MWL C MWAKASEGE: FAIDA ZA KUJAZWA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU MWANZONI MWA KIPINDI CHAKO KIPYA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 65

  • @nemaodhiambo7274
    @nemaodhiambo7274 3 года назад +23

    Baba na Mama ninawafuatilia tokea nikiwa mtoto miaka hiyooo semina ilikuwa ikifanyika pale Philips viwanjani Arusha 😭😭😭 nimekumbuka mbali na Leo Nina watoto naomba Mungu awabariki sehemu ya roho ya huduma iliyo ndani yako watoto wangu Gabi Daniel na Gloria nilimpenda Mungu Sana anayehubiriwa katika YESU mpaka sasa nampenda huyu MUNGU amenitoa mbali kama si Yeye nisingefika Leo.

  • @angelamdee9319
    @angelamdee9319 3 года назад +10

    Ee Mungu katika Roho Mtakatifu, mafuta mapya juu ya watumishi wako kila iitwapo leo!!!

  • @BorauzimaAurelie
    @BorauzimaAurelie 19 дней назад

    Mungu akubariki nakutakiya mwaka mpya wa Amani nasalama,Niko Congo goma

  • @joycemajule2846
    @joycemajule2846 2 года назад +2

    Mmekuwa Msaada Mkubwa KATIKA maisha yangu ya kiroho na kiutumishi.
    Masomo yenu yamekuwa majibi ya maswali yangu kwa miaka migni Sana na sasa Mzee na muona mUngu kwenye Utumishi wenu. Amen

  • @blessedtumaini516
    @blessedtumaini516 3 года назад +9

    Mungu Baba asante kwa ajili ya watumishi wako hawa Christopher na Diana Mwakasege hakika wamekuwa baraka kwangu na uzao wangu. Mungu Baba wape haja ya mioyo yao nguvu zao zisipungue na macho yao yasipofuke kama Musa. KUMBUKUMBU LA TORATI 34:7

  • @raymondroyer7414
    @raymondroyer7414 3 года назад +3

    Ubarikiwe Mungu wetu wa Mbinguni Kwa kutujalia Utumishi wa Watumishi wako Christopher na Diana Mwakasege Kwa Neno la Uzima Amen

  • @DanielOnyango-r4o
    @DanielOnyango-r4o Год назад +1

    Naomba kuombewa wokovu

  • @anophrinedesdeus6139
    @anophrinedesdeus6139 3 года назад +5

    Nipo katika lango la msimu mpya na ghafla nimekutana na somo hili. Sifa na Utukufu ni kwa Yesu

  • @nemaodhiambo7274
    @nemaodhiambo7274 3 года назад +9

    Nimejifunza mengi sana kupitia mana ministry na nilipolitendea neno la Mungu kazi nilipata matokeo mazuri Ijapokuwa nipo nchi ya ugeni Bwana anaonekana napia niko katika subira namgoja Bwana Kwa saburi maana pamoja na mapito magumu ninayopitia sasa ameoniondolea (hasira na haraka) 😀😆 with all circumstances actually people who close to me they wondering that where do I get energy when they see me with a big smile on my face and still on storms because storms don't last forever his grace is sufficient, indeed GOD is good and faithful

    • @lightnesskweka4774
      @lightnesskweka4774 Год назад

      Wooow this one is gud. Glory be to him. Jesus Christ n our God might God 🙏🙏🙏🙏

  • @henrymushi8340
    @henrymushi8340 3 года назад +3

    Mungu akulinde mwalimu na familia yako na team nzima ya Mana

  • @jessejackson1281
    @jessejackson1281 2 года назад

    Amen Watumishi narikiwa Sana kwa mafunfisho yenye viwango vya kimungu kiroho- nawapenda Sana aswa napoisikiliza sauti ya Mwalimu mwakasege mapata Furaha kutokana na anachokifundisha kimebeba uhai wa kiroho- ndani yangu Thank Jesus

  • @joycenuhu1566
    @joycenuhu1566 2 года назад

    Mungu awabariki sana Nawapenda sana, Mungu naomba unikumbuke najiunganisha na madhabahu hii.

  • @ABSALOMUADREA-dq4gy
    @ABSALOMUADREA-dq4gy Год назад

    Utukufu na heshima ni kwa Mungu aliye hai 💪

  • @joycemajule2846
    @joycemajule2846 2 года назад

    Shàlom, Mungu Awatunze na KUWALINDA na kila vita toka kwa adui Shetani

  • @kaylamariani3142
    @kaylamariani3142 3 года назад +1

    Nina mshukuru mungu Sana kwa kutuma mtumishi Kama wewe mungu azidi kuku inuwa zaidi na zaidi

  • @saraheliud3913
    @saraheliud3913 2 года назад

    Nashukuru sana kwa mafundisho

  • @ApostleMathayonnko
    @ApostleMathayonnko 2 года назад

    Jamani huyo mwimbaji nimempenda ,dada ubarikiwe Mungu akumwagie mafuta mengine zaidi.

