MHE JUSSA ATOWA SIRI YA AMWAMBIA RAIS MWINYI CCM HAWAMTAKI ACT NDIO KABISA AJIANDAE KUONDOKA 2025

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 71

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 Месяц назад +3

    Mungu anaifedhehesha mibunju hiyo Hila na mbinu zenu zimefikia mwisho.. inshallah..

  • @iddi29
    @iddi29 Месяц назад +3

    Pamoja sana viongozi wetu❤❤❤

  • @madogoentertainment2578
    @madogoentertainment2578 Месяц назад +2

    Wanasiasa ni waongo sana wala usiwaamini

  • @AslihanKhamis
    @AslihanKhamis Месяц назад

    Purukushani zote walizonazo kujenga mabarabara majumba lakini bado hawaamini Mbeto anawaambia waandishi wa habari wamnadi dk. Mwinyi kwa anayoyafnya

  • @SleiyumAbdallah
    @SleiyumAbdallah Месяц назад

    Wanafiki nyinyi kina jussa nyotee mnakula sehemu moja

  • @Ayub-b9h
    @Ayub-b9h Месяц назад

    Dah hawa act wanatia huruma sana

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 Месяц назад +2

    Mwacheni atumalizie barabara mahospt masoko hospto

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад +1

      Barbara kwetu sio issue wala hospitali kwani Zanzibar ilipopinduliwa hakukuwa na hivyo?tena hayakuwa MAJENGO Bali ni hospitali na while Hasa ambazo walisoma viongozi wote walioongoza Zanzibar

    • @kassim1262
      @kassim1262 Месяц назад +1

      Uhuru kwmtu anaejitambua unathamani kubwa kuliko chipsi kuku kwamjinga barabara nahospitali nivitu ambavyo vipo zamani tu

  • @radaonlinetv1922
    @radaonlinetv1922 Месяц назад

    Wazanzibari wanahitaji maendeleo nasio Siasa za Debe tu... Zanzibar ya Jana sio ya leo. Miradi ya maendeleo kila kona... Mwinyi anatisha

  • @w4058
    @w4058 Месяц назад

    Wanawaweza vizuri ila mijambazi Tu CCM kwa kutumia pesa za walipa kodi kuwatumia polisi Hasbunallah Waniimal Wakiil

    • @BakaryOmally
      @BakaryOmally Месяц назад

      @@w4058 hiyo kauli yenu ya hasbunallwah waniimal wakil mnaitaji kwa ikhlaswi au kwa dhihaka?? Mnajua hayo ni maneno ya mungu bora mtumie majina mengine

  • @TeamKRX
    @TeamKRX Месяц назад

    Wanatia huruma Kwa majambazi wakubwa ccm au nyooo

  • @SmilingTropicalSailboat-op2jk
    @SmilingTropicalSailboat-op2jk Месяц назад

    jusa bhana anachekesha sana mm naangalia t video zake ila kama mpka leo ameweza kuishi bila ya kuoa kuhofia majukum atakuja kuweza jukum la wat wote jaman

    • @kassim1262
      @kassim1262 Месяц назад +3

      Naww unachekesha sana kwmba wtanganyika wshasema serekali mbili kuelekea moja mpk leo unaunga mkono serikali moja yznzbar ifutwe unaunga mkono znzbr iwe koloni latanganyika au kwakua naww mtanganyika 😂😂😂

    • @SmilingTropicalSailboat-op2jk
      @SmilingTropicalSailboat-op2jk Месяц назад

      @kassim1262 sikiliz broo nikwambie ambacho kitakufaa leo mpka kesho kwanz nikuuliz hivi jusa au othman masoud kuna kit gan ambacho wamekifanya mpka ukahis kwel wana manufaa na ww kwanz faham kuwa othman masoud n makamo wa rais ana uwezo ata wa kusimamia mradi ata wa kujengw mnara ila wap kafanya hilo jambo maana huyu jusa ntamuonea bure yy hana lolote mt t

    • @kassim1262
      @kassim1262 Месяц назад

      @@SmilingTropicalSailboat-op2jk Umekoment maoni yko ww namimi nimekoment maoni yangu ukija kwenye msaada em nambie ww kwnza kuna kiongozi gani amekusaidia na ueke icho alichokusaidia hlfu namimi nitakwambia nilichosaidiw na nitakiweka au nitakitja ukijue

    • @SmilingTropicalSailboat-op2jk
      @SmilingTropicalSailboat-op2jk Месяц назад

      @kassim1262 mm cha kwanz ccm wamenisaidia kuniletea barabara hadi mlangoni kwang kujenga hospital pembezon mwa nyumba yang kutupatia mtaji w kujiajiri kupitia wao wenyew nk

    • @SmilingTropicalSailboat-op2jk
      @SmilingTropicalSailboat-op2jk Месяц назад

      je ww ACT wazalendo wamekusaidia nn

  • @shazilali945
    @shazilali945 Месяц назад

    Kwa maneno mushashinda lkn kwa kura mtasubiri sana

  • @AliKhamiss-r5k
    @AliKhamiss-r5k Месяц назад

    Ww jussa tulia t nchi cio km sahan upewe t kilain ivo nchi ina wenyeweeee 😂😂😂😂

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 Месяц назад

    Bado muna mipasho.kampeni za kizamani.nyote ndio wale wale

  • @AdamuMohd-vl2nk
    @AdamuMohd-vl2nk Месяц назад +1

    Mm namkubali sana dkt mwinyi matusi yote anayo pewa lakin hamjibu mtu matusi mashaaallah mungu akulinde mhe RAISI

    • @ramzsule7678
      @ramzsule7678 Месяц назад +3

      Ni uoni wako sikubishii ila kwanza hajatukanwa hizo ni hoja anatakiwa ajibu

    • @saidal-hind5338
      @saidal-hind5338 Месяц назад +3

      Kiupande wako lkn yy ni tofaut na wengine lkn sisi tunalilia nchi mfano dr mwinyi awe mzuri je yupo ktk mfumo upi ngoja amalize miaka yk huyo atakayekuja dr mwinyi bila ya mama asingefanya kitu amiin mm kaka

    • @w4058
      @w4058 Месяц назад +2

      Hatukani anapewa ukweli wacheni upumbavu

    • @w4058
      @w4058 Месяц назад

      Ramzsule 7678 nakuunga mkono 100%

    • @w4058
      @w4058 Месяц назад

      Biidhnilah Taala atusimamishie haqi na batil aiweke upande

  • @AbdusamadAttassy
    @AbdusamadAttassy Месяц назад

    Huyu benched anathema nini arudishwe india

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq Месяц назад

    Sasa,nimeamini,Karne,ya,ishirini,namoja,bado,mnahis,mwarabu,do,ccm,mnamuogopa,mwarabu,mnatawaliwa,nawanao,tawaza,kwanza,kunya,baadae,inalilah,wainailah,raj,un

  • @IddZaharan
    @IddZaharan Месяц назад

    Maneno mengi watu wakikaa majukwaani ila rais mwinyi yupo juu ya msitar mm sasa hivi sijawah kukaa kwenye foleni kwa gar njia kila sehemu hyo ni mwana kuku lalala hatutak

  • @MudrikSalim-x2j
    @MudrikSalim-x2j Месяц назад

    Hamuna lolote nyinyi jusa sisi hatutaki maneno tunataka maendeleo

    • @Allybinamour
      @Allybinamour Месяц назад

      maendleo bila mamlaka kamili hayawezi kuja.

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 Месяц назад

    Zanzibar haitataliwa na mwarabu kamwe..labda tanzania iwe haipo

    • @MohdSuleiman-k1o
      @MohdSuleiman-k1o Месяц назад +1

      Ww kichogo unasemaje

    • @NassorBinSalum
      @NassorBinSalum Месяц назад +1

      Wewe mvaa Kaniki ulokuwa huna utamaduni mtanyika Zanzibar haikuhusu

    • @eliakazilo6078
      @eliakazilo6078 Месяц назад

      Aliekwambia kaniki sio nguo Nani? Babu maungo kusitiri, kwani sio sawa na msuli?

    • @user-chichi1993
      @user-chichi1993 Месяц назад +2

      Tatizo majitu ya nyanda za juu hayana ubinaadamu kazi yao kuuwa tu tumeshashuhudia matukio kibao zanzibar kutokana na kuwaamini kuwaona watu mwisho wa siku wanauwa wapate kuwa matajiri ila hakuna marefu yasiokuwa na mwisho neno 1 tu mungu atosha

    • @mahfoudhally2879
      @mahfoudhally2879 Месяц назад

      Hhhhhhh wewe mjinga hivi hujui kama samia muarabu basi tumeanza tanganyika

  • @SmilingTropicalSailboat-op2jk
    @SmilingTropicalSailboat-op2jk Месяц назад

    kaekewa kigari hapo au

  • @AliHamad-v5l
    @AliHamad-v5l Месяц назад

    Porojo nililelile

  • @MudrikSalim-x2j
    @MudrikSalim-x2j Месяц назад

    Uncle yabgu Rashid chido mpka kaondoka duniani hakuna mulicho mfanyia hakuna maneno mengi tuu nyinyi sisi haturudi act nyinyi mupo kwa maslahi yenu tuu

    • @NassorBinSalum
      @NassorBinSalum Месяц назад

      Wewe umesha expaya nenda huko ccm wewe ni jitu la bara ni mtanganyika wewe

    • @hajijabir8677
      @hajijabir8677 Месяц назад +1

      wewe ccm .sisi hatu wataki madhalimu mwaka 1964 waliwaua mababu Zetu bila hatia mwaka 2001 ccm mkawauwa ndugu zetu bila hatia mwka 2020 ccm wakatulia ndugu zetu bila hatia alafu mazalimu hawa uwaunge mkono bora ukaa huna chama kuliko kumunga mkono dhalimu.anayemuunga mkono zalimu nayeye ni dhalimu.

  • @HafidhMwinyi-fp2po
    @HafidhMwinyi-fp2po Месяц назад

    Kumbaro pumba

  • @rushydahmed9179
    @rushydahmed9179 Месяц назад

    TIFU ni tv gani ya CCM? haioneshi 'mass' watu wakaona, inakuwaje?

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Месяц назад

    Tafuta Mke ukaowe upate Heshime ww

    • @Allybinamour
      @Allybinamour Месяц назад

      kweli inauma enh?

    • @omarhusna1766
      @omarhusna1766 Месяц назад +1

      Wewe kama hujaolewa jusa Ana kutaka tuje tukuposi weye

  • @BakaryOmally
    @BakaryOmally Месяц назад

    Jussa uongea unavyoweza kutokana na uhuru wako lakini ukweli dr mwinyi amefanya mazuri mengi

    • @ramzsule7678
      @ramzsule7678 Месяц назад

      Kama lipo?

    • @SalumSafkim
      @SalumSafkim Месяц назад

      Umeshiba ww

    • @BakaryOmally
      @BakaryOmally Месяц назад

      @@Sheba4651 kila siku kazi yenu kulia tu kua mnapigwa wapumbavu haya nendeni mkaseme marekani

    • @MohdMkubwa-v8k
      @MohdMkubwa-v8k Месяц назад

      Kaulizie hali ya wafanya biashara kwerekwe hali ya maisha ilivo saiv ndio utajua kama kuna maendeleo au laa

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed Месяц назад

    Ccm ❤❤❤hamuwawezi kwa mbinu🎉🎉🎉

    • @SaidaliKhamis-v4p
      @SaidaliKhamis-v4p Месяц назад

      Ccm hawana mbinu kuiba kwa nguvu sio mbinu mbinu ni kuchukuwa bila mwenye kuibiwa hajui hiyo ndio mbinu

    • @eliakazilo6078
      @eliakazilo6078 Месяц назад

      Anaetaka kumuondoa Mwinyi ataondoka yeye..hata kwa macho hamuoni? Jusa kafanya Nini Cha AJABU? Kazi kuchonga mdomo ,kajaza mi mavi kinywani

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 Месяц назад

    Jusa huwijui siasa mara useme pesa za harusi ya mwanao umepata wapi nimambo ya kipuuzi mwanasiasa huwezi kumuuliza mwanaume mwenzio pesa za harusi ya mwanao umepata wapi