Hakika wameimba vizuri

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025

Комментарии • 29

  • @naseeralbishi4726
    @naseeralbishi4726 4 месяца назад +1

    Sisikii but napenda vile wanacheza na pia mavazi yao iko poa ......hongereni sana kwa nyimbo zenu may God bless u all

  • @GraceMwagala
    @GraceMwagala 5 месяцев назад +1

    Niyapenda mavazi wamependeza mno mungu awabari sanaaaa taji yenu iko mbinguni🎉❤

  • @IbrahimSawaya
    @IbrahimSawaya 27 дней назад

    Baraka zije kwenu ❤❤❤❤

  • @ThomasMsuya-m3d
    @ThomasMsuya-m3d 3 месяца назад

    Thomas Msuya Munarikiwe sana kweli Mumeimba vzr sana Japo sielewi maneno❤😮😊

  • @estherodera4382
    @estherodera4382 4 месяца назад +1

    Beautiful ❤️❤️ listening from Australia 🌏🦘🌏🦘. I love 💕💕 CULTURE OUR AFRICAN SYMBOL OF OUR HERITAGE ❤🎉🎉. BEAUTIFUL

  • @naseeralbishi4726
    @naseeralbishi4726 4 месяца назад

    Nice songs dear

  • @mtemimatonya6598
    @mtemimatonya6598 4 месяца назад

    Hii nyimbo nzuri mno

  • @mkwayamasanja7078
    @mkwayamasanja7078 4 месяца назад +1

    Hongera sana mbarikiwe

  • @NeemaKivuyo-y6w
    @NeemaKivuyo-y6w 3 месяца назад

    hakika mwenyezi mungu awabariki xana

  • @lekungaMbototo
    @lekungaMbototo 5 месяцев назад +1

    Hongereni sana 💪💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JamesZabron-k3x
    @JamesZabron-k3x 9 дней назад

    Wamejitahidi sana❤🎉

  • @pascalmanamba6856
    @pascalmanamba6856 4 месяца назад

    Hongeleni sana wenu katika kueneza jina la bwana

  • @MarthaXavery
    @MarthaXavery 4 месяца назад

    Wamejitahid saana hongera sana

  • @mtemimatonya6598
    @mtemimatonya6598 4 месяца назад

    Mungu awabarik pamoja ya lugha wanayo imba hatujui ila wake vzr

  • @SebasoreSanvura
    @SebasoreSanvura Месяц назад

    Mungu awabariki

  • @DorothyMwanyalo-gw9vj
    @DorothyMwanyalo-gw9vj 4 месяца назад

    Hongera kwao

  • @TheresiaNgaa
    @TheresiaNgaa 4 месяца назад

    Hongereni sana

  • @JEREMIAHSADALA
    @JEREMIAHSADALA 5 месяцев назад

    Hongera sana watoto wa yesu

  • @YuniceShisalalia
    @YuniceShisalalia 4 месяца назад

    Wapo vizuri❤

  • @WillisonMkumbo
    @WillisonMkumbo 3 месяца назад

    Mungu ni mwema kwa hawa watu masai,injili immeenea

  • @AdelinasumailiAdelinasumaili
    @AdelinasumailiAdelinasumaili 2 месяца назад

    Jamani hongereni jamani sana

  • @YuniceShisalalia
    @YuniceShisalalia 4 месяца назад

    Ongera

  • @robertmaginga4633
    @robertmaginga4633 4 месяца назад +1

    Kwaya hizi kweli zinazosisimua hadi namkumbuka rafiki yangu Peter Mbise wa Arusha 7up

  • @IsraelsimonToroka
    @IsraelsimonToroka 5 месяцев назад

    Nimependa sana hii nyimbo

  • @AnnahMeshack
    @AnnahMeshack 4 месяца назад

    Ashe naleng

  • @GabrielKari
    @GabrielKari 5 месяцев назад +1

    ❤❤

  • @MashaSilvester
    @MashaSilvester 5 месяцев назад

    Pongezi kwao

  • @DamasKowinga
    @DamasKowinga 4 месяца назад

    Honqereni kwaya yenu mnenifurasha sana

  • @NdibaniSumaili
    @NdibaniSumaili 4 месяца назад

    ❤❤