VIFAA HATARI VYA JWTZ VIKIPITA MBELE YA RAIS SAMIA, MAKOMBORA, VIFARU, RADER HATARI, SILAHA NZITO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 331

  • @Flocky-k5r
    @Flocky-k5r 4 месяца назад +3

    Compared to Kenya Tanzania iko chini sana. Kenya is much powerfull

  • @charleselijah-vq3hq
    @charleselijah-vq3hq 4 месяца назад +2

    Hongera sana JWTZ. Kuwa vyombo vya Kivita za Kisasa. Heko Tanzania

  • @Sebastianmangenyi
    @Sebastianmangenyi 4 месяца назад +1

    Mungu ibariki JWTZ, jeshi pendwa na lisilo na rushwa nchini

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 4 месяца назад +23

    Viva Tanzania, kongole jwtz, mikononi mwenu tuko salama.

    • @BarnabasFabiani
      @BarnabasFabiani 4 месяца назад

      @@Shafikimanga7 kongole za nini sila tume nunua kwa hela zetu ni jesh letu sote sasa waanze kuunda silaha sio kununua

    • @leonnyntandu4324
      @leonnyntandu4324 4 месяца назад

      ​@@BarnabasFabianiunda kijiko na wewe kama unaweza😂😂😂😂

    • @BarnabasFabiani
      @BarnabasFabiani 4 месяца назад

      @@leonnyntandu4324 nime gundua vingi tu hata mungu nime mgundua mm kamulize ata kupajibu

  • @Sebastianmangenyi
    @Sebastianmangenyi 4 месяца назад +3

    Naipenda sana JWTZ hongera sana JWTZ tunawapenda sana kwa ubunifu

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 4 месяца назад +6

    Sasa ni vyema kuwapa mafunzo ya kisayansi wanajeshi wetu ili tutengeneze silaha zetu wenyewe , tuunde mizinga ya HYPERSONIC, Maana dunia sasa sio sehemu salama, na tusitegemee asilimia zote kununua silaha ni oazma masoja wetu waingie CHIMBO kuunda silaha za kali za SIRI..!

  • @hassanomarykazogolo6806
    @hassanomarykazogolo6806 4 месяца назад

    Mama mitano tena uko vzr sana mungu akubariki na akutangulie katika uongozi wako Amen

  • @nasibuAbel
    @nasibuAbel 4 месяца назад

    Mungu nakuomba unitumzie Taifa langu uliepushe na Kila shali Kila baya uende kinyume na waso litakia Taifa hili mema kubwa saizi naomba uni lindie viongozi wangu ote sekta zote akiwemo Raisi wangu kipenzi Daktari samia suruhu hasani

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi 4 месяца назад +3

    Tanzania ni hatari.Kiukweli tumejipanga sana.Hongera Rais wetu mama samia.

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 4 месяца назад +1

    Tuombe Mungu atuzidishie Amani na Utulivu Tanzania yangu kwa vizazi vyetu.
    Vita ni vita silaha huua hata aliyeitengeneza. Sina la kujivunia... maana hata mwenye silaha anaogopa vita

  • @AndreaMsemwa-f2z
    @AndreaMsemwa-f2z 4 месяца назад +9

    Hongera mkuu

  • @uMkhonto_weSizwe
    @uMkhonto_weSizwe 4 месяца назад

    Dr. Samia umetuheshimisha! 🙌🏽🙌🏽💯👍🏽 mitano tena

  • @georgesolos344
    @georgesolos344 4 месяца назад +1

    Jeshi letu bado sana, kama hizo products karibu zote ni made in china na eastern Europe. Wafufue plant ya nyumbu wazalishe hivyo vifaa. Kwa vita ya kisasa drones zinamaliza hivyo vifaru. Wapeleke engineers wengi Russia wajifunze vifaa vya kisasa zaidi.

