PRF.OMAR WA ACT WAZALENDO AANIKA UKWELI WOTE DENI LA TAIFA ZANZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 91

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 15 дней назад +9

    Mamlaka kamili ya Zanzibar ni lazima hata iweje❤

  • @ShenuuHajji
    @ShenuuHajji 15 дней назад +5

    Sio tatizo kukopa tatizo kulipa na halipi yy tunalipa ss kwa nguvu

  • @SeifSalim-jd1bn
    @SeifSalim-jd1bn 15 дней назад +9

    Minne km laki nne,,Wizi wa pesa za Umma umezid mno ripoti ya mkaguz mkuu wa hesabu za serikali inatok na ufisadi kubwa unaonekana lakin unakuta mwiny yupo kimya hachukui hatua kwsbb pesa za wanyonge hazimuumiz,,Anazidi kukopa kwsbb anajua km halipi yeye,,Maendeleo yanatakiwa yaguse maisha ya watu lakin leo Maendeleo yetu yanagusa vtu.

    • @harithwhite589
      @harithwhite589 13 дней назад

      @@SeifSalim-jd1bn huna maarifa kabisa wewe,huku kwetu kisiwani Uzi tunajengewa daraja ambalo tulilihitaji kwa miaka na miaka sitaki kukufundisha nini faida tutakayoipata ila nataka kukufundisha kuacha kusema kuwa vitu havigusi maisha ya watu,hakuna maisha ya mtu bila ya kitu

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 15 дней назад +10

    Hata wakati akizungumza Husein ni wazi alikuwa anasema uongo tena mchana kweupeeee!

  • @omarsaid7153
    @omarsaid7153 15 дней назад +2

    Wasemavyo " Hii ni serikali ya pirika piriki, hakuhitaji elimu wala ufanisi ktk taasisi yeyote ile ktk serikali hii dhaalim. 🤥

  • @RehemaZakwani-bf9jw
    @RehemaZakwani-bf9jw 15 дней назад +8

    Du mwinyi anasema uongo kwa kujitetea
    Act mpo vizur sana

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 15 дней назад +4

    Mwinyi ni mtu hatari sana tena ni hatari tizama alivomlaghai marehemu maalim Seif akaingia kichwa kichwa

  • @AishaSalum-hq8zq
    @AishaSalum-hq8zq 12 дней назад +1

    Bila ya kupendelea rais amelivua vazi lake kwa raia wake ni vizuri aweke wazi katika jambo aliloliongea kuhusu madeni ya zanzibar

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 15 дней назад +8

    Ndio manawakotayari kuuwa wajazemifuko Yao hawajali safar iliyombele yao

  • @DormanDorman-jm3dz
    @DormanDorman-jm3dz 15 дней назад

    😢Mkasi umekata bahari hadi bawe...mazrui full shangwe

  • @allybin08
    @allybin08 15 дней назад +3

    Duuuh!!!😢😢

  • @alihassan-m5c9c
    @alihassan-m5c9c 15 дней назад

    Mazrui ana akili

  • @shahidmaftouh1141
    @shahidmaftouh1141 15 дней назад +1

    Huyu jamaa wa mkuranga hussein mwinyi, alipo toa hutuba yake, ukiwa na upewo basi, hata muonekano wake ni muongo, atuachie zanzibar yetu, for the grace of Allah,in peace ✌️

    • @feyxalbarry4595
      @feyxalbarry4595 15 дней назад

      Zanzibar ipi mpemba ana Zanzibar,mwenye Zanzibar ni muunguja na ndio mana mlivotakiwa kushiriki mapinduzi mlikataa kwakusema nyinyi hamtawakiwi na sultan bali mnatawaliwa na mkamandume Leo hii mnapata wapi nguvu yakudai Zanzibar hao viongozi wenu wanakwambieni ukweli lakin au unapelekwa tu kma magombe mana hiyo Pemba mlitaka kujiunga na Kenya kuwa nchi moja vip mnaambiwa na hayo

    • @feyxalbarry4595
      @feyxalbarry4595 15 дней назад

      Zanzibar ipi mpemba ana Zanzibar,mwenye Zanzibar ni muunguja na ndio mana mlivotakiwa kushiriki mapinduzi mlikataa kwakusema nyinyi hamtawakiwi na sultan bali mnatawaliwa na mkamandume Leo hii mnapata wapi nguvu yakudai Zanzibar hao viongozi wenu wanakwambieni ukweli lakin au unapelekwa tu kma magombe mana hiyo Pemba mlitaka kujiunga na Kenya kuwa nchi moja vip mnaambiwa na hayo

