JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA UNGA BORA KABISA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 49

  • @annaclaireshija
    @annaclaireshija  Месяц назад +1

    Wasiliana nami kwa namba 0687786576. Karibu.

  • @HyasintaAnthony
    @HyasintaAnthony 21 день назад +1

    Nimejifunza mwanzopaka mwisho ahsante mana njia nyingine ni ndefu kweli Sante dada

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  21 день назад

      @@HyasintaAnthony Asante kushukuru, ukitaka kujifunza zaidi Karibu upate Kitabu.

  • @alaminikaluku
    @alaminikaluku 7 дней назад +1

    Mmmh mwamimu mzuri kabisa nimependa, mimi nimejifunza kutokea 🇧🇮

  • @aminahamad9636
    @aminahamad9636 23 часа назад +1

    Hongera sana nimejifunza ninatokea Chakechake na hicho kitabu bei gani

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  22 часа назад

      @@aminahamad9636 Asante dear. Elfu 30 tu. Wasiliana nami ukihitaji 0687786576.

  • @rosemaryrosemarymwakatage7642
    @rosemaryrosemarymwakatage7642 26 дней назад +1

    Asante kwa training nzuri sana 🤝👏👏 barikiwa mnoo...najifunza kutoka Dar es salaam

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  25 дней назад

      @@rosemaryrosemarymwakatage7642 asante kwa kutazama dear ❤️

  • @norahtemu8115
    @norahtemu8115 6 дней назад +1

    Nimefurahi sana dada.barikiwa

  • @azirajuma553
    @azirajuma553 Месяц назад +3

    Asante kwa somo zuri dia 🎉

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  Месяц назад

      @@azirajuma553 Karibu dear.

    • @JoycNdelwa
      @JoycNdelwa Месяц назад +1

      Hasante kwa mafunzo yako, umenitoa mahari na c tegemexi Tena nakupenda

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  Месяц назад

      @ Asante sana dear ❤️❤️

    • @SabinaDudiveek
      @SabinaDudiveek Месяц назад +1

      Nipe no yako teacher ninashida na wew

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  Месяц назад

      @ 0687786576, karibu.

  • @AbdilahMohamed-l8t
    @AbdilahMohamed-l8t 6 дней назад +1

    Gud Sana dada mungu atakulipa ❤

  • @bitrecekabelege8
    @bitrecekabelege8 Месяц назад +1

    Mungu akibariki najifunza kutoka ruvuma

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  Месяц назад

      @@bitrecekabelege8 Amina dear, Asante kwa kutazama ❤️

  • @ZakiaMohamedi-n8x
    @ZakiaMohamedi-n8x Месяц назад +1

    Hello, Asante sana dada yangu, najifunza kutokea masasi Mtwara,❤❤❤❤

  • @kanone4magc3tv
    @kanone4magc3tv 27 дней назад +1

    Hongera dada najifunza kutoka Zanzibar Magharibi Rigion ungunja

  • @Yana-o2u
    @Yana-o2u Месяц назад +1

    Formula zako huwa ni nyepesi sn..I like it

  • @agnesmwogosi8837
    @agnesmwogosi8837 Месяц назад +1

    Asante sana mamy nimejifunza kutoka mbeya nakuomba ututumie namna ya kuweka formula i mean vipimo

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  Месяц назад

      @@agnesmwogosi8837 karibu dear, formula tuwasiliane kwa namba 0687786576.

  • @MecktildaMteve
    @MecktildaMteve Месяц назад +1

    ❤❤❤❤nakupendaa cnaaaaa dada mtu mwenye moyo wako MUNGU akulinde

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  Месяц назад +1

      @@MecktildaMteve Asante sana dear, Amina na Ubarikiwe sana.

  • @BethshebaBoaz
    @BethshebaBoaz 6 дней назад

    Me nnaswali dear

  • @agnesssperatus7199
    @agnesssperatus7199 Месяц назад +1

    Materiał yanapatikana wapi kwa tulio mbeya?

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  Месяц назад

      @@agnesssperatus7199 majibu yote yapo kwenye kitabu dear 0687786576.

  • @emanueliphilipo8303
    @emanueliphilipo8303 18 дней назад

    Ukwap

  • @AminaAllyKudeba
    @AminaAllyKudeba 18 дней назад

    Dada Mambo naomba nambayako nijifuze

  • @florahmagabe8137
    @florahmagabe8137 Месяц назад +1

    HONGERA

  • @GtrudaUtenga-es4pq
    @GtrudaUtenga-es4pq Месяц назад +1

    Mi nataka kitabu sh ngapi

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  Месяц назад

      @@GtrudaUtenga-es4pq elfu 30 dear, karibu 0687786576.

  • @DennisElias-uq2er
    @DennisElias-uq2er Месяц назад +1

    Vipimo ndo ujasema jamani

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  Месяц назад

      @@DennisElias-uq2er ndio sijasema ili mniunge mkono kwa kulipia kitabu.

  • @MecktildaMteve
    @MecktildaMteve Месяц назад +1

    Madam tunaomba sabuni za vyombo zilee wanaweka kwenye vikopo

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  Месяц назад

      @@MecktildaMteve ile ile ya multipurpose inafaa dear hata kwa vyombo.

    • @MecktildaMteve
      @MecktildaMteve Месяц назад

      @@annaclaireshija thanks

  • @FurodhaKrifod
    @FurodhaKrifod Месяц назад +1

    ❤❤