SITOSHANGAA DUBE AKIWA 'TOP SCORER' MSIMU HUU / ASICHUKULIWE POA/ NI MSHAMBULIAJI HATARI - NASRI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 18

  • @NchembaNchemba-of7db
    @NchembaNchemba-of7db 3 дня назад +2

    Wewe ni Godfather wa wachambuzi nchini🎉

  • @AminaKissawaga
    @AminaKissawaga 4 дня назад +4

    Uko vizuri kaka anayekupondea ajielewi ubaya ubwege ndo yalivyo ayooooo

  • @EmmyHassanHosseni
    @EmmyHassanHosseni 4 дня назад +2

    Haya maneno baada ya mechi na mashujaa au yalisemwa tokea November?! 😅😮

  • @pauloegbert515
    @pauloegbert515 4 дня назад +1

    😅dunia ndio ilivyo ukifanya mazuri unasifiwa ukiaribu maneno

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 4 дня назад +1

    pameanza kuchangamka

  • @user-qe2lb9ns8h
    @user-qe2lb9ns8h День назад

    Ila wachambuzi huwa hamueleweki kwakweli mala mumseme dube mala mumsifie

  • @web2.095
    @web2.095 4 дня назад +1

    Najaribu kupitia comment za wadau, sasa nyie mlitaka mtu akifanya vibaya akakoselewa akifanya vizuri tusimpongeze?😂

  • @SaidMkome-p6s
    @SaidMkome-p6s 4 дня назад

    Ajui soka

  • @PeleChamgenzi
    @PeleChamgenzi 4 дня назад

    Yaan wanaangalia upepo upo wapi ndiko wanakokimbilia

  • @MaryMarcelLotto
    @MaryMarcelLotto 4 дня назад +1

    Hakuna mchambuzi ni unafiki tu huyooooo

  • @Yuleyule-u6c
    @Yuleyule-u6c 3 дня назад

    MWARABU KOKO ANACHAMBUA UONGO KINOMA HAKUNA MCHAMBUZI HAPO KIAZI SANA HUYU.

  • @emmanuellupiga
    @emmanuellupiga 4 дня назад

    wachambuz wa bongo mnakera sana vigeu geu kama nini
    ninyi hao hao mlimponda saiv ndo kawa dhahabu tena

  • @jayman7865
    @jayman7865 4 дня назад

    Ulikuwa wapi kusema kabla hajafunga? Watu mnafata mkumbo nyie

  • @PeleChamgenzi
    @PeleChamgenzi 4 дня назад

    Wachambuzi mchuzi wanafki hawa

  • @mussamakange7421
    @mussamakange7421 4 дня назад

    Wachambuz bhn 😂😂😂😂

  • @Behd145
    @Behd145 4 дня назад

    Upuzii bado timu lina ruhusu goli tatu

  • @JumaSalim-bd1ff
    @JumaSalim-bd1ff 4 дня назад

    Yaani nyie wachambuzi w wasafi wanafik keshokutwa mtakuja kuisifia yanga wakati mulipo da kocha alivo Kuja soon mtakuja kumfagilia yaani mnakurupuka

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 4 дня назад

      Hawa wanatafuta rizki kupitia hivyo vijiwe vyao wao kila siku wanaongea kutokana na hiyo siku ikoje utakua mpuuzi sana kuwaamini au kuwatilia maanani maneno ya Hawa mabwana