APEWA LAKI 3 YA CHAI KWA SABABU HII...... GeorDavie TV
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa
Baba nabii mkuu naitaji maombi yako , niko mosh nachangamoto ya kimapepo kwasasa ni muda wa miaka kumi nateseka sana nakupitia hiyo mapepo yananifanya kila giza linapoingia mm sina amani wala furaha yamaisha yangu naishi maisha magum sana nahitaji kutoka kwenye kifungo hiki kwa jina la yesu naomba msaada hata wakufika kanisani kwako naiman ntapona kabisa , , , Ee mungu nisaidie
Jambo Nabii Nini Niko Congo nakufataka sana na kupenda kabisa ila naomba msaada wamaombi Nate sua sana maisha yangu ime fungwa sana nawana damu naishi maisha ya umasikini japo mimi natafuta maisha sana na kusii Nabii nisaidiye naona miujiza ambazo Mungu wako anatendaka Nami Nina Imani ulisema neno tu maisha yangu itafunguliwa asante
Àsante sana mdada na hongera sana kwako Dadaa mwanamke mwezangu
Mwenyezi Mungu akulinde akutunze na kukuzidishia upendo na moyo wa huruma kama hivyo baba baba
Baba nimeona mungu anavo zidikutendeawatu baba naomba kusapotiwa100000 kwaajiri ya biashara
Napenda sana nabii mukuu kwa matendoyake mazuri namaubiri namuliya afike spa Congo mimi ni poba ramazani paScale napatikana ville de goma napenda nimue.
Nice dada umefanya vema sana
Ameen ameen baba nataman nifike ngurumo ya upako nitapona kwa upako wa wako baba nip singing
Hongera kwa upendo mkuu Askofu Ngurumo ya upako. Mungu wa Mbingini akubariki sana, akapaimalishe palipopungia na akujalie mwisho mwema.
Pole sana kwa watu wenye wanamusikiliza
Kwa sababu Gani?
Ooooh asante daddie🙏
That was amazing to have people who appreciate prophet work good job to the lady
Had this prophet predicted in holy bible?
Napokeya baba amina
Ameeen
Amina baba kwahili
Huyo ndoo mwanamke wa kumuoa anajielewa sana
Ee mungu naomba unijalie niache pombe
Amen very wonderful
Pastori Mungu biweze
Amina
Amina
Pia Mimi na furahi Sana huyo mwana dada amefanya kazi hio na Mimi pia ni muislamu
Big ameeen
God bless you my dear
Baba kweli Icho kitabu namimi pia nahitaji copy ili nipate mafundisho yako Nadii mkuu nipo Congo Johnson Sungura
Big support
Ahsante baba
Ameen
MUNGU ALIYEHAI atukuzwe mno mtumishi wacha yesu ajivunie kwako 🔥🔥🔥💯💯
God good 🙏
Ungera sana mwana Wa mungu
Amen amen God bless you
Mungu atawalaani...
Ataanza nawewe
mtafuteni YESU wa kweli na msimwabudu mungu mtu, mtapotea kuweni makini
We ulijuaje kama yeye ni Mungu mtu?
Glory glory a dad with a meaning
Advanced anointing in jounal n academic writing
Amen
be blessed man of GOD
AMINA
Zipoy Nije
MUNGU azidi kuku baliki
Pishop naompa maombi naweza patar kitabu hicho
Nikweli kafanya vizuri ila nahisi kama maogizo?
Najiunganisha na ibada hii
dini hio naona ipo kipesa pesa tu yani hela hakuna chengine
😂😂
Wewe ni mtu wa mbinguni kabisa unahekima mno
Amen
Asante kweli baba kwakazi unaendelea kufanya