  • @alihassan-m5c9c
    @alihassan-m5c9c 15 дней назад

    Kwani viongozi wa ACT wao wamefanya nn watwambie ata kisima Cha kata walichochimba

    • @BinSultan-t5g
      @BinSultan-t5g 14 дней назад

      Unafaa kupewa tunzo ya mjinga bora wa karne

  • @HajjiHaruon
    @HajjiHaruon 15 дней назад +3

    Ndo minne kama mia nne iyo

  • @simaimohd3557
    @simaimohd3557 15 дней назад +2

    Mwinyi FIVE AGAIN

  • @kassimbakar6514
    @kassimbakar6514 15 дней назад +1

    Duh

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 15 дней назад +4

    HAO ndio chukua chako Mapema, tayari bwana mkubwa kachukua CHAKE yy na wenzake na farmily yske HATARI hawa watu

    • @zinjibaryetu8451
      @zinjibaryetu8451 15 дней назад +1

      Anatufisidia nchi yetu halafu arejee kwao Mkuranga

    • @FaridaAly-r5n
      @FaridaAly-r5n 15 дней назад

      Tena ni hatari kuliko ukoma

  • @mrmahmoud1278
    @mrmahmoud1278 15 дней назад +3

    mambo ya madeni mtajua nyinyi tunachojali ujenzi unaendelea tu, na barabara tunazipita

    • @MohdSuleiman-k1o
      @MohdSuleiman-k1o 15 дней назад +3

      Na ww utajua mana dhik hatuipat sisi tu hata na ww umo na ww utalia Kodi watu wanastarehe na maisha na Wala usije ukalalamika kwamba maisha ni magum

    • @abdallahmohd3777
      @abdallahmohd3777 15 дней назад +3

      Nisawa ss tutajuwa kwasbbu zanzibar inatuumiza kuliko wewe mzanzibara,kwaiyo iyobarabara utabaki kupanda daladala huna faida nayo

    • @IddiKhamis-u6c
      @IddiKhamis-u6c 15 дней назад +2

      Huna huruma wala uchungu wa nchi. Ila utaelewa tu inshallah.

    • @DohaQatar-w4t
      @DohaQatar-w4t 15 дней назад +1

      Pesa huna unaishi kwenu n Kula kwenu

    • @mrmahmoud1278
      @mrmahmoud1278 15 дней назад

      @@IddiKhamis-u6c unaumia na maendeleo pole sana

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 15 дней назад

    Africa matatizo tu na Chuki..... Deni kuongezea ni kawaida tu kwa nchi hizi.... mwisho sasa hakuna Hoja hii ishakuwa hoja.... mwenye akili ndo watafahamu.......
    Mambo makubwa yanafanywa hii hoja itaisha muda sio mrefu.... SIASA TUU.....

    • @AishaSalum-hq8zq
      @AishaSalum-hq8zq 12 дней назад

      Wewe hujui mambo ya kiuchumi em uliza hayo mataifa yalioendelea kuzidisha madeni ndio maendeleo katika taifa au ndio kufisidi uchumi wa taifa? kopa ulipe sio tunakopa na kukopa tena na tena uyu jamaa anaitwa doctor ila sio doctor wa watu wala wanyama sijui ata uo udoctor kauokota wapi!

  • @PiliHakimu
    @PiliHakimu 15 дней назад +1

    Sasa tumuamini Nani mana wanasiasa mnatuchosha

    • @Mussahamadi-q3g
      @Mussahamadi-q3g 14 дней назад

      Akili kichwani mwako ww muangalie mtu2 akiongea ukweli unamjua na akiongea uongo un amjua

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 15 дней назад

    Hakuna ubaya kukopa hata Marekani na Russia wanakopa pia

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 15 дней назад +1

    Unaposema miradi ya maendeleo haijatoa matokeo kwa wananchi wa kawaida unamaanisha nini,
    Unamaanisha maskuli na mahospitali yanayojengwa si katika maslahi ya wananchi, ujenzi wa bandari mbalimbali si katika maslahi ya kitaifa,ujenzi wa masoko mbalimbali si katika maslahi ya ki uchumi katika hali za wananchi,ujenzi wa miundombinu kama barabara na madaraja si katika maslahi ya ki uchumi kama taifa,
    Ki ukweli hapa hapana Cha maana kilichosemwa ni hatari watu hawa kwa wasikilizaji wasiotumia akili

    • @JRN2612
      @JRN2612 15 дней назад

      Wewe unazo akili?

