Dudubaya unatatizo kubwa sana la kisaikolojia unahitaji msaada wa therapy hauko sawa kabsa kaka ndiomaana macho yako yanatazama mabaya ya wenzako kila siku lakin yako huyaoni. Yan leo mara uongee iv kesho uongee vile . Kuna interview moja nilikuskia ukisema unamkubali sana jux kwasab anaimba vizur lakin pia kwasabab huwa anakupa nguo za kuvaa mf. African boy T-shirts Leo unamchafua tena dah!!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 atariiii
Mmmh..!! Mtu Mzim Ovyo Kbs Ndo Nimehamin😂😂😂😂
We leave our life men,alishawahi kusema wasanii wanapigwa miti😂😂😂😂😂😂
Wanapigwa mitii🤣🤣🤣🤣🤣
Hili jamaa bhana
Mbona kama mlevi
😂😂😂😂😂😂shida
Hahahaahaha
Lukamba pia kaliwa Nyuma na P Diddy..huko ni ukatili wa futa ya p Diddy
Na we si ulikua msanii vip ulishapigwa miti😂😂😂😂