ALIYEOMBA ELFU 30 YA NAULI, ASAIDIWA LAKI 3 YA MTAJI NA ELFU 50 YA NAULI - GeorDavie TV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
    TUFUATILIE
    ▶︎ Facebook: / geordavietv
    ▶︎ Instagram: / geordavietv
    ▶︎@GeorDavie Maarifa

Комментарии • 50

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 2 года назад +1

    This is so emotional. God bless you man of God Geordavie

  • @rachelmichael7331
    @rachelmichael7331 2 года назад +3

    Dear daddy 😭😭😭 Asante kwa kumsaidia msichana mwenzangu 😓ubarikiwe

  • @lewiskwakwala2152
    @lewiskwakwala2152 2 года назад

    Mchungaji mungu akuzidishie na azidi kukubariki kila iitwayo kesho katika maisha yako AMENI

  • @aishahemedi8452
    @aishahemedi8452 2 года назад +1

    Asante baba kumgusa huyo dada. You truly are a man of God

  • @haikamchaga8251
    @haikamchaga8251 2 года назад +1

    Dada kaniliza Mungu akubariki Nabii mkuu kwa sadaka hii

  • @thenjurusempire112
    @thenjurusempire112 2 года назад +2

    God bless u pastor geordavie,from Kenya

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 2 года назад +2

    Baba we umeitwa na Mungu Yan unajitoa kwa watu Mungu akujazie uwe tajir Hata was dunia uwe na miaka mingi Hata 200 ikimpendaza bwana

  • @enizetv5196
    @enizetv5196 2 года назад

    Àsante sana Baba kwa MSAADA huuu

  • @SifaYusufu-ol9uw
    @SifaYusufu-ol9uw Год назад

    Baba jodevi mungu akuzidishie mweka

  • @johnmasanja1762
    @johnmasanja1762 2 года назад +2

    Napenda sana mtu anayesaidia wenye shida

  • @barakadestiny5354
    @barakadestiny5354 2 года назад

    Kazi nzuri mtu wa Mungu

  • @enizetv5196
    @enizetv5196 2 года назад

    Àsante sana Baba yetu love you

  • @marthamwaifongo1968
    @marthamwaifongo1968 2 года назад

    Naitwa matha mwafongo nipo songea , nafarijika sana nabii na huduma zako njoo baba songea utibu matatizo yetu naitaji Mimi kama Mimi japo uniguse mkono wangu baba natamani sana kuja huko nashindwa baba

  • @aaronmtumbuka7028
    @aaronmtumbuka7028 2 года назад

    Ishi sana Nabii wa Bwana

  • @herongwikwi1021
    @herongwikwi1021 2 года назад +1

    Haijalishi WATU watasema ubaya kiasi gani, lakini kwa jinsi namna unavyo inua na kusaidia wenye nia na shida za kweli,, MUNGU AZIDI KUKUONGEZEA ZAIDI..👏👏👏

  • @preceenosent6324
    @preceenosent6324 2 года назад

    Asante mungu🙏🙏🙏

  • @christinamkalalile874
    @christinamkalalile874 2 года назад +1

    Barikiwa sana mtumishi

  • @anneminja985
    @anneminja985 2 года назад +1

    Jamani.naombeni.number za dada sekela

  • @aaronmtumbuka7028
    @aaronmtumbuka7028 2 года назад

    Man of God

  • @chichichichi5890
    @chichichichi5890 2 года назад +1

    I wish this could be translated to English. .
    Wish I could get this prophetic ministry. Been trying to know my calling and to have impartation and mentoring from a true prophet of God. Blessings.

  • @heavenmedia4890
    @heavenmedia4890 2 года назад

    Aisee This Man of God touches My Heart Daily, siachi kuangalia Video Clip zake

  • @nellykitenge2768
    @nellykitenge2768 2 года назад +1

    Baba wachungaji kama wewe baba weko tena APA tuniyani baba Mungu akuchunge nakosa tiketiti ningekuya kule baba

  • @rachelkorrompoitvkorrompoi
    @rachelkorrompoitvkorrompoi 2 года назад

    Bless you daddy.. I can't hold my tears

  • @preceenosent6324
    @preceenosent6324 2 года назад

    Huu ndo utumishi ubarikiwe sana

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 2 года назад

    NABII MKUU UBARIKIWE SANA!
    HUU NDIYO UTUMISHI!

  • @dennisrichard6142
    @dennisrichard6142 2 года назад +1

    Mungu akubariki

  • @mamy8220
    @mamy8220 2 года назад

    😭😭😭😭😭 inawumwa 😢😢😢 Asante baba

  • @jacintamilanoi9014
    @jacintamilanoi9014 2 года назад

    Be blessed papa 🙏🙏

  • @sherahinspires1279
    @sherahinspires1279 2 года назад +1

    Ohh dear . Maybe it was Post natal depression . Pole kutoka Kenya.

  • @nellykitenge2768
    @nellykitenge2768 2 года назад

    Baba mungu ukuchunge baba

  • @happykisarika1337
    @happykisarika1337 2 года назад +1

    Nimejikuta nalia jaman

  • @amonimwaitulo9346
    @amonimwaitulo9346 2 года назад

    Pastor God bless you

  • @browrinah9357
    @browrinah9357 2 года назад

    Yesu yuko hapa 🙏

  • @mushagalusakulimushiprince6878
    @mushagalusakulimushiprince6878 2 года назад

    Bien vraiment 🙏🇨🇩

  • @fabiolaboniphas192
    @fabiolaboniphas192 2 года назад +1

    Ameni ameni

  • @tittoskeysproject1967
    @tittoskeysproject1967 2 года назад +1

    MTUMISHI WEWE NI NABII WA MUNGU

  • @mundelejudith3940
    @mundelejudith3940 2 года назад +1

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @christinamkalalile874
    @christinamkalalile874 2 года назад +1

    Naomba nisaidie namba ya mtu mtumishi

  • @merypetro5585
    @merypetro5585 2 года назад

    Nii ubarikiw

  • @happytemu963
    @happytemu963 2 года назад +1

    😭😭😭🙏

  • @jacksonnasinda8281
    @jacksonnasinda8281 2 года назад

    Kamanda wa yesu nainjoy ata nicpo enda kazin nikiangalia clip zako nashibaaaa

  • @mossesezekiel7862
    @mossesezekiel7862 2 года назад

    🙏🙏🙏

  • @bukuruivan4343
    @bukuruivan4343 2 года назад +1

    Sharome Sharome Baba Sorry naomba unipe nafsi kidogo niongee nawewe unipe nafsi kidogo please

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 2 года назад

    Huyu mwamba,nijiraniyangu, anapesa ya kutisha,

  • @alicealice9821
    @alicealice9821 2 года назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @pureflix8086
    @pureflix8086 2 года назад +1

    How do scam artists get so many subs?
    This is crazy, but its very profitable. Im good with that.

  • @missveetv2590
    @missveetv2590 2 года назад

    MUNGU ni mwema