    • @nassorseif7907
      @nassorseif7907 15 дней назад

      Mwinyi ana dkt ya uongo vile vile asenge mwambia maalim ingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa yote tutaeka sawa baada ya kuingia nini kakifanya zaidi ya uongo

    • @MohamedAbdalla-tq8qo
      @MohamedAbdalla-tq8qo 15 дней назад

      Hatar zaid ni ww kw ukereketwa ulokujaa

    • @IddiKhamis-u6c
      @IddiKhamis-u6c 15 дней назад

      Ondosha njaa nchini, wape watu ajira, matibabu wape bure sio kuwapa dawa za elfu 2. Ikizidi dawa ya elfu 5 anaambiwa akanunue. Kisha ndio jenga nchi. Ukiona watu wanaanza kulalamika ujue hapo kuna tatizo.

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 15 дней назад

      KIAPO CHA MWIZI UONGO
      MWIZI NI MWONGO

  • @jumamambo7471
    @jumamambo7471 14 дней назад

    Huyu muhuni kam wahuni wengine kule miembe saba jombo lake linamshinda yaan huyu jamaa hafai kuongoza ata shehia licha ya kupewa nchi nnachokiona mm ni upotoshaji tu kwa jamiii maana mwenye kujuwa ukweli ashabainisha ukweli doctor mwinyi mlobaki mnapiga porojo tu na njaa ndo inayomsumbua huyu jamaaa

    • @Mussahamadi-q3g
      @Mussahamadi-q3g 14 дней назад

      Lakin huenda ikawa porojo kiupande wako2

  • @Bmsecret
    @Bmsecret 15 дней назад +2

    Mwinyi anawasha kwa kuongo

  • @hamadfaki7625
    @hamadfaki7625 15 дней назад

    Asiwadanganye hyo yeye nimuakilishi wa jimbo la pandan hajatekeleza hata Moja ktk alio ahid na kama yapo atuambie kufanya lip ? Mm namuhoji yeye kwanza na tuta anzakumpinga yy Kwanza muache aje tena tu huku tunamsubr

    • @AishaSalum-hq8zq
      @AishaSalum-hq8zq 12 дней назад

      Sawa ila katoa takwimu za kweli. Je huyo rais wa nchi mtu ambae hapaswi kuwadanganya raia wake kwa nini atoe takwimu za uongo anajenga imani gani kwa watu wanaojielewa? zanziba kuna watu wenye akili hususan katika hesabu hata kama haukusoma ila yeye amewaona ni kama wale ndugu zake vichogo apa ameyakanyaga 2025 imeanza vibaya kwake.

  • @mchagagaspar6649
    @mchagagaspar6649 15 дней назад +1

    ALIZALIA WAPI NA KUKUKIA UBALOZI WA CAIRO HAKUWAHI KUKANYAGA CHANGARAWE ZA MCHANGA WALA KULA MCHICHA NA MAPEMBE ITAKUWAJE AJUWE HAKI ZA WANYONGE !!!

  • @OmarKombo-h2j
    @OmarKombo-h2j 15 дней назад

    Kudaiwa sio zambi hata mwenyezi mungu amesema kabla maiti hajazikwa yanadiwe na kulipiwa madeni yeke hii imetokana na kwamba mungu mwenyewe anajua kuwa watu watakufa na madeni tatizo nini tena au mtakuja kugongewa mlango ACT MKALIPE DENI. Tulieni bwana hamna maneno MITANO TENA KWA HUSSEIN MWINYI CCM OYEEEE

  • @IsayaMala-v1r
    @IsayaMala-v1r 15 дней назад +2

    Bandika bandua

  • @hishamabdull2897
    @hishamabdull2897 15 дней назад

    wacha tudaiwe tutalipaaa aliyo yafanya tumeonaa

    • @fahmysaid-zw4np
      @fahmysaid-zw4np 15 дней назад

      mpaka hapo ulipo yamekunufaisha nn wey binafsi sema kwwli sio mihemko

  • @mussasaidhamad1891
    @mussasaidhamad1891 15 дней назад

    Proff Omar wasema ni ni hasa wewe??? natamani siku moja nikuletee vile vipeperushi ulivyotoa vya ahadi zako kule jimbo la Pandani halafu uainishe katika yale yoote umefanya lipi na umeacha lipi, nikilinganisha juhudi zako binafsi za maendeleo kule jimboni Pandani naona hasa wewe na chama chako hamfai hata kuongoza shehia moja ya Zanzibar sio jimbo mkoa wala Taifa

  • @hajikiame7551
    @hajikiame7551 15 дней назад +1

    Act Amna Sela yoyote mnatafuta mazaifu ili mladi mu pate madalaka ampati. Mkasi utaongea

    • @MmangaKombo
      @MmangaKombo 15 дней назад

      Wewe ni MTANGANYIKA ndyo maana unaona act wakipata serekali tutakuwa na mamlaka kamili bila kuwategemea nyinyi

    • @DohaQatar-w4t
      @DohaQatar-w4t 15 дней назад +1

      Weee mlevi kweli Sera Zanzibar freee kutoka kwa wanyamwezi wenzako kuhani wee WA ccm

    • @kassimmohd
      @kassimmohd 15 дней назад +1

      Sela kweli hawana ' ila sera wanazo nzur tu pia madalaka hawatopta DAIMA ila madaraka lazima kupata 2025 inshallah

    • @abdallahnassor7055
      @abdallahnassor7055 15 дней назад +2

      Madalaka, sela, jamani huyu katokea wapi?

