Naamini chadema kufikia Leo hii ni mpango wa Mungu na hiki ndio chama tawala maana kushinda tunashinda Kwa kishindo na siku inakuja tanaingia IKULU. Mungu ibariki chadema Mungu watetee viongozi wa chadema, na Mungu ibariki Tanganyika.
Mungu ibariki Chadema,Mungu ibariki Tanzania. Ccm imekataliwa na Mungu, na Wananchi tuikatae ccm uchaguzi huu kuanzia wenyeviti wa vitongoji, mitaa, vijiji, madiwani, Wabunge na Rais, msiwachague hao mashetani wauza rasilimali za Taifa, watekaji na wauaji!
Kila mwenye mtoto ni police,,Kila mwenye mzazi ni police,,amwambie, ampigie cm,kuwa asimamie haki,,Asishiriki wizi wa kura,,,,Kisasi nikazi ya Mungu,,Nyie police simamieni haki,,Tuachieni uwanja tucheze na CCM nyie police muwe marefa wahaki..
Mimi binafsi naamini kabisa Chadema ndio chama tawala nchi hii Tangu Kikwete aondoke madarakani. Hawa ccm bila chadema hawawezi kuongoza wananchi wa Taifa hili. Kama kusingekuwa na Chadema nchi hii tungeishi kama Sudani au Kongo hapa lkn pia tungekuwa wabaya zaidi kuliko hizo nchi
Mungu ibariki chadema huu ni mpango wa mungu
Mungu hana mpango na chadema maana chadema ni wahuni tu! Ccm hawajafanya kitu mnapita angani?
Humjui Mungu kabisa.
Asante sanaaa Mungu awabariki sana viongozi wetu, magumu mnayoyapitia Mungu atawalipa.
Naamini chadema kufikia Leo hii ni mpango wa Mungu na hiki ndio chama tawala maana kushinda tunashinda Kwa kishindo na siku inakuja tanaingia IKULU. Mungu ibariki chadema Mungu watetee viongozi wa chadema, na Mungu ibariki Tanganyika.
Mungu awabariki wana chadema
Ni kweli kbs Mh.Mbowe
Mungu ibariki Chadema,Mungu ibariki Tanzania. Ccm imekataliwa na Mungu, na Wananchi tuikatae ccm uchaguzi huu kuanzia wenyeviti wa vitongoji, mitaa, vijiji, madiwani, Wabunge na Rais, msiwachague hao mashetani wauza rasilimali za Taifa, watekaji na wauaji!
IN GOD WE TRUST
Mungu Yuko nanyi
Mungu aendelee kuwatunza na kuwalinda
Mwamba Mbowe ananguruma hadi ardhi inatifuka😂😂😂
Mungu yupo chandema imeletwa na mungu
CCM HAINA DIRA WALA MWELEKEO IPOIPO TU IONDOKE MADARAKANI MARAMOJA TUMEICHOKA.
Umeongevizuru❤
Allah awasimamie ili mtuletee maendeleo tunateseka uku mitaani barabara maji akuna kabisa
Jembe letu
Sugu
KUFA CHADEMA NI SAWA NA KUSEMA MLIMA KILIMANJARO UFUTIKE
Ya kula michango ya misiba hiyo ndio zao
🔥🔥🔥
Kila mwenye mtoto ni police,,Kila mwenye mzazi ni police,,amwambie, ampigie cm,kuwa asimamie haki,,Asishiriki wizi wa kura,,,,Kisasi nikazi ya Mungu,,Nyie police simamieni haki,,Tuachieni uwanja tucheze na CCM nyie police muwe marefa wahaki..
Asant sugu
✌️✌️
Yani hayo ni mahubiri tosha sana
❤
✌️👍👊.
VIVA CHADEMA....CHAMA MBADALA WA CCM KIKIFUATIWA NA ACT WAZALENDO.
Eti hawakuchagulia hahaaaa wapiga makofi nao walevi wenzio
Mimi binafsi naamini kabisa Chadema ndio chama tawala nchi hii Tangu Kikwete aondoke madarakani. Hawa ccm bila chadema hawawezi kuongoza wananchi wa Taifa hili. Kama kusingekuwa na Chadema nchi hii tungeishi kama Sudani au Kongo hapa lkn pia tungekuwa wabaya zaidi kuliko hizo nchi
Kumbe wewe chawa,mikutano huo hawajaletwa na maroli hapo,utaona
THE TRUTH IS NOT A MATTER OF OPINION IS A FACT FACT OF THE WORLD. Charles pairle
1:05
Ccm ipo juu,wananchi tunapenda ,chadema hatuitaka
UCHAGUZI WA HAKI HAWATAKI
Why not. Putin
Sema mtafanya NN HUna sela yyte tatizo ubaguzi wakikabila udini ndani yake
BDO xn nyie nguvu ndogo
Huiwezi kamwe huna hata sera
Haya tuambie sera za CCM
Toa sera acha kelele weweee SAMIA 5 TENAAA CCM OYEEEEE DAIMA MBELE NYUMA MWIKOOO
Muulize aliye kuzalia gest namna ya kutoa sera
We chawa
Kaka kuitoa ccm madalakani haitakuja kutokea hata wananchi wanawasikilizeni kwakuwakebei mama samia 5 tulia sipika 5
Muda unakaribia, lkn haiwezi kutawala milele ipo siku
Akili mgondo
Km mungu mamaako tutaona😊
Never say never
BWANA SAADALA.... WATANZANIA SIO WAJINGA
Wewe sugu wacha Ujinga wawe hata kuongea hujui
acha kufake mambo wewe sugu nyie hamna agenda