MAMBO 7 KWENYE BRUDA KABLA YA VIFARANGA KUFIKA/Brooder preparations

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 9

  • @movingwheels26
    @movingwheels26 7 месяцев назад +1

    Kazi nzuri sana, keep up the good work My friend.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  7 месяцев назад +1

      Asante sana movingwheel26 channel

  • @CherubinMulumba-yi9ng
    @CherubinMulumba-yi9ng 7 месяцев назад +1

    Nimependeswa na elimu hi ,ombi inche ya somo. Naomba msahada kuku wangu wanapatwa vidonda midomoni ni watibu je ?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  7 месяцев назад

      Ni ugonjwa unaitwa ndui. Wasaidie kwa limao na alovera. Fuatilia video kwa kuandika tiba asili ya ndui by agalus TV zitakuja video

    • @CherubinMulumba-yi9ng
      @CherubinMulumba-yi9ng 7 месяцев назад

      @@AGALUSTV tiba asili ya ndui

  • @HaronAndei
    @HaronAndei 7 месяцев назад +1

    Ikiwa kuku yangu imetaka vifaranga hamsini , tawa ya Kwanza ya janjo nitapeana ipi?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  7 месяцев назад

      Fuatilila video ya ratiba ya chanjo za kuku kupitia Channel hii ya AGALUS TV online zipo video

  • @YustaMihafu
    @YustaMihafu 7 месяцев назад +1

    Mimi ninahitaji kutuga changamoto niliyo nayo ni namna ya kuandaa bada ukiwa na nafasi ndogo unafanaje naomba ushauri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  7 месяцев назад

      Apo ni Banda la ngazi yaaani cages,