    • @kassimmohd
      @kassimmohd 15 дней назад +1

      @@abdallahnassor7055 MTWANA wa Tanganyika nadhan hukuna mzanzibar anaongea hvyo

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 15 дней назад

    Sote tuna madeni utaweza kuongoza bila ya kukopa huo usanii kinachokopwa kinaonekana semani nanyie mnatamani madaraka hapo ntakunali

  • @mussasaidhamad1891
    @mussasaidhamad1891 15 дней назад

    kwani mwadaiwa nyinyi kudaiwa ni sifa ya mwanamme jaman, hapa ACT mnatutisha maana kama mnaogopa deni hamuwezi kuongoza nchi kabisaaaaa

    • @fahmysaid-zw4np
      @fahmysaid-zw4np 15 дней назад +1

      km mwanaume haogopi deni bas lipa weye lakin km wanalipa wazanzibar maskini bas nyamaza kimya

  • @NDEWARA
    @NDEWARA 15 дней назад +1

    Malalamiko jazz band 😂😂ACT acheni uzandiki. Hakuna asiyekopa. Muhimu mkopaji awe na uwezo wa kulipa na Zanzibar ina uwezo mkubwa wa kulipa

    • @JumaOmar-kp8rx
      @JumaOmar-kp8rx 15 дней назад +1

      Chawa

    • @fauzkhamis757
      @fauzkhamis757 15 дней назад

      Kumbe ilikuwa hakuna haja ya Kukopa! Mzigo wote unatuelemea sisi... Wengi wwtu Hatuna Ajira za Uhakika! Ingelikuwa Huo Mkopo na Msaada Mwengine Fedha zilizopatikana Akili yangu Mchanga BASI zingeliingizwa kwenye kitengeneza ajira kwa Vijana wa Zanzibar... AngelitangazA Zanzibar ya Viwanja NA Uvuvi wa Bahari Kuu. Vijana wangilipata hela ya kulilipa hilo Deni LENYE faida. Lakini Masisiem na ilani Yao isiyotekelezeka Bila ya mikopo na Ufisadi ndani yake... Barabara na Skuli... Vichekesho! Hawana Mbinu ya Kufanikisha Ajira kwa Vijana... Vikosi??? Wote tuwe Wauwaji??? 2025 is the Big Bang! Boom! Big Change!

    • @zinjibaryetu8451
      @zinjibaryetu8451 15 дней назад +2

      Nani alokwambia Zanzibar ina uwezo wa kulipa madeni haya ikiwa watu wetu maji na umeme mpaka tu mpaka leo ni kitadandawili? Acheni kumpigia debe Dr Mwinyi na kumpa sifa asizostahiki

    • @IddiKhamis-u6c
      @IddiKhamis-u6c 15 дней назад +2

      Uwezo wa kulipa haina. Na ndio maana inaleta utitiri wa kodi ili wapate kulipa. Nchi imejaa ufisadi. Ila utaelewa tu inshallah.

    • @AhmeidYussuf
      @AhmeidYussuf 15 дней назад +1

      Ni ajabu sann kwmb unawez kucoment ila unshindw kujua km Zanzibar haina uwez w kulip n ufhm pes tutalip had vizaz vyet so kun wakt km n mzanzibar muogope mungu

  • @ahmedkhator3968
    @ahmedkhator3968 15 дней назад

    Sasa Tumuamini Nani mbina wanachi mmatueka njia Panda?

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 15 дней назад +2

      Nani kakueka njia panda wewe ni ccm tu

    • @khamisBaharia
      @khamisBaharia 15 дней назад

      fanya research usiwe mjinga kupita kiasi

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 15 дней назад

    HOJA ZIMEFILISIWA KWA KWELI ASAIVI IMEKUWA KUSUBIRI ISHU TUU... DOH....
    Nyie wenyewe njaa mkiipata Serekali leo basi kwanza mtataka kujaza matumbo yenu WAAFRIKA WOTE SAWA TUU... ANGALAU HUYU ATAWACHA MADENI NA VITU VYA KUONEKANA TUWACHENI TUSALI TULALE....

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 15 дней назад

    Hakuna lolote mnautaka ulwa tuu