  • @MarioNdanzi-kp9hp
    @MarioNdanzi-kp9hp 4 месяца назад +2

    Asante Sana jwtz

  • @AliAhmed-m1o2u
    @AliAhmed-m1o2u 4 месяца назад +1

    Rais wetu maasha Allah akiwa katika vazi la mjeda hacheki yaani ni mjeda kamili huyu ndo Rais tumtakae namuomba alitayarishe jeshi letu liwe halina tofauti kubwa na majeshi yaliyomo ulimwenguni usijali tupo pamoja na wewe daima dumu❤❤❤

  • @SeljusiMalambo
    @SeljusiMalambo 4 месяца назад

    Hongera sana sasa tunaitaji makombora ya masafa marefu

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 4 месяца назад +20

    😂ha! Eti kwa kitaalamu laitwa....si kitaalamu chochote ni kwa Kiingereza tu. Kwani kila kitu kikiitwa kwa Kiingereza ndiyo itakuwa 'kwa kitaalamu'? Kana kwamba unazungumzia jina la mashine maalum ya kupasua utumbo!

    • @musarashid3482
      @musarashid3482 4 месяца назад +2

      Asnt cc ushamba tu umetujaa na utumwa wa kifikra Ata wachina ni wataalam sn ila ujawai kuskia kitaalam kwa kichina 😂

    • @LORDRICKNKYA
      @LORDRICKNKYA 4 месяца назад

      Hujui kitu na kwanini anatumia neno KWA KITAALAMU fwatilia

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 4 месяца назад +1

      ..​@@LORDRICKNKYA..ww ndio huenda huelewi, Kwani kitaalam lazma iwe Kwa kiingereza?...Kwani akisema Kwa kitaalam inaitwa 'SIMU JANJA ' au Kwa kitaalam inaitwa 'KIPAKATARISHI' (computer) itakua sio Kwa kitaalam..?....kiingereza ni Lugha tu kama nyingine, unaweza kusema Kwa kiswahili na ikawa kitaalam vile vile

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 4 месяца назад

      Kiingereza ni lugha ya kitaalamu taka usitake 😂😂

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 4 месяца назад +1

    Abrams tank za tz izo

  • @imanyotz589
    @imanyotz589 4 месяца назад +2

    Drone ndogo (swarm drones) ni silaha ndogo lakini hatari zaidi kuliko kifaru. Tungewekeza zaidi haoo. Kuweka maisha ya wanajeshi wetu katika hali ya usalama zaidi

  • @HawaAlznezbar
    @HawaAlznezbar 4 месяца назад +3

    Kweli tujivunie siraha zetu🎉🎉😊😊😊

    • @Omarjumanne-zm9zh
      @Omarjumanne-zm9zh 4 месяца назад

      @@HawaAlznezbar kama tunaunda wenyewe sisi akitokea mtu mwenye ujuzi wa kuunda pastoral tu anafungwa jera sisi ni wajinga wa mwaka 1330 akili hatuna kazi yetu manunuzi nje

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 4 месяца назад +2

    😂😂tuko fit, tutafute friend match hata kwa burundi.

  • @CostantineDaudi
    @CostantineDaudi 4 месяца назад

    Tupo vzr tanzania hakika najivunia jeshi letu nipo salama kabisa

  • @ezekielsabiyumva8048
    @ezekielsabiyumva8048 4 месяца назад +2

    Congo 🇨🇩 wanavifaa zaidi yahovyo waulize leo kama wameshinda vifaa na ujuzi nivitu vieili tofauti

    • @CHAMSATV
      @CHAMSATV 4 месяца назад +1

      kwani nchi italeta silaa zote apo icho kitu akiwezekani kijana nachuwa vilivyo nunuluwa junzi tu na rais ndiye aliye vizinduwa siku kama tatu zilizo pita

