Jinsi ya kuanzisha biashara ya vifaa vya umeme yenye faida

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Jinsi ya kuanzisha biashara ya vifaa vya umeme yenye faida
    Kwa sasa hivi hapa Tanzania mahitaji ya vifaa vya umeme yameongezeka haraka sana.
    Kuna mahitaji ya aina nyingi za vifaa vya umeme kwa ajili ya watu binafsi, wafanyabiashara, makampuni ya ujenzi na serikali
    Mahitaji ya vifaa vya umeme ni kama ifuatavyo:
    • Vifaa vya umeme vya nyumbani
    • Vifaa vya umeme vya wakandarasi
    • Vifaa vya umeme vya viwandani
    • Vifaa vya umeme vya mashuleni na vyuoni
    • Vifaa vya umeme vya kwenye barabara• Vifaa vya umeme vya mashambani nk
    Kabla hujaenda mbali na wazo la kuanzisha duka la vifaa vya umeme inabidi uwe na majibu ya maswali ya msingi kuhusu hiyo biashara
    Video hii inaeleza mambo muhimu ya kutekeleza wakati wa kuanzisha biashara ya vifaa vya umeme
    YOU TUBE CHANNEL DESCRIPTION
    1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
    2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
    3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
    4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
    5. Mitandao yetu ya kijamii:
    Facebook: / tanbusiness
    Instagram: / tanbusiness
    RUclips: / alimwambola
    #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

Комментарии • 10