YESU ATUMA UJUMBE HUU DUNIANI KILA MTU AUSIKIE/ASKOFU DR MOSES KULOLA HIZI NI NYAKATI ZA HATARI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • #SYLASS TV ONLINE WASILIANA NASI KWA +255742692079
    UNAWEZA KUTUMA SADAKA YAKO KWA M_PESA +255742692079
    YOU CAN SEND YOUR LOVE OFFERING TO THESE NUMBERS M_PESA +255742692079

Комментарии • 48

  • @DaviaLeroi
    @DaviaLeroi Месяц назад +2

    Mungu anijalie mwisho muzuri kuliko mwanzo

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 3 месяца назад +2

    Ameneeeen Vunja kazi ya Umbaraga na Wu Tchawi na Ulevi na Wongo na Wu Charati na WiVU acsente ❤

  • @elizaedward1851
    @elizaedward1851 3 дня назад

    Amina Baba tutazidi kukukumbuka milele daima.

  • @JamesMely
    @JamesMely 4 месяца назад +5

    I Missed So Much this Really healing gospel 🔥🔥

  • @nicotawi
    @nicotawi 4 месяца назад +12

    Neno Lisiloghoshiwa.!!

  • @tibaabdallah1568
    @tibaabdallah1568 4 месяца назад +3

    Mungu nisaidie nikujuwe zaidi

  • @AsheryShadrack
    @AsheryShadrack 29 дней назад

    Nitakuwa kama moses kulola mungu pokea maombi yangu

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 3 месяца назад

    Ah Musée Kulola we miss you so much mi na Juwa kama Uko Mu Mikono y’a Mungu Baba Wa Mbinguni Yesu Masiyah

  • @RuthBoazi
    @RuthBoazi 4 месяца назад +4

    Halleluya jina la Bwana lihimidiwe,Neno safiii

  • @Gospelmichaelshija2247
    @Gospelmichaelshija2247 3 месяца назад

    Neno zuri la Ufalme wa Mungu mkuu ❤❤🙏🙏🔥🔥🙌🙌🙌

  • @MwakaSchone
    @MwakaSchone 11 дней назад

    Ee mungu anisaidie mim pekeangu siwez.Eeeee mungu niokowe. Okowa watu wako.

  • @deborahlyimo3735
    @deborahlyimo3735 4 месяца назад +4

    Mungu tusaidie,tusiwe wasindikizaji

  • @JactonKai
    @JactonKai 4 месяца назад +1

    amen baba pumzika kwa amani.

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 28 дней назад

    ATA Mie nimeshamuona

  • @SimonPeter-j3r
    @SimonPeter-j3r 4 месяца назад

    Mungu utusaidie usituache mungu WAngu

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 4 месяца назад

    Mungu atusaidie sana

  • @SanaiSaid
    @SanaiSaid 4 месяца назад

    Mungu tusaidie tujuwe neno lako

  • @BarakaSagamba
    @BarakaSagamba 4 месяца назад

    Mungu nishike mkono nifike mbinguni

  • @MabelKaaya-hl2je
    @MabelKaaya-hl2je 4 месяца назад +1

    Amen Amen Amen

  • @mugishomarara9526
    @mugishomarara9526 4 месяца назад

    AMEN AMEN,AMEN...

  • @angelibrahim5539
    @angelibrahim5539 4 месяца назад +2

    Mungu wangu wa mbinguni nisaidie mwisho muzur

  • @SekelaMwakagile-uq4gk
    @SekelaMwakagile-uq4gk Месяц назад

    Mungu tusaidie tuishi kwa kukupendeza wewe

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 4 месяца назад

    Amina

  • @JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq
    @JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq 2 месяца назад

    BWANA YESU KRISTO alikubatiki sana

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 4 месяца назад +1

    Ameen baba mpinga yupo tunatembea nae

  • @Davidmwakipesile-tq7oh
    @Davidmwakipesile-tq7oh 4 месяца назад +1

    Tutetee yesu bila wewe hatuwezi

  • @blandinakimbe8910
    @blandinakimbe8910 4 месяца назад +3

    Bwana ninakuomba niongoze kwa neema Yako,nitende utakavyo

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 4 месяца назад +1

    Yaani huyu mzee jmn nampenda maisha yangu yote.

  • @lillianwakesho258
    @lillianwakesho258 4 месяца назад

    Mm ninashikilia mpaka mwisho,mtume mungu ailaze roho yake pema.

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 3 месяца назад

      Mh usiingizie sara ya marehem utaanguka sik ile, huyo amemaliza kaz, jililie na jihurumie wew na watt wko na wat wa nymbn mwko, huyo Paulo wa nyakat zetu kamaliza vzr, kaz n kwa wew na mimi!

  • @lillianwakesho258
    @lillianwakesho258 4 месяца назад

    Alikuwa mtumishi wa kweli

  • @lillianwakesho258
    @lillianwakesho258 4 месяца назад

    Ee yesu wa Nazareth usiniache,

  • @KristofaNyalyoto
    @KristofaNyalyoto 3 месяца назад

    Ivi naombeni niulize injili kama hii kwnini imepotea makanisani ??

  • @MaryMary-s4u
    @MaryMary-s4u 4 месяца назад +2

    TANZANIA TUOMBE MUNGU ATULETEE MTUME KAMA HUYU SAIVI KELELE ZIMEKUA NYINGI MUNGU ANANGUVU

  • @ChristinaKayange
    @ChristinaKayange 4 месяца назад +1

    Ameni baba!!

  • @johnmadaha5450
    @johnmadaha5450 3 месяца назад

    Hakika Babu yetu nimekumiss kwa Malezi yako

  • @salomeKihaga
    @salomeKihaga 4 месяца назад +3

    Eeh MUNGU TUNAOMBA UTUSAIDIE KUTEMBEA KATIKA MAPENZI YAKO

  • @TerevaeliPallago
    @TerevaeliPallago Месяц назад

    Sijui tupate wapi watumishi Kama hawa

  • @lillianwakesho258
    @lillianwakesho258 4 месяца назад

    Kuishi ni kristo na kufa ni faida.

  • @angelibrahim5539
    @angelibrahim5539 4 месяца назад +3

    Nisaidie bwana nikupendeze wewe bwana

  • @MamaBambala
    @MamaBambala 4 месяца назад +1

    Hubiri hili ni zuri lkn linapendelea wanawake wenye midomo ya uchokozi;halimsaidii mwanaume ;jaribu la kutemewa mate dawa yake nikumuadibisha tu na ndiyo maana unasikia female wanashangilia akina baba hapo hawatetewi na mch.huyo.

  • @EsterMwakikuti
    @EsterMwakikuti 4 месяца назад +2

    Huyu baba mahubili yake bado yanaishi

  • @anthonykiamanywa5201
    @anthonykiamanywa5201 3 месяца назад

    Amen amen

  • @KastorKremens
    @KastorKremens 2 месяца назад

    Amen amen amen