    • @davidanselmo4041
      @davidanselmo4041 4 месяца назад +1

      Congo inayopigwa na Kagame 😅😅

    • @chrisswaller960
      @chrisswaller960 4 месяца назад

      Congo wasenge ndo mana huoni wamejaaa mali lakini maskini kinoma,

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 4 месяца назад

      Akili mgando

  • @mercykaluki1969
    @mercykaluki1969 4 месяца назад

    China has really improved Tanzanians small missle and small range missiles

  • @NaySimon-u5u
    @NaySimon-u5u 4 месяца назад

    Waoooooo vzr

  • @HomLand-94
    @HomLand-94 4 месяца назад

    Ni sawa, ila wahini kurudisha magari ya rafaeli

  • @kingdom5122
    @kingdom5122 4 месяца назад

    Makombora ya masafa marefu safii sana

  • @JacksonDominicko
    @JacksonDominicko 4 месяца назад

    Mama samia Tunaombe vita yakirafiki na kenya au mnaonaje

  • @ReyzDon
    @ReyzDon 4 месяца назад

    Hapa ni kifaru gan kilicho tengenezwa Tanzania

  • @JesseJackson-l8q
    @JesseJackson-l8q 4 месяца назад

    Viva na siraha tunazo lakan bado tunatakiwa kuweka juhudi maana kuna siraha nzito zaidi ya tulizo Nazi hizi Lakin siyo mbaya tumejitahiad😊

  • @tumaininestory4037
    @tumaininestory4037 4 месяца назад +1

    Hii ni ndoto yangu ya zamani

  • @leonmusanabera12
    @leonmusanabera12 4 месяца назад

    iyo ni fujo tu,
    JWTZ limepigwa
    Vibaya sana huko Congo na M23, ni aibu kubwa kwa TZ, afathali FRDC
    kuliko JWTZ kwenye uwanja wa mapambano,SADC
    Congo imeabika mwaka huyu ondokeni usaidizi went haufayi.

  • @EliudiJastini
    @EliudiJastini 4 месяца назад

    💣💣💣☝☝☝🙏🇹🇿🇹🇿sombaya

  • @zaliafakilavire5689
    @zaliafakilavire5689 4 месяца назад +9

    Hapa nipo nawazumuuu wa Kenya wanatamani tubadilishane nchi😂😂 hamtufiki hata raboo l love my 🇹🇿

    • @qtyclone4843
      @qtyclone4843 4 месяца назад

      I was chilling until you mentioned us 😂we are not interested lol.. After all you can't come close to major non - NATO ally. Stop 🧢 😂

    • @BeatriceThuo-nn8lc
      @BeatriceThuo-nn8lc 4 месяца назад +1

      Silaha, zetu wakenya hatuonyeshi maadui.... Maana ni zile kali Sana... Yaani Advanced Military Machineries... AMM...KENYA ndio super power, East&Central Africa.

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 4 месяца назад

      Wewe huna akili .. kujilinganisha mabunduki ni wenda wazimu.. utakula hayo mabunduki? mafuriko yakija mnaogelea kwenye maji vyumbani kwenu.. badala ya kufikiria maendeleo wajinga huwaza mabunduki tuu kama samia!Pesa anamalizia kwenye maonyesho ambayo ni vitisho kwa wamasai na Watanganyika wengine anaowadhulumu ardhi kwa ajili ya waarabu! maonyesho kama haya yalikuwa na maana wakati wa viongozi wenye akili .. sio majambazi kama kikwete na demu wake samia!

    • @clementhiddi1486
      @clementhiddi1486 4 месяца назад

      @@qtyclone4843 pointless

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 4 месяца назад

      Ubadilishane nini mnanyanyashwa Tanzania 🇹🇿 mnatekwa kila siku ibwa nyinyi

  • @faidamuhamed3011
    @faidamuhamed3011 4 месяца назад +1

    Nayaonaga kwa zeleboy na puttiboy wakioneshana ubabe kumbe hata sss tunazo😉

  • @BarnabasFabiani
    @BarnabasFabiani 4 месяца назад +4

    Hatuwezi tùkàwa tun̈a onyesha silaha tulizo nunua. ifike mahali jeshi letu lianze kutuonyesha sila zilizo undwa au kugundulìwa na jeshi letu JWTZ waanze kujikita kugundua sila zake zaku nunua ziwe asilimia30

