Tangu Nina umri wamiaka flani apo nyuma hadi sasa nammiss sana kiukweli kifo chake kimenigusa hanijui kanumba hanielewi ila me namuelewa kupitia filam ila namkubali sana kanumba ila ktk kazi ya Allah hakuna chakulalamika tumtakie kila lakheri ila ktk filam zake Alioecti nawale kina jenifar dah nilipenda sana ile filamu nandio nilimpenda sana steven kwasbb anaect kupitia mazingira halisi anajua na anatumia akili na marifa yahali yajuu kutengeza kituh cha maana zaidi .jenifar na yule mwenzako mmemsahau jina nikiwaona hukumbuka sana ile filam r.i.p Steven kanumba mama kanumba vuta subra Allah yupo nawew kufa amekiumba Allah kwetu pia asiwe mnyonge mama kanumba nihali yakawaida kwa kila binadamu kufa
Nakupenda Bure.. yaan ulikuwa unaweza.. Mungu alikutiniku kipaji kaka angu.! Upendo Kwa watu, busara katk kuongea.., duh! Very kind of u Steve., May u continue resting in eternal peace.🙏
Kanumba ulikuwa mtu wa maana sana na WA manufaa katika katika jamii ila yote Mungu ndio anajua endelea kupumzika kwa amani ila ulizikwa na bongo movie hakuna movie ambayo hupata furaha tele kama sio zako😭😭😭😭
Tuliotizama ii 2010 ad leo 2020 ganga like twende sawa
Mm sna chakusema mungu ndo anajua koz kanumba ama kwahakka haukua mtu mdogo ktka ulimwengu mzima.
Kanumba I wish Mungu angelikuacha hadi leo ila kazi ya mungu haina kasoro, kanumba you are wise and full of wisdom RIP kanumba
Tangu Nina umri wamiaka flani apo nyuma hadi sasa nammiss sana kiukweli kifo chake kimenigusa hanijui kanumba hanielewi ila me namuelewa kupitia filam ila namkubali sana kanumba ila ktk kazi ya Allah hakuna chakulalamika tumtakie kila lakheri ila ktk filam zake
Alioecti nawale kina jenifar dah nilipenda sana ile filamu nandio nilimpenda sana steven kwasbb anaect kupitia mazingira halisi anajua na anatumia akili na marifa yahali yajuu kutengeza kituh cha maana zaidi .jenifar na yule mwenzako mmemsahau jina nikiwaona hukumbuka sana ile filam r.i.p Steven kanumba mama kanumba vuta subra Allah yupo nawew kufa amekiumba Allah kwetu pia asiwe mnyonge mama kanumba nihali yakawaida kwa kila binadamu kufa
Yani hadi machozi yananitoka dah, mungu sio wa mchezo
R.I.P my best actor ever from Tz. I still remember u Steve..
i realize it is kind of randomly asking but does anybody know of a good site to watch new movies online?
najiskia vibaya kanumba na uzuri wote huu hayupo 😪
Very handsome boy, no 1 in Tanzania
Who's here from Canada 🇨🇦 in 2019
Nguli wa filamu kuwahi kutokea nchini.R.I.P Steve!
Nakupenda Bure.. yaan ulikuwa unaweza.. Mungu alikutiniku kipaji kaka angu.! Upendo Kwa watu, busara katk kuongea.., duh! Very kind of u Steve., May u continue resting in eternal peace.🙏
Alikua mwingi wa HEKIMA na BUSARA
tujifunze hekima na busara ya Steven charles kanumba.tena alikuwa mtaarabu
Kanumba ulikuwa mtu wa maana sana na WA manufaa katika katika jamii ila yote Mungu ndio anajua endelea kupumzika kwa amani ila ulizikwa na bongo movie hakuna movie ambayo hupata furaha tele kama sio zako😭😭😭😭
R.I.P STEVEN KANUMBA NAKUKUBALI SANA KM BRO UKIACHILIA UIGIZAJI WAKO BALI NAKUPENDA KM BRO
Alie ona mimba gonga like hapa
Kareem Peramiho
Siyo mimba ile ni mto
@@hajijumaaramadhani655 ni mimba
Shujaa mkubwa tuna ku miss sana,😢
You were so wise young man. #Ripkanumba
Mungu mbona ulichukua kanumba mapema ? I really miss kanumba
Rest in peace ste ven kanumba lov u brother
Mungu akulaze mahala pema peponi kaka kanumba
Tokeya afekanumba sijawai angalia bongo muvi
Reste in peace
🙏🙏🇨🇩🇨🇩❤️❤️😭jembe.
RIP kanumba nilikupenda sana
i LIKE THIS VIDEO
Hope your still fine thanks
R.I.P KING 💔💔😭😭😭
R.I.P dear I still don't believe ka amepass😭😭😭😭😭😭😭😭
Rest in peace my lovely brother kanumba
Rest in peace KANUMBA
Napenda sana move za kanumb
muñgu akulaze mahali pema pepoani kanumba
Kanumba hadi leo nakulia tu, machozi tu inatiririka machoni kwangu
R.i.p the Great!!!!
Allahu yaraham
Death is painful, R.I.P Kanumba
Life is indeed short.R.I.P Kanumba
Kanumba alikuwa anaelewa sana filamuu......
Hawa wengine wangekua kama yeye kama bongo movie iko chonjo sana
Siku 25 mbele akafariki 😢😢
*_in 2019_* 💪
Anapenda Sana kucheka
Nimekumisi sana kanumba
Umemmisss tena.
rest in peace kanumba wangu nakupenda
Rest in peace
Kanumba very talented boy
R.I.P Kanumba pengo lako halizibik
16/10/2024😢😢
mzee wa bongo
Takukumbukaa snaaa
r l p kanumba wetu
R.I.P
Kanumba the best r I p
2019
Dah 😭😭
Hio ni mimba ama umeshiba zamaradi
Wewe hiyo ndio nini
@@mathildemwangaza109 👍👍👍
2023 r I P Steven kanumba
fimbo chapaaa hiyo movie mtu upload plz
Anaweza asilazimishwe kutoa ngono ila akajengewa mazingira,,,,!!!!
Pole ak
2022 Let's together
Chini wanaenda watu
2021
Tupo Congo RDC nawetu kanumba
Mmmmmmhhh
kwa upande wa wasanii Rose ndauka na JB tulikuwa pamoja sana
Alikua muongo huyuu na alitembea na LULU na wema sepetu ndo wakapewa movie za kuigiza.
R.I.P
🙈🙈🙈🙈🙈🙈💔💔💔💔 RIP MY BROTHER