Godzilla ft Marco Chali - KingZilla(Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 22

  • @jrxavihernandez7319
    @jrxavihernandez7319 Год назад +4

    Ubarikiwe mwanangu dude nimelitafuta sana hili..japo quality sio kali sana lkn fresh mzee🔥🔥

  • @mahembemahembe
    @mahembemahembe 10 месяцев назад +5

    Jamaa alikua nomaaaa😂

  • @lukindofabian6432
    @lukindofabian6432 6 месяцев назад +3

    kingzilla mimi hadi leo naielewa hii ngoma heey kingzilla ni balaaa

  • @clintoncliff772
    @clintoncliff772 2 месяца назад +3

    We feel it men, rest in peace brother we miss you men🕯️🕊️

  • @Gopale-e4g
    @Gopale-e4g 6 дней назад

    😢 kila nikiiskiliza na kuicheki hii ngoma nataman kama wanarudigi nife we urud mwanangu😢😢

  • @AmmyWeb-du8sh
    @AmmyWeb-du8sh 10 месяцев назад +5

    Tafteni MTU kama huyu na mkimpata dunia itakua mwishoni R.i.P king ZillaH pengo lako wakuziba huku hayupo by Alfredo Zillah

  • @stangamba9017
    @stangamba9017 3 месяца назад +4

    Rest easy Kingzilla

  • @official_lionboy_tz
    @official_lionboy_tz 10 месяцев назад +3

    I remember this song remains to shine in gold. It was in 2011. R.I.P King Zilla 👑🕊🕊✊🏽

  • @GodsonwilfredMugisha-r9o
    @GodsonwilfredMugisha-r9o 17 дней назад

    Noma sanaa nakumbuka mbali sana😢😢😢😢😢

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum 2 месяца назад +1

    Mwaka 2025 Ngoma yako bado inaishi kwa wahuni, Asante mwanetu kwa kutuachia urithi.

  • @MohamedMaziku-lw6rw
    @MohamedMaziku-lw6rw 6 месяцев назад

    Hii talent ilikua ya moto sana thanks bro umepushii hii Tz HIP HOP tumebakiwa na LEGACY yako tu

  • @stephanoplugendo3861
    @stephanoplugendo3861 Месяц назад

    Mara ya kwanza niliisikiliza Ngoma hii mwaka 2011 nikiwa form 3. Rest in peace #Kingzilla

  • @DanyMadebe
    @DanyMadebe Месяц назад +1

    Aktok ngwair wew

  • @mwitanyahiri4586
    @mwitanyahiri4586 Месяц назад

    Aisee,maisha haya

  • @JumaYahaya-g2f
    @JumaYahaya-g2f 4 месяца назад +2

    R.i.p king godzilla

  • @mwihomekegod2396
    @mwihomekegod2396 Месяц назад

    Ngoma bado inaishi

  • @BahatiMkola
    @BahatiMkola 3 месяца назад +1

    Rip king zillah❤️💔

  • @matataeliud9125
    @matataeliud9125 4 месяца назад +1

    R.i.p zilla

  • @omarymbinga6652
    @omarymbinga6652 2 месяца назад

    noma sana

  • @saidsalim-kp7wn
    @saidsalim-kp7wn 4 месяца назад

    R I P ZIZI

  • @HarunaFeruzi
    @HarunaFeruzi 3 месяца назад

    😢😢

  • @samchris1914
    @samchris1914 3 месяца назад

    Zillah