Alhamdullillah.. Hapana Mola apasaekuabudiwakwa hakki ila Allah. Basi namuomba Allah atujaalie mwisho mwema inshaallah. Na akujaalie sheikh wetu khatima njema nanguvuya kutuddawasishasisi...
Shukran sheikh wetu kwa mawaidha mazuri unayo tupatia tunamuomba Allah akujaalie umri mrefu na elmu zaid uzidi kutuelimisha sisi pamoja na vzazi vyetu na Allah akulipe kher hapa dunian na akhera
Hakika nyoyo zetu zinafarijika sana tunapo sikiliza mawaidha yako pia tunapata faida kubwa kwa uwepo wako, shukran jazakum khayran Allah akulinde na hasad za watu wasiopenda ne'ema aliokupa Allah
Masha Allah mungu akujaze kheir, hapa duniani ,nakupenda kwa ajili ya Allah ,kila unapo soma aya za Quran waniliza,nakutakia saum maqbul we we na familia yako.
Jamaa ktk Imani..... Mi ni ndugu yenu ktk Imani (uislamu) Nina umri wa miaka 27, natafuta mwanamke wa kuoa... dua zenu inshaa Allah anionyeshe shina bora
Asalam alaikum shehe mie nashkur kwa kutupa daawa na mwenyezimungu akulipe kwa hayo unayoyafanya shehe mie ninaombi ningependa nyie mashehe WA afrika muungane wrote kwa pamoja muende mukafundishe mambo ya Dino huko ulaya kwa mie naona hao waislam WA huko hawafuati maamrisho ya dini kama inavyotakiwa
Mashaĺlah
JAZAKALLAHu kheir ALLAH akuruzuku umri mrefu kwa rehma zake tuendelee kupata manufaa ktk mawaidha utowayo
Allah atujalie wenye kuyaskia na kuyafwata
Neema kubwa sana mwenyezi mungu amekupa zaidi Ww Othman maalimu
Ma sha Allah jazaka llah kheri
Alhamdullillah.. Hapana Mola apasaekuabudiwakwa hakki ila Allah. Basi namuomba Allah atujaalie mwisho mwema inshaallah. Na akujaalie sheikh wetu khatima njema nanguvuya kutuddawasishasisi...
Amin
Shukran sheikh wetu kwa mawaidha mazuri unayo tupatia tunamuomba Allah akujaalie umri mrefu na elmu zaid uzidi kutuelimisha sisi pamoja na vzazi vyetu na Allah akulipe kher hapa dunian na akhera
JazakaLLAH kheir sheikh
ALLAH akulipe kheir
Jazzakah llah khaira sheikh othman maalim
Allah Akbar, ndo sahihi
mashaallah mawaidha mazuri sana allah akulipe kheri
Mungu akujaze kheir baba wewe
Safi sana
Mungu amuweke sheikh wetu
Hakika nyoyo zetu zinafarijika sana tunapo sikiliza mawaidha yako pia tunapata faida kubwa kwa uwepo wako, shukran jazakum khayran Allah akulinde na hasad za watu wasiopenda ne'ema aliokupa Allah
Aamin Yaa Allah!
Amiin yaarab
Shukrani shekhe wetu athumani maalim
Mashaallah,mwenyezi mungu amekupa neno kubwa sana.
Allah akuzidishie elimu yenyee manufaa amin
MASHA ALLAH . ALLAH AKULIPE HII DAHWA .
Masha Allah mungu akujaze kheir, hapa duniani ,nakupenda kwa ajili ya Allah ,kila unapo soma aya za Quran waniliza,nakutakia saum maqbul we we na familia yako.
Maa Shaa Allah jazakallah khair
Jamaa ktk Imani.....
Mi ni ndugu yenu ktk Imani (uislamu) Nina umri wa miaka 27, natafuta mwanamke wa kuoa... dua zenu inshaa Allah anionyeshe shina bora
Ameen
Mashallah jazakum Allah khayr
jazakaallahu kheir
Mashallah
Allah akbal
Assalaam Alaykum.
Nampenda sana Ustad Othman Moallim. Mola amhifadhi. Vipi hali yake na afya?
Asalaam aleykum ndugu zangu nawezakupata number za sheikh othman maalim ndugu yangu

Nice
Mungu amuweke sheikh wetu
MashaAllah