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 4 месяца назад

      Kufika huko bado sana

    • @BarnabasFabiani
      @BarnabasFabiani 4 месяца назад

      @@jumakapilima7295 ukitia nia nirahisi nikuanza kujikita kwenye uchunguzi na uwekezaji ili kukuza uchumi wajeshi letu

    • @AlanWilliam-oq5qz
      @AlanWilliam-oq5qz 3 месяца назад

      We kichaa nn

  • @aliali-ji9ym
    @aliali-ji9ym 4 месяца назад +3

    KARIBUNI WAKENYA KWETU RAHA TUNAISHI KWA KUINJOI SANA, TANZANIA NDIO KIMBIKIO LANGU
    ILOVE YOU MAMA SAMIA

    • @heavenlightfrank6203
      @heavenlightfrank6203 4 месяца назад

      Alafu upande wa silaha tumewazidi majirani zetu japo hutucheka sana hatuji kiingereza😂

    • @canon5059
      @canon5059 4 месяца назад

      ​@@heavenlightfrank6203😂 wewe uneona silaha za Kenya kweli ama unazingua 😅 tz hawakaribii wakenya ikifika kwa silaha

    • @shedadiabdul654
      @shedadiabdul654 4 месяца назад

      ​@@canon5059We na Akili yako Siraha za Tz Unahisi zimetoka zote?

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 4 месяца назад

    Chokozeni wachina Ili tuamini mwende kule mbebe vifaa ila msichokoze mkiwa Tanzania sisi tunalindwa na mungu

  • @MaikoRashku
    @MaikoRashku 4 месяца назад +1

    Tuondoleeni mambo yenu ya kishetani hapa, hayoasilaha mlitakiwa myafiche, hatuitaji kuyaona, mlitakiwa kumpeleka store mkamuonye, sisi tunaitaji mtuonye mahabari za Dawa

  • @abusaidalmujahedeen7844
    @abusaidalmujahedeen7844 4 месяца назад

    Aibu kweli hizo toys tu😂😂😂

  • @nottoldAfrostories
    @nottoldAfrostories 4 месяца назад

    Rais wenu ananyesha💀

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 4 месяца назад +1

    Vya kumpiga mganda tu huwezi kumpiga mmarekani Silaaha za kumpiga mwanawaadamu ni mzito kuliko za kumpiga mnyama hii ni hatari mwanawaadamu kuitwa adui

  • @jovinezekiel3652
    @jovinezekiel3652 4 месяца назад +1

    Nikweli mizigo tunayo lakini Hofu yangu kwanini wameamua kuvionyesha naona hii ilibidi iwe sili yetu ili wakijichanganya

  • @ErastoAntony
    @ErastoAntony 4 месяца назад +1

    Nimekaa na mkenya nimempiga kwanza kibao pia nikamwambia angalia huku tushindane lakini msije mkaomba maji

  • @MansorJr-z3i
    @MansorJr-z3i 4 месяца назад +1

    Tuombe vita na kenya jamani hahahah 😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😊

    • @heavenlightfrank6203
      @heavenlightfrank6203 4 месяца назад

      Hawana jambo hao😂 hivyo vyuma hawana

    • @canon5059
      @canon5059 4 месяца назад

      Kenya si rika yenu 😂 bado hamjatosha kuitisha vita na Kenya. Kenya wamejihami vilivyo 😂😂

    • @canon5059
      @canon5059 4 месяца назад

      Labda mjaribu Burundi😅

    • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
      @yahyamajidyahyahilalal-har8762 4 месяца назад

      ​@@canon5059sasa kenya hata kutuliza fujo wameshindwa. Wataweza vita??

    • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
      @yahyamajidyahyahilalal-har8762 4 месяца назад

      ​@@canon5059wakati mmeshindwa kutuliza fujo 😂😂

  • @maselejonathan8452
    @maselejonathan8452 4 месяца назад

    Hakika jeshi letu lipo imara ndo maana Amani ipo kwa miaka mingi sana
    Haya turud huku kwa wabakaji tuambeni kesi imefikia wapi

  • @charleskingimwakasagule5752
    @charleskingimwakasagule5752 4 месяца назад +1

    Basi mlionyesha Silaa zote kwa adui ingekuwa 23 ipo tz ingefulai sana huyu Raisi Sasa hana sili

    • @J4UPro
      @J4UPro 4 месяца назад

      Wewe tulia, pengine hujui lolote

  • @Rasoulhk98
    @Rasoulhk98 4 месяца назад +1

    Hii itoshe kusema kwamba kuna mengi sana siku ya leo hayajaonyeshwa kwa lengo la kuhifadhi heshima na siri ya Jeshi la Wananchi Tanzania.
    Hivyo watanzania kwa leo tumeona hivi vifaa kwa 40% tu ila mengi yapo kapuni.
    Hao wanaosema sisi hatuna kitu wao ndo wako juu waache wajichanganye ndio watajua shughuli ya jeshi letu tukufu na la heshima Africa.

    • @CHAMSATV
      @CHAMSATV 4 месяца назад

      asilimia 1 tu iyo kaka kila mwaka kunabajeti yake bungeni miaka 60 sasa apo zimenunuliwa njuzi tu

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 4 месяца назад

      ​@@CHAMSATV😂😂😂ushatupiga wizara ya ulinzi bajet yake umeiskia lini bungeni

  • @FARIJIKAORGANIZATION
    @FARIJIKAORGANIZATION 4 месяца назад

    Wangetuonesha na technology wanayotumia wakiwa kama jeshi

  • @Aquapalooza.
    @Aquapalooza. 4 месяца назад +1

    Watanzanyuma kujeni KENYA muone maana ya a proper millitary capability.

    • @simpleboytz255
      @simpleboytz255 4 месяца назад +2

      Kenya wanajeshi wanaoshindana na vikundi vya wahuni wanaoandamana

    • @Aquapalooza.
      @Aquapalooza. 4 месяца назад

      @@simpleboytz255 sio hivo ndugu yangu. Kenya tuna Uhuru wa wananchi ikiwemo uhuru wa kuandama kinyume na Tanzania na ndio sababu hao polisi wetu hawangewapiga wananchi waandamanaji. Tunaelewa Nyinyi hapo Tanzania hamna uhuru ata wa kumkosoa rais kwa sababu kwenu bado mnaishi 1970 na rais ni kama mungu mdogo. Hapa Kenya yeyote aweza kumkosoa rais bila kufanyiwa lolote kama kupigwa risasi kama Magufuli alivyo mfanyia Tundu Lisu.

    • @mbonimanakisenya4178
      @mbonimanakisenya4178 4 месяца назад

      nyie wakunya jeshi lenu lipambane na wavuta bangi kwanza wanao andamana ndo mje kitupigia kelele sawa😊😊

  • @jacksonstanley-d2v
    @jacksonstanley-d2v 4 месяца назад +3

    wakenya wataweza kweli

    • @saliminyusuph6122
      @saliminyusuph6122 4 месяца назад

      Acha uchonganishi wewe. Sisi na wakenya ni ndugu moja.

    • @jacksonstanley-d2v
      @jacksonstanley-d2v 4 месяца назад

      @@saliminyusuph6122 wenyew mbona hawasemi🇹🇿🇹🇿

    • @lwagamwakalinga8038
      @lwagamwakalinga8038 4 месяца назад

      Kweli kabisa sisi na wakenya ni ndugu sana tunapaswa kushindana nao kwenye maendeleo tupambane tuwafikie maana hatupaswi kuwa kama north korea tunahangaika na masilaha wenzetu wanafungua miradi ya maendeleo

  • @babiz255
    @babiz255 4 месяца назад

    😅😅😅 mamaee east africa nzima hawatuwezi kama vipi tuliamshe tu tuchukue Kenya na Uganda yote iwe Tanzania. Inabid vyuma vilie ivyo visiingie kutu💥💥

  • @MwavitaKasoga
    @MwavitaKasoga 4 месяца назад

    Aante san jwtz

  • @godfreypaul251
    @godfreypaul251 4 месяца назад

    Kuna kubwa zaidi tununue sasa

  • @ZawadiMwaituka
    @ZawadiMwaituka 4 месяца назад

    Tanzania Imala na aman

  • @ajsmainde5138
    @ajsmainde5138 4 месяца назад +3

    ikipita iron dome mnistue😅😅

  • @Watcher994
    @Watcher994 4 месяца назад +1

    Hapo nimeona kuna haja kubwa ya kuwa mkalimani wa vifaa vya kijeshi kwa lugha ya mama yangu.

  • @georgedaniel4962
    @georgedaniel4962 4 месяца назад

    Ombeni friend matches na majirani.

  • @SelemaniNtobi-lz8lp
    @SelemaniNtobi-lz8lp 4 месяца назад

    Nyie kumbe na Tz Ina mamb kam hay na hamsemi

  • @fikrapevu1
    @fikrapevu1 4 месяца назад +1

    Ayo hauna namna ya kunipeleka jeshini maana nimejitahidi mara kadhaa sijabahatika anaesoma comment hii kama anaweza kunipeleka jeshini nipo tayari anajibu

  • @talents7934
    @talents7934 4 месяца назад

    Ikipita Rungu ya kimasai mnishtue😂😂😂

  • @tanzaleo8670
    @tanzaleo8670 4 месяца назад

    natamani Bajeti ijayo ya wizara ya Ulinzi waweke Leopard 1 na Leopard 2 tanks mana hizo zimepitwa na wakati kwenye uwanja wa medani

  • @EdwardKessy-c9z
    @EdwardKessy-c9z 4 месяца назад

    Tunaomba mechi na warusi sasa😂😂😂

  • @Daniel-g2f6v
    @Daniel-g2f6v 4 месяца назад

    Tunao wanajeshi wakakamavu sina shaka juu ya hilo shida iko kwenye vifaa

  • @Kulwakisansa-zk5yg
    @Kulwakisansa-zk5yg 4 месяца назад

    Ilo ni jeshi la kulinda mipaka sio kulinda raia watu wanatekwa kila siku afu unasema ni jeshi la kulinda wananchi

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 4 месяца назад

    Ngoja kinuke kama amjalala

  • @hamisimwinzagu6624
    @hamisimwinzagu6624 4 месяца назад +2

    Vita sasa ivi technology, maonesho hayo kwa ajili ya kupambana na sisi wananchi maana mmeshaambiwa kuwa muwe tayari kupambana katika uchaguzi ujao

    • @LORDRICKNKYA
      @LORDRICKNKYA 4 месяца назад

      Usiwe mropokaji ebu kuwa mfatiliaji zaidi

    • @hamisimwinzagu6624
      @hamisimwinzagu6624 4 месяца назад

      @@LORDRICKNKYA Acha ujinga ww chawa mkubwa

    • @binkokisalikoi9019
      @binkokisalikoi9019 4 месяца назад

      Nikweli vita saizi inatumika akili sana kuliko haya tunayo ona

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 4 месяца назад

      ​@@binkokisalikoi9019hujui kitu wewe

    • @loserian-mj1gj
      @loserian-mj1gj 4 месяца назад

      Mnawaza tu ujinga

  • @yousufmohammad5698
    @yousufmohammad5698 4 месяца назад

    Marekani siku moja ijichanganye I drop bomb dar tuyioneshe

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 4 месяца назад +2

    "Vile vile kinamfumo wa kujikinga na silaha za kinyukilia, kibaolojia na kikemikali." Noted

  • @AbdallahAmini-s7h
    @AbdallahAmini-s7h 4 месяца назад +1

    Wakenya mkitaka vita na sisi tunawaramba vinyeo manina nyie😂 vita mpelekeen ruto uko😂😂 hi tanzania

  • @jaffjeff6912
    @jaffjeff6912 4 месяца назад

    Tuvitunze vifaa hivo na kuviboresha

  • @frankkasala8789
    @frankkasala8789 4 месяца назад

    Vinatestiwa kweliiii hvyoooo????

  • @calvinmireni2533
    @calvinmireni2533 4 месяца назад +5

    Bm 21 grand .chuma cha mrusi ni hatari san

  • @fadhilimkanimkole272
    @fadhilimkanimkole272 4 месяца назад +5

    Sema jeshi la anga waongezewe hata F_16 kama kumi hiv

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 4 месяца назад

      Wewe hivi unajua bei ya ndege F16? Yaani wewe nchi za umoja wa ulaya zenyewe hizo badhi hawaja weza kuzinunua.
      Nchi ya Uturuki mwaka jana ndiyo wamenunua F16 kama 16 tu

    • @antidiusegbert5562
      @antidiusegbert5562 4 месяца назад

      @@zebedayokatamaduni9676acha mawazo ya unyonge

    • @qtyclone4843
      @qtyclone4843 4 месяца назад

      ​@@zebedayokatamaduni9676I agree even updating the codes of the F16, the west would not want you attack an ally like in the incase of indo-paskitani war where Pakistani F16 were useless and couldn't be used against India cause USA had grounded them.

    • @winfordmwangonda5375
      @winfordmwangonda5375 4 месяца назад

      Ata ukiwa hela hawawezi kukuuzia ata kidogo

    • @J4UPro
      @J4UPro 4 месяца назад

      Duh f16

  • @JohnManyilizu-rl5bm
    @JohnManyilizu-rl5bm 4 месяца назад

    Ahaa

  • @IsanHomi
    @IsanHomi 4 месяца назад +2

    Tuache una fiki tupo levo ndogo bado

  • @Habalitz
    @Habalitz 4 месяца назад

    Wakija us dakika moja chali 🤣

  • @peterdeus6093
    @peterdeus6093 4 месяца назад

    Iv kulikuwa na ulazima gani wa kuonesha vifaa vyote ulivonavyo, ivo vifaa vilikuwapo tokea muda tu na hata wakati wa magufuli lakin havikuoneshwa kama hiv

  • @laiserkuyan6075
    @laiserkuyan6075 4 месяца назад

    Hiii ni ufala silaha za njeshi ni siri

  • @Arsenal5000
    @Arsenal5000 4 месяца назад

    Ifike hatua tuombe mechi ya kirafiki na Russia

  • @vladimirputn1809
    @vladimirputn1809 4 месяца назад +1

    isijekua kama ukrain zinatumika kweli

  • @Jackson-n2c
    @Jackson-n2c 4 месяца назад

    Eti kwa ajili ya kutawanyia waandamanaji

  • @twaribuidrissa9900
    @twaribuidrissa9900 4 месяца назад +2

    Mweshmiwa rais tunakuomba utuitishie kavita kadogo kakilafiki tuone mitambo km kwer inafanya kaz

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 4 месяца назад

    Zote tank za kimahgaribi

  • @Boyhoodking
    @Boyhoodking 4 месяца назад

    Hiko kifaru kikatestiwe ukraine

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 4 месяца назад +5

    Serikali inunue bhn vivaa vya kisasa

    • @VeronicaAdam-lx8yd
      @VeronicaAdam-lx8yd 4 месяца назад +1

      😂😂😂Kwan unajuw hivy vifaa havip😊

    • @sayeedmsct4255
      @sayeedmsct4255 4 месяца назад

      @@VeronicaAdam-lx8yd wangeze uwezo wakijeshi tz nikubwa mno

    • @NurudinZuberi
      @NurudinZuberi 4 месяца назад +2

      Kka huwezi onyesha silaha zako zote hadharani

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 4 месяца назад +1

      Hizo hela tunazo sasa?

    • @sayeedmsct4255
      @sayeedmsct4255 4 месяца назад

      @@rumdeesonsoa1811 zipo bhn

  • @saidharbinie-dl4dd
    @saidharbinie-dl4dd 4 месяца назад

    Vita bora sahv n ya drones...tunataka technology y drone itumike jeshini bila hvyoo tutafeli parefu

  • @bazilmassawe7991
    @bazilmassawe7991 4 месяца назад

    hapa hata waje uruSi hawatuwezi

  • @saidharbinie-dl4dd
    @saidharbinie-dl4dd 4 месяца назад

    Hiyo tintela ya mama kama ya Elisha keys😅😅 ata sio ya kikopsi mbna😊

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 4 месяца назад

    Air force, Navy force tupo hoi kabisa ki vifaa serikali inunue tuache utani

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 4 месяца назад

      Queen of Battle wenyew vifaa havijatosheleza kabisa

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 4 месяца назад

    Vifaa ivyo vingekuwa nivya kulimda nnchi na wanaichi si wangekamata watekaji ? Inamana watekaji ni ninyi wamiliki wavifaa

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 4 месяца назад

    Hili tuwaamini hadi vita ije itokee ndiyo tujue uwezo wenu sio mnatuga mkwara tu

  • @RashidShela-w8n
    @RashidShela-w8n 4 месяца назад +2

    Vya kawaida sana hivo

  • @RomanNdigeze
    @RomanNdigeze 4 месяца назад +2

    Wanaume kazin

  • @hassanhancha1413
    @hassanhancha1413 4 месяца назад +7

    Haya sasa Putin ajichanganye aone 😅

    • @ReginafrancisNkalyan
      @ReginafrancisNkalyan 4 месяца назад +1

      Mimi nikajua ni matoy😂😂 kumbe kiduku hafui dafu❤

    • @champion-dz6kr
      @champion-dz6kr 4 месяца назад +3

      😅😅 NATO na América, awamchezei Putin , nyinyi tunampeni wasouth África tu😂😂

    • @fadhilimkanimkole272
      @fadhilimkanimkole272 4 месяца назад +1

      😂😂😂 ila vijana

    • @JUDITHMGAYA
      @JUDITHMGAYA 4 месяца назад +1

      😂😂😂😂

    • @conganyoyo3195
      @conganyoyo3195 4 месяца назад +1

      😂😂😂🙈

  • @UserGooduser-k5u
    @UserGooduser-k5u 4 месяца назад

    Sasa hapo wantesi tu, uone watu watakavyo kimbia kama nawona😂😂😂😂😂😂

  • @JUSTNEMITOMINGI
    @JUSTNEMITOMINGI 4 месяца назад

    Kuna vifaa umo

  • @AlbatCharles
    @AlbatCharles 4 месяца назад +7

    China waki angalia hii video Wana cheka tu

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 4 месяца назад +1

      China wana silaha gani?

    • @HammyJey
      @HammyJey 4 месяца назад +2

      Kwani sisi tupo hata kuwaridhisha wachina??? China hata hiyo rangi yako nyeusi ya pumbu wakiiona wanacheka tu jichubuwe basi uwe mweupe ili ufanane na wachina.

    • @ProsperUlungi
      @ProsperUlungi 4 месяца назад +1

      Unajilinganishaje na china unajua china ipo nafasi ya ngapi duniani hawa wao walianza chini

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv 4 месяца назад

      Hizi mbona nyengine tunanunua kwao... wao asaivi ndio wapo kwenye technology ya juu kivifaa

    • @loserian-mj1gj
      @loserian-mj1gj 4 месяца назад

      Wale watumwa wewe unawaza tu china

  • @jaydenbedas5729
    @jaydenbedas5729 4 месяца назад +1

    Hivi vifaa vitatuharibia viwanja ili tukose kutazana mbungi

    • @Shijajohn5084
      @Shijajohn5084 4 месяца назад

      Ni uwanja wao huo ndugu ndo maana washakataa kutengenezwa jukwaa la kufunika hapo

  • @IsackIbrahimu-j3k
    @IsackIbrahimu-j3k 4 месяца назад

    Ivi vifaa vinatumika wap?