mpaka sasa hajaniomba msamha anadai ameteleza tu.... Kuanzia hapo amebadilika hanitumii ujumbe wala kunipigia mpaka nimpigiw yan nianze mm kumtafuta dk nifanyeje???
kabla ya Dr kujibu ila Iko wazi huo sio wako maana hajutii makosa yake
Tafuta pesa dada mungu ana kuonesha huyo sio mtu sahihi kwako
Pole dada tulia kama kimya mungu atakupatia mwingine
Achana naye
Hebu acha kumpigia dear relax kwanza maana inaonekana wewe unamhitaj zaid wala so hajisumbui