RC CHALAMILA Awapa 'MAKAVU' WAKAZI wa KIVULE - "MSISEME Hamjaletewa BARABARA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 ноя 2024

Комментарии • 28

  • @yudatadeimdoe9215
    @yudatadeimdoe9215 Год назад +1

    Mkuu wa mkoa wa tofauti sana,, excellent 👍👍👍... ofisini ni site......wakuu wa mikoa wengine wanakaa ofisini tuu wanachat, Yan unakuta mkuu wa mkoa ana miaka ata3 lakin ametembelea wilaya moja tuu nyingine ata hazijui tangia akabidhiwe mkoa,,, Sasa bila kutembelea maeneo utajuaje changamoto za watu...bravo bravo CHALAMILA

  • @sijalikifunyo912
    @sijalikifunyo912 Год назад +3

    Hiyo si sawa, huwezi kunyima watu huduma kwakuwa anayewawakilisha ni mlengo tofauti na wewe, wakati kodi tunalipa wote.

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 7 месяцев назад

    Yeah!uko sahihi dar shule zake zote zinatakiwa ziwe za gorofa.shule ya sekondari banguro mwembe kiboko Ilala inatakiwa iwe pia ya gorofa ili ibebe watoto wengi zaidi.

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du Год назад +1

    Jembe la mama

  • @bhmeela
    @bhmeela Год назад

    Mh uko vizuri sema ishu ya bandari TU ndo umetuuza, saivi mnakosoa uendeshaji wa bandari ili wananchi tuone umuhimu wa ujio wa DP😅😅 imeeleweka maana tz ya Sasa ina wasomi wenginkitaa wanaojitambua na kuchanganua mapigo ya kisiasa na ufisadi😢😢

  • @abdulmsuya8542
    @abdulmsuya8542 Год назад

    Rc, chalamila usisahau kimara mwisho hatuna stand, Barbara ya bonyokwa tokea mwaka 2011 mpaka Leo tunasota!!!!!!!!!

  • @michaelkibiki3309
    @michaelkibiki3309 Год назад

    Mh Tusaidie tuondokane na adha za kukosa barabara tunatumia pesa nyingi kwaajili ya usafir naomba nenda barabara ya Mombasa kwenda bombambili pia nenda barabara ya pugu kwenda viwege pia hiyo barabara ya banana kwenda kivule frem kumi.Hali ni mbaya maeneo hayo yanawapiga kura wengi sana

  • @saidiamiri7898
    @saidiamiri7898 Год назад +2

    SSA mkuu ndo unaongea nini mimi mbona sikuelewi?

  • @richardmaimu9596
    @richardmaimu9596 Год назад

    Si kweli! hakuna uhuru wa kujijengea popote! ila WAKATI WA UCHAGUZI unakuja kuomba kura

  • @Jackson-Novat
    @Jackson-Novat Год назад

    Hapo kwenye uchaguzi mh. Tusubiri kwanza nchi imetulia.

  • @fikiriseleman3460
    @fikiriseleman3460 Год назад

    Sawa jpm

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 Год назад +1

    Waziri wa fedha si alisema serikalini hakuna wezi!?😢

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 Год назад

    Acha siasa ni wajibu wenu kuleta huduma za kijamii

  • @chackym4416
    @chackym4416 Год назад

    Mbona kipindi cha kampeni wanafika kwa wakati

  • @edgarmbegu1974
    @edgarmbegu1974 Год назад

    Anajitahidi kujipendekeza lakini dah!

  • @habibmohamed4728
    @habibmohamed4728 Год назад

    Sauti hakuna mnafeli wapi lakini

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 Год назад

    Wekeni utaratibu siyo mji unasambaa ovyo wakati uwezo wa kutoa huduma ni hafifu. Aidha, sera za kubaguana kiitikadi si muda wake ndo maana huko bungeni wamelikoroga kwa kupitisha kikokoro azimio batili pasi kuangalia kama michakato hata ya kuitisha ZABUNI imefanyika vizuri. Shame to them

  • @isackmchambilla130
    @isackmchambilla130 Год назад

    @chalamila tunaomba hili jembe lipelekwe mkoa manyala wilaya kiteto akamalize migogolo ya wafugaji na wakulima

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 Год назад

    Walionja hiyo hali matokeo yake wameyaona.sidhani kama hamu hiyo bado ipo.

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 Год назад

    Hilo jimbo ni kongwe acha na liko ilala ambalo ni jiji acha vitisho

  • @NixonGerson
    @NixonGerson Год назад

    Wewe Mesopotamia endelea tu ....bila kujua lami umeme mshahara wako tunakulipa sisi ...unaturopokea wakati ni kodi zetu na leo umekula kodi yangu ....tumekuajiri usitupange kibarua wetu wewe

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 Год назад

    kumbe ulikuwa mkutano wa kampeni?..momi nilifikiri ni mkutano wa mkuu wa mkoa basi tuendelee na siasa wakati wa kazi, eti mkiipiga chini CCM hampati maendeleo duuuuh kweli katiba yetu ni mbovu

  • @MeckKwalazi
    @MeckKwalazi Год назад

    Hizo ni kampeni chalamila nimekuelewa sana ila hii ni tatizo la katiba mbovu tulionayo kwa hiyo unataka tuwachague madiwani na wabunge wa ccm tu ndio maana yako ili mtuletee huduma aise hii nchi ni ya kijinga sana yaani mkuu wa mkoa unaweza kuongea maneno kama hayo???

  • @NixonGerson
    @NixonGerson Год назад

    Yaani tunakulipa ili utuadhibu ...fala kabisa stupid