  • @tresorkulimushi716
    @tresorkulimushi716 2 года назад

    Ubarikiwe sana na Mungu mwalimu

  • @kesiamungututeteeezekiel4603
    @kesiamungututeteeezekiel4603 3 года назад +1

    Tunaamin mtatuwekea mwendelezo wa SoMo hili, nimebarikiwa sana

  • @elizabethliving4021
    @elizabethliving4021 2 года назад

    Amina baba mung akulinde

  • @dominicgreyson3734
    @dominicgreyson3734 3 года назад +1

    aminaa mbarikiwe sanaa na Bwana yesu

  • @celinetenende5448
    @celinetenende5448 3 года назад

    Bwana Yesu asifiwe Napenda kumshukuru Mungu kwa kupata nafasi ya kusikiliza neno lake Ila ninaswali wapendwa wa Mungu mm kila ni kiangalia saa huwa nakuta namba za kufanana kila Mara Yani mfano 11:11,10:10,9:9,3:3 12:12 lasivyo sitafanana kima tamshi yaani 11:5,4:10 kwakweli sielewi inamaana gani hii msaada wenu kwa anayejua hiii imekaaje.

  • @dennismourice7359
    @dennismourice7359 3 года назад +4

    Shalom wajoli wa Bwana. Nawiwa kujifunza juu ya mzaliwa wa kwanza na pia somo la kujitathimini. Naomba kama ikiwezekana yarudishwe

    • @mchernestnnko9809
      @mchernestnnko9809 2 года назад

      Mungu ameniponya mengi sana kupitia mtumishi wake

  • @josephinevicent1010
    @josephinevicent1010 2 года назад

    Amen.naomba nitembee na yesu

  • @nemaodhiambo7274
    @nemaodhiambo7274 3 года назад

    🤜🏾🤛🏿 Baba na Mama nawapenda Sana katika jina la YESU

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 3 года назад

    Mungu awatunze na kuwabariki sanaa

  • @AlfaSanga
    @AlfaSanga 3 года назад +1

    Sehemu ya pili tafadhali ?
    Asante kwa ujumbe mzurii.

  • @hossymunuo9773
    @hossymunuo9773 2 года назад

    Mungu awabariki sana 🙏🙏🙏

  • @jacksonbiswalo8360
    @jacksonbiswalo8360 2 года назад

    Amina Mtumishi wa Mungu.

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 3 года назад

    Ameeen Mungu awatunze baba na mama

  • @nemaodhiambo7274
    @nemaodhiambo7274 3 года назад +3

    Tulikuwa tunaishi sekei mitaa ya philips 😭😭😭 Mungu awabariki Sana nimezimisi zile Nyakati maana Niko mbali na nyumbani Ila namshukuru Mungu kwa yote

  • @adamsonwedson5081
    @adamsonwedson5081 3 года назад +4

    Thanks God for this session

  • @julianmwanga7472
    @julianmwanga7472 3 года назад +3

    Amina

  • @liliandominickrusheke6770
    @liliandominickrusheke6770 3 года назад

    wow nabarikiwa sana

  • @goodsonmtama
    @goodsonmtama Год назад

    God is living

  • @bilugwemwanzije
    @bilugwemwanzije Год назад

    Nguvu za mungu ziwashukie !!?

  • @estherlemburismollel5901
    @estherlemburismollel5901 3 года назад

    Amen mtumishi wa Mungu

  • @MagrethMadila
    @MagrethMadila Год назад

    Mungu siwez mimi lakini nzkukabizi wewe jambo hili mimi siwezi sayon arudishe haki yangu

  • @joycekabula
    @joycekabula 3 года назад

    Amen, neno la wakati

  • @shigongorevocatus8574
    @shigongorevocatus8574 2 года назад

    Barikiwa

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 3 года назад +1

    Ameni Ameni

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 3 года назад +1

    Amen Amen

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 3 года назад

    Nguvu za mungu upako mpya ktk msimu mpya

  • @monicaludovick891
    @monicaludovick891 Год назад

    Ameen

  • @victoriajames6190
    @victoriajames6190 3 года назад

    Mwendelezo please

  • @lucanziku7836
    @lucanziku7836 3 года назад

    Amen. sifa, heshima na utukufu n kwa Bwana. Ubarikiwe baba

  • @wendyaaron9696
    @wendyaaron9696 3 года назад

    Amen amen hallelujah

  • @LucyGasper-df2uc
    @LucyGasper-df2uc 5 месяцев назад

    Hollyspirit take me to the place of favor and breakthrogh.

  • @ndembwamponda7674
    @ndembwamponda7674 3 года назад

    Mbona somo halikumalizika?

  • @jacklineasseri9508
    @jacklineasseri9508 2 года назад

    🙏

  • @mugoremuzia5398
    @mugoremuzia5398 3 года назад

    🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @kunsah2
    @kunsah2 3 года назад

    Shalom! Somo ni zuri mno, lakini mbona mmelikatisha?

  • @marrywema7850
    @marrywema7850 3 года назад +1

    Halleluyah

  • @ananiasbanda4828
    @ananiasbanda4828 3 года назад

    🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🙏

  • @micahpaul8632
    @micahpaul8632 2 года назад

    AMINA MTUMISHI WA BWANA WETU YESU CHRISTO BWANA NA AKUTIE NGUVU NA KUZIDI

  • @amanially7571
    @amanially7571 2 года назад

    Amina

  • @marymosses1589
    @marymosses1589 2 года назад

    Amen

  • @jacklineasseri9508
    @jacklineasseri9508 2 года назад

    🙏

  • @refinginsemwa7399
    @refinginsemwa7399 2 года назад

    Amen

  • @zamirungoda7636
    @zamirungoda7636 2 года назад

    Amen

  • @estherfrederick6920
    @estherfrederick6920 2 года назад

    Amen

  • @liliankimambo8231
    @liliankimambo8231 2 года